Castr ni kweli inabidi aongeze finishing, Kai sio typical no.9, but mpaka Sasa amecheza vzr Sana ,kupress ,kuhold up, n.kNakuacha hapo ufikirie jibu lako.
Wapoje ,mm naangalia kwa link mech ya arsenal ,Naangalia. Sifuatilii mpira wa bongo ila naona wanacheza vizuri
Upo kama mimi pia mipira ya bongo imenishindaNaangalia. Sifuatilii mpira wa bongo ila naona wanacheza vizuri
Kazi ya Kai ni kuanzisha movement ya kupress kwa Akili ili Ortega apige pass pemben au Kati ambapo tayari saka na Nelli nao wanaanzisha press nyingineKwani nyinyi wenzangu mnaangalia mpira gani wa Arsenal ambao Kai kacheza vizuri? Ambao kapress?
Hizo pasi ambazo Ortega anapiga katikati a proper false 9 yupo pale unadhani angepiga?
False 9 anatakiwa avute beki ili wings zisqueeze space na mid ije kuvizia chances.
Kai anafanya hayo?
Wame pigwa 1Nyumbu Yao yamewashinda ,wamewekwa nasikia
Wana usajili mpya una rasta zina bleach, na usajili wa beki fulani hivi mtangazaji anataja majina sijayashika. Wapo vizuri hao wawili pamoja na KapombeWapoje ,mm naangalia kwa link mech ya arsenal ,
Hii beki wote ni ma CBs , Kikos Kama hiki ni Cha mechi zile tafu
Kwenye mechi mbili nilizomuona yuko vizuri yaani anaoffer vitu vingiTimber alitakiwa asajiliwe kwa pound M200 period!
Duh a supriseKocha kamtoa Martinelli na Timber [emoji23][emoji23]