Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hio mipapaso mbona kama mnaenda kupapaswa nyinyi, stricker Haaland halafu beki mnamuwekea Bichwa la Bata ndio amdhibiti
Ila manjesta kwa mpira ule wa A Dutch David Moyes Erik 7 hag, sitashangaa mwez wa 12 ukahamia city Kama kawaida yako
 
Mwanangu toobiter mechi ya ngao ni saa ngapi?
Nataka nishuhudie Teta ball burudani kwa wote, mambo ya pressing na overloading from genius Masterclass.
Acha Uchawi
unatangaza amani huku umeficha panga.Dah game saa 12 jioni.kipara kumkabili inaleta mawazo sana.jamaa ni tactical genius,ana quality squad kila eneo,ana waarabu wanamwaga hela kama hawana akili, yaaani mpuuzi ana kila kitu.

Hili kombe la EPL lisipobebwa na timu nyingine mwaka huu maaana yake jamaa ndani ya misimu saba atakuwa kachukua mara sita.duh huu udhalilishaji. Ila arsenal we are coming at your rescue.tutamsimamisha ili kuku wa maziwa(man u),liverpool,chelshiit na wengine mkae kwa amani.

Hahaa huyu mpuuzi guadiola akichukua tena msimu huu nashauri 7hag,pochetino,klop,arteta na emery wakae nae chini wamwambie sio ugomvi na kama vip wafanye donation wampe mzigo aende ligi ya italy au ufaransa mpuuzi yule
.

Anyway mark my words leo tunaishangaza dunia.we gona possiblelize the impossibility.
 

Safi sana haya ndiyo maneno ya Mshabiki wa mpira sasa. 50 50 au siyo
 
Dah mwanangu Eddie ashakuwa 3rd choice

Now CF ni Jesus ,Kai , Trossard , Nketiah
 
Maoni yangu style of play na Manchester city:
1. Achana naye. Kaa nyuma, vizia counter kama wananjanjajana orijino manyumbu.
2. Komaa naye. Kama unataka kuwa the best katika possession based football na Kuna mpinzani wako Bora kuliko wewe, basi pambana mpaka umfikie level yake na umpite.

Sasa tuamue tu kukomaa mpaka kieleweke au tusijisumbue Kwa City mpaka Pep aondoke?
 
Sion Arteta akicheza mpira wa kimanjesta ,

Hawa ni kukomaa nao kumiliki mpira ,nafasi zitumike vzr tu,

2020 ndio ilikuwa mwisho kukaa nyuma labda tuzidiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…