Ndo hapo tunaposema ukizidiwa huna haja ya kushindana possession.Brighton alituzidi asee ,ule mpira wa Brighton Kama huna mbinu thabiti wanakubatua
Ile mech ya pale Amex tuligawana vipind,
Brighton Wana buildup Yao hatari Sana ,klopp alicheza nao mechi mbili na Di zerbi, zote alizidiwa kwa kuwekwa nyuma na kipigo juu
Kuna mechi huwa tunashindwa ku control kabisa ,sio kwamba tunamuachia mpinzani
Ukweli mchungu ambao haters hawataki kuusikiaPep akijiloga kutaka kupishana ataoga mvua ya magoli
Pep atuvizie counter, kinyume na hapo tutaonana wabaya
Partey, rice, odegardUkweli mchungu ambao haters hawataki kuusikia
Huu msimu tutaoneshana makaliPartey, rice, odegard
Labda tuamke vibaya au game itukatae pamoja na visa vya marefa
Mbavu timber, mbavu white
Wings; saka na martinel
Una mkemia mkuu trossad, hao wajinga wajipange sana
Msimu uliopita majerui dakika za mwishoniHuu msimu tutaoneshana makali
Kwa timu hiyo halafu tukae nyuma tuvizie kaunta ,ah wapi ni toe to toe
Ukweli unaouma, wamepiga kwenye mshonoUmejiuliza kwann ulishinda energy drink cup na haupo Wembley muda huu?
Kaa kwa kutulia ,
Pep and Arteta both justifying Arsenal's presence today in the Community Shield programme:
Pep: "The reason Arsenal are here today is because they did so well last season. They pushed us so hard."
Arteta: “This is a match which recognises two clubs who had a good year." #mcfc
Mambo yakupaki Basi aachiwe nyumbu ya Dutch David Moyes Erik 7 hagMsimu uliopita majerui dakika za mwishoni
Msimu huu wote wamerudi wakiwa vyema na usajiri wa kishindo
Maji wataita mma
Hakuna cha stats hapo wewe chukua man city to win & over 1.5 . Weka hela tuliaa hio ni sure guaranteed.
Hizi kelele za “false hopers “ zisikudanganye hawa ni wapiga kelele tu kama chura lakini tembo maji lazima annywe.
Ingekuwa Liverpool, Newcastle na man utd hizi ndo timu ambazo unaweza kuanza kuangalia stats mzee lakini si hawa wanajiita title chaser then unaenda kula chuma za kutosha gemu zote 2. Cheki tu highlights man city alivyokutana na Arsenal then angalia na hizo timu nyingine nilizokutajia hapo juu.
Pep akijiloga kutaka kupishana ataoga mvua ya magoli
Pep atuvizie counter, kinyume na hapo tutaonana wabaya
Mwaka huu kazi unayoMwanangu Labyrinth 84 unapotea sana humu mkuu, mimi hua nazikubali sana nondo zako na zile evidence unazowapeaga humu hawa Kondoo, wanapokosa hoja ya kukujibu wanakua wakali balaa.
Hawa wahuni hawatakiwi kupumzishwa humu inatakiwa kila baada ya masaa mawili wakumbushwe kua wao ni mid table team.
Huo ndio ukweli, ni swala la muda kuanza kutoa mipapaso
Hio mipapaso mbona kama mnaenda kupapaswa nyinyi, stricker Haaland halafu beki mnamuwekea Bichwa la Bata ndio amdhibitiHuo ndio ukweli, ni swala la muda kuanza kutoa mipapaso
Tulikuwa tunajenga timu , Mancity ni kibonde wetu Kama Chelsea tu ,alitusumbua Sana kipind Cha Mourinho, mwisho karudi kuwa mteja muaminifuArsenal leo mjikaze. Kataeni utumwa