Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Man UTD??🤣🤣🤣....mkuu kama bdo hujanywa chai nenda kanywe...unaongea pumba... Liverpool msiposajili watu watatu zaidi msahau kusumbua....timu itakayowasumbua tena ni City tu....sio hzo takataka zngine
 
Sisi ipo.
Msimu jana kila mtu kachukua point kwake.
Na bado nilimdunda ngao.

Vip wewe msimu jana umepata nini ??
Ikawaje mnagombea kucheza Europa


Ulitamba hivi hivi mwanzo wa Ligi nilikwambia huna timu umejaza wazee

Unaanza Ligi Sasa unamtegemea salah akubebe

Kununua DM huwezi

Vvd kawa uchochoro

Sobozalai na makalista Hawa ni wachezaji wakawaida ,unataka kugombea top 4?

Astonvilla kwasasa ana squad Bora kuliko livakuku
 
Man UTD??
....mkuu kama bdo hujanywa chai nenda kanywe...unaongea pumba... Liverpool msiposajili watu watatu zaidi msahau kusumbua....timu itakayowasumbua tena ni City tu....sio hzo takataka zngine
Mm nacheka Sana anayeiweka livakuku kugombea ubingwa ,nacheka Sana

Wamesajili wale jamaa sobozalai na makalista ni wachezaji wakawaida ,tofaut na walioondoka ,hapo hapo beki Yao inavuja Sana

Matumaini Yao ni salah ambaye umri unazidi kumtupa mkono

Hawa safari hii Wana points 6 zetu,
 
Hyu akipata pancha ya wachezaji 2 tu kwny kikosi chake tyri yanajirudia ya msimu ulopita....
 
| Zinchenko:

“Fitness is good, I feel much better. I started to train with the team yesterday.

“I would love to be ready for today [Community Shield], but I don’t know yet because the manager is going to decide.

“Unfortunately, I missed some pre-season time and now I need to get back in my best version before the season, but I’m ready to do it.” [@AFTVMedia] #afc
 
Man UTD??🤣🤣🤣....mkuu kama bdo hujanywa chai nenda kanywe...unaongea pumba... Liverpool msiposajili watu watatu zaidi msahau kusumbua....timu itakayowasumbua tena ni City tu....sio hzo takataka zngine
Amini nakuambia huna timu wewe.
Huna, timu ina kiungo cha Pertey(Miguu biskuti),, beki Gabriel( kichwa cha bata)
Na forward Nketiah( maji kupwa maji kujaa). Maana msitegemee Jesus atawaoffer game nyingi hilo msahau.
Saka last season na kumpa sifa nyingi kafunga goal 12 msimu mzima😄😄😄
Martinel kafunga goal 6 msimu mzima😁😁😁.
 
Mtu anakuja kusumbua hmu na kikosi chake finyu....Luis Diaz mwaka jana alivyopata pancha tu....msimu wte ukaharibika...alaf anakuja kutupigia kelele hmu
 
Ndo maana nikasema ww unaongelea kishabiki...huongei kimpira...kaangalie tena stats za Martineli halafu ndo uje....tuna luxury ya kuwa hata na majeruhi wa4 sasahv na timu ikaenda....ww ukipata pancha 2 tu huna shughuli tena
 
Hyu akipata pancha ya wachezaji 2 tu kwny kikosi chake tyri yanajirudia ya msimu ulopita....
Pancha 2 si anagombea top 10, hiyo hiyo timu waliyonayo Sasa ipo limited , hao wachezaji wapya waliowasajili ni wakawaida tu,

Kocha wao aliwataka Jude, Tchoumeni ,Josko , ila hawana hela

Lavia wameambiwa £50m wanasuasua kulipa

Anaongea as if Salah ambaye wanamtegemea Sana ana miaka 20, Salah Kasi ilishaanza kushuka toka last season , Midfield Yao ndio hao jamaa wapya wawili ,

Walicheza na timu za ovyo na Kuna nyingine zilikuwa zikifika katikati wanashambuliwa sana,walipokutana na Bayern pia hivo hivo

Nashangaa anavyokuja kupiga porojo humu
 
Hii ni 2023. Una miaka mitatu CITY huwa anakukanda tu. LEO HUTOKIView attachment 2709835
Ni kwli wametufunga sana...huna haja ya kutuletea mapicha hmu...ila ww kugombea ubingwa sahau ni hiko kikundi chako cha kina Trent Alexander Arnold....sahau mkuu...unless mpate watu wa 4 zaidi wa maana....huna uwezo wa kuhimili majeruhi kabisa ....huna
 
Kwan wewe last season umefanya kipi kikubwa? Au kupigwa comeback na WHU wakati upo kwenye title runup??
Msimu ulioisha mmeonekana bora sababu, timu zenye nguvu hazikuwa vizuri,, Huu msimu hata top5 hamtoboii
 
Ndo maana nikasema ww unaongelea kishabiki...huongei kimpira...kaangalie tena stats za Martineli halafu ndo uje....tuna luxury ya kuwa hata na majeruhi wa4 sasahv na timu ikaenda....ww ukipata pancha 2 tu huna shughuli tena
Watu Kama Hawa nyie hamuwajuagi ,Mimi nikishaona akili zao ,huwa siwajibu ,anataka mbishane

Anakwambia tunamtegemea Partey


Mara Martinelli kamaliza na goli 6

Huyu kwanza mpira hafatilii ni mshabiki maandazi

Arsenal tuna luxury ya DM wa kutosha ,tuna luxury ya Mabeki wakutosha

Tunaweza kuanza Ligi na majeruhi wanne na tusitetereke ,wakaja kuungana mbele kuongeza nguvu
 
Sasa wewe ambae aliumia Saliba tu ukawa unagawa hovyo tu vipiwakiumia key player wa 3 au 4??
 
Kwan wewe last season umefanya kipi kikubwa? Au kupigwa comeback na WHU wakati upo kwenye title runup??
Msimu ulioisha mmeonekana bora sababu, timu zenye nguvu hazikuwa vizuri,, Huu msimu hata top5 hamtoboii
Hamkuwa vzr wapi, Ligi inaanza wewe siulisema mnagombea ubingwa na city ,acha uzushi

Chelsea katumia €600m za usajili

Manjesta katumia €250m za usajili

Westham katumia €180m za usajili


Unasema hawakuwa vzr ,watu walisajili wagombee ubingwa ,unawadhalilisha hawakuwa vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…