Mbona unapanickJibu swali timu yako ina quality gan ?
Mbona ipo Europa
Msimu huu umeboresha Nini tofaut na last season
Timu yako yenye quality umeboresha Nini tofaut na mwaka Jana?Wewe UEFA unaenda kutalii tu.
Hata 1/4 huwezi toboa. Kama kina sporting walikukamua ije kuwa kina PSG huko na Kina Bayern.
Wewe Jibu swali timu yako ina quality gan ?Mbona unapanick
Mara ya mwisho kumfunga City lini.??
Wewe kazi ya kupiga ramli huiwezi ,mwaka Jana ilikushinda ,ulisema mnagombea ubingwaWewe UEFA unaenda kutalii tu.
Hata 1/4 huwezi toboa. Kama kina sporting walikukamua ije kuwa kina PSG huko na Kina Bayern.
Mkuu mda mrefu sana...wale jamaa wanatutesa kweli....Mbona unapanick
Mara ya mwisho kumfunga City lini.??
Ngao tulichukulia kwa Nani?Kwani Arsenal mara ya mwisho kumfunga City kwenye mashindano yoyote yale ni lini?
Mwaka gani?Ngao tulichukulia kwa Nani?
Arteta anaingia tu, alichukua FA na ngaoMwaka gani?
Ni kwli kabisa Sporting alitutoa mkuu....ila safari hii tunaelekea kwny mashindano makubwa zaidi kucheza na timu kubwa zaidi...Vp nyny mkuu...ndo mmeshaanza kuchukua nafasi yetu huko chini kwny nafasi za nane na kuendelea....maana sioni Zobolai sijui na makalista wakiwapa ubingwaWewe UEFA unaenda kutalii tu.
Hata 1/4 huwezi toboa. Kama kina sporting walikukamua ije kuwa kina PSG huko na Kina Bayern.
Why???....au wachezaji ndo wamewakataa jamaa...bidding war ni nzuri kwa Balogun kupata hela zaidi...we need a good RW backup|| Crystal Palace have had approaches for both Eddie Nketiah and Folarin Balogun, rebuffed by Arsenal with no encouragement for the two forwards [Via - @ReluctantNicko].
Jamaa zako hawataki kukubalj ukweli .Mkuu mda mrefu sana...wale jamaa wanatutesa kweli....
Hujanijibu bado mara ya mwisho kumfunga manchester city ni linj??Arteta anaingia tu, alichukua FA na ngao
Kaangalie Nani waliopogwa hapo
Wameleta pesa ndogo hao jamaa inaonekana ,balogun anauzwa , Eddie anabakiWhy???....au wachezaji ndo wamewakataa jamaa...bidding war ni nzuri kwa Balogun kupata hela zaidi...we need a good RW backup
Yah LFC bado haijaimarika.Ni kwli kabisa Sporting alitutoa mkuu....ila safari hii tunaelekea kwny mashindano makubwa zaidi kucheza na timu kubwa zaidi...Vp nyny mkuu...ndo mmeshaanza kuchukua nafasi yetu huko chini kwny nafasi za nane na kuendelea....maana sioni Zobolai sijui na makalista wakiwapa ubingwa
Sisi ipo.Mnayo nyie asee kina VVD,
Psg nayo ni timu sasa😁Wewe UEFA unaenda kutalii tu.
Hata 1/4 huwezi toboa. Kama kina sporting walikukamua ije kuwa kina PSG huko na Kina Bayern.
hamna sio timuPsg nayo ni timu sasa😁