hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,411
- 26,972
DM tuna watu watatu Partey , Jorginho na RiceCaisedo price tag kubwa...£100 million...Chelsea mpk leo wanavutana na Brighton...Zubimendi nahisi ana kitu kinaitwa home sickness bado hajakuwa tyri kucheza nje ya spain...Lavia naye inaonekana price tag yke kubwa maana hata Liver wanamhitaji sana ila wanaona bei ni ya kupigwa kwhyo wana bargain...Rice anachezeshwa LCM lakini kiuhalisia ni DM...mi naona eneo lenye uhitaji ni RW ila viungo so far somehow tuko sawa...ila with arsenal kitu chchte kinaweza tokea maana hata kipa tumeshtukizwa....kwhyo U never know
LCM tuna Trosaard ,Smith ,Kai na Rice tunapotaka kuwa wagumu Zaid
Kwasasa hatuhitaji DM , Ngumu kuongeza DM atasugua bench ,huwez muweka nje Partey,huwez weka bench £105m
Now ni GK, RW nasikia labda na RCB ,