Arsenal have lost 15 times in 16 consecutive meetings against Manchester City. This is not even head to head. This is bed to bedView attachment 2708681
Kwa trossad angeanzia KaiTwende na hii mechi za ligiView attachment 2708752
Hata nketiah kwa kiwango alichoonesha juz wengi wanasema aanze ,japo binafsi napendelea Trosaard au KaiKwa trossad angeanzia Kai
Au bado haja adapt vizuri?
Kumbuka pia jinsi hayo magoli yalivyofungwa.Mkiambiwa mashabiki wa Asenyo bado mko na utoto mwingi mnakasirika.
Sasa hapo mwenyewe unafurahia kabisa kuona timu yako inaingia kwenye goli la mpinzani wako zaidi ya mara 75 na n kuishia kupata vigoli vitatu, halafu mpinzani wako anaingia mara 13 tu golini kwako na kukushona goli 2 huoni kama foward yako ni mbovu kiwango cha kutupwa?
Arsenal are about to sign Raya for the same money Chelsea paid for Brighton's 3rd choice Goalkeeper
Edu GasparrrrrrrrrView attachment 2708753
SafiAtalanta Nae kahijack deal la Interkwa scamacca
Exclusive:
Inter have returned strongly to sign Folarin Balogun. Talks with Arsenal have intensified in recent hours and Inter are now optimistic of striking an agreement for a fee in the region of €35m+ 15 add ons
[@AlfredoPedulla]
Halafu unaweza Kuta hiyo add ons yenyewe masharti yake ni magumu kwelikweli...unaweza Kuta inasema afikishe goli kiasi flani kwa misimu kadhaa hta wakti mwingine na ubingwa juu....yaani add ons huwa siyo hela ya kuhesabia kbsaEdu na Vinai wawe wakali kidogo kwenye mauzo. Najua Edu alisema tuko tayari kuvunja hata mikataba Ili wachezaji tusiowataka na wasiotaka kuendelea kuitumikia timu wapunguzwe wengine waje. Ila 35 + 15 naona tunajipunja. Weka 45 + 5. Weka buy-back na sell-on clauses.
Tumekuwa na shida kubwa kwenye kuuza kuliko kununuaHalafu unaweza Kuta hiyo add ons yenyewe masharti yake ni magumu kwelikweli...unaweza Kuta inasema afikishe goli kiasi flani kwa misimu kadhaa hta wakti mwingine na ubingwa juu....yaani add ons huwa siyo hela ya kuhesabia kbsa
Wataje wachache unaopenda kuwaona wakinunuliwaWakuu nadhani tunahitaji Dm hata mmoja kwa ajili ya kumsaidia partey hasa zile game za weka ugoko niweke chuma.
Aisee namhitaji mnooo caisedo.rice hajaondoa nafasi ya zubimendi au lavia. Sadly ndani ya team kwenye academy sijaona a potential product kwenye eneo la DM wakucheza lone 6Wataje wachache unaopenda kuwaona wakinunuliwa
Caisedo price tag kubwa...£100 million...Chelsea mpk leo wanavutana na Brighton...Zubimendi nahisi ana kitu kinaitwa home sickness bado hajakuwa tyri kucheza nje ya spain...Lavia naye inaonekana price tag yke kubwa maana hata Liver wanamhitaji sana ila wanaona bei ni ya kupigwa kwhyo wana bargain...Rice anachezeshwa LCM lakini kiuhalisia ni DM...mi naona eneo lenye uhitaji ni RW ila viungo so far somehow tuko sawa...ila with arsenal kitu chchte kinaweza tokea maana hata kipa tumeshtukizwa....kwhyo U never knowAisee namhitaji mnooo caisedo.rice hajaondoa nafasi ya zubimendi au lavia. Sadly ndani ya team kwenye academy sijaona a potential product kwenye eneo la DM wakucheza lone 6
LCM na RCM tunao wengi mno ila wote wana offer kitu kilekile.angalau trossard akichezeshwa double pivot ya 8 anaoffer flexibility kubwa.
Safi....ukilialia watu wanachukua....Inter na Juve wanajifanya wanaijua hela sanaInter kafanyiwa umafia ,Sasa njia nyeupe waje kwa Balogun
() Gianluca Scamacca to Atalanta is a DONE DEAL in a deal worth €25m fixed fee, €5m easy add ons; 10% sell on clause also included.#Atalanta
(via @FabrizioRomano)