Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hili Ni pigo kubwa Sana kwa Timmy yetu.
Sio pigo ,Kuna wiki 1 kabla ya Ligi ,Kuna wiki 2 za international break September ,jumla karibu wiki 3 out of 5-6

Tuna option ya Kai , Trosaard na nketiah

Jesus atakosa mechi maximum 4
 
Exclusive:

Inter have returned strongly to sign Folarin Balogun. Talks with Arsenal have intensified in recent hours and Inter are now optimistic of striking an agreement for a fee in the region of €35m+ 15 add ons

[@AlfredoPedulla]
 
15 add ons ni nyng sana....inatakiwa iwe walau 42 na 8 add ons...maana hzi add ons si hela za kuhesabia....zinaweza zipatikane au zisipatikane
 
15 add ons ni nyng sana....inatakiwa iwe walau 42 na 8 add ons...maana hzi add ons si hela za kuhesabia....zinaweza zipatikane au zisipatikane
Kweli asee ,nasikia Arsenal wanaona Bora hela iwe ya kawaida ila kiwekwe kipengere Cha sale % au buy back clause , usishagae mwakan akifanya vzr , akauzwa manjesta kwa €100m
 
Kabisa mkuu kuna mechi akianza siku yule na timber kwny RB na LB halafu kati kukawa na Partey na Rice na Odegaard..winger Trossard na Saka....kuna timu zitamaliza mechi zimepiga pasi 50 full time
 
Kweli asee ,nasikia Arsenal wanaona Bora hela iwe ya kawaida ila kiwekwe kipengere Cha sale % au buy back clause , usishagae mwakan akifanya vzr , akauzwa manjesta kwa €100m
Hii nayo ni option nzuri...wao kama wanataka mchezaji wafuatane na sisi tunachotaka....ize ty
 
Kabisa mkuu kuna mechi akianza siku yule na timber kwny RB na LB halafu kati kukawa na Partey na Rice na Odegaard..winger Trossard na Saka....kuna timu zitamaliza mechi zimepiga pasi 50 full time
unakumbuka ile mech pale Emirates vs manjesta , Jamaa waliingia Mara 13 tu kwenye box la Arsenal , wakati saka na nelli waliingia Mara 65 Kama sikosei

Ile mechi Zinny alikuwa ana drive timu mbele had nikaona muda manjesta wamerud nyuma wanatafuta sare ,

Kuna ile mech pale Emirates vs Newcastle ,aliwapelekea Moto Sana , wakawa wanapoteza muda waondoke na sare
 
Man Utd waliingia Mara 13 tu kwenye box la Arsenal wakapata magoli mawili, wakati saka na nelli waliingia Mara 65 Kama sikosei na wakaishia kupata vigoli vitatu tu huoni kama hayo ni matumizi mabaya ya kuingia kwenye box?
Kwa hesabu za haraka haraka hapo man Utd wanahitaji kufika golini mara 6 tu ili wapate goli wakati Arsenyo inawalazimu kufika golini mara zaidi ya 25 ndio wapate kagoli kamoja.
 
Huoni kwamba Kocha wenu ni Tony pulis wa kidachi?

Degea aliyekuwa anawaweka mjini hayupo safari hii mtaeleza vzr
 
Anacheza kwa jihadi sana msela na ndo nakiona pia kwa Timber na Rice
 
Huoni kwamba Kocha wenu ni Tony pulis wa kidachi?

Degea aliyekuwa anawaweka mjini hayupo safari hii mtaeleza vzr
De Gea alowaokoa wakapata top 4 wamemtosa..captain fantastic Magwaya alochomesha wakatolewa na Sevilla wamemng'ang'ania hawataki kumuuza...Wana akili sana Hawa....safari hii tunao mechi ya nne tu...tutam test Onana vzuri tuone

Hawa jamaa safari hii tukiwapa mbinyo ,lazima onana aachie 4+
 
Huoni kwamba Kocha wenu ni Tony pulis wa kidachi?

Degea aliyekuwa anawaweka mjini hayupo safari hii mtaeleza vzr
Mkiambiwa mashabiki wa Asenyo bado mko na utoto mwingi mnakasirika.
Sasa hapo mwenyewe unafurahia kabisa kuona timu yako inaingia kwenye goli la mpinzani wako zaidi ya mara 75 na kuishia kupata vigoli vitatu, halafu mpinzani wako anaingia mara 13 tu golini kwako na kukushona goli 2 huoni kama foward yako ni mbovu kiwango cha kutupwa?
 
Arsenal kafunga goli 88 last season

Manjesta sijui goli 50

Nan ana forward mbovu?

Hiyo mechi mshukuru Mungu,

Subiri game ya 4 safari hii mnaanzia Emirates huku GK ni onana , 4+ bet kabisa weka hata hati ya nyumba
 
Sio pigo ,Kuna wiki 1 kabla ya Ligi ,Kuna wiki 2 za international break September ,jumla karibu wiki 3 out of 5-6

Tuna option ya Kai , Trosaard na nketiah

Jesus atakosa mechi maximum 4
Nyumbu atakufa bila ya Jesus

Baada ya game na nyumbu ni international break

Baada ya hapo Sasa Yutong inashuka mlima kitonga
 
Inamaana bila de gea golini mlikua mnnakufa wiki

Yan, ule Moto alafu mapepe Onana akiwa golini chuma 4 Kama mmesimama alafu mnaanza kutafutwa Sasa

Hapo Kai, trossad, Rowe Wana warm-up nje

Ipige screenshot hii
 
Umeandika na kufikiri sana, big up kwako mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…