Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mm siongelei ushabiki
 
mm siongelei ushabiki
Sasa wewe kwa akili ya kawaida kabisa unaona Mchele uliovunjikavunjika (Decline Rice) una thamani ya £105m?
Ndio maana nikakwambia huo uhuni aliowafanyia Pep sio mambo mageni yalikuwepo tokea kipindi cha vita ya kwanza ya dunia.
 
Zinchenko on his injury -

"It is getting better now. Obviously I have a little bit of time to feel completely better in terms of my injury that I received before. The target at the moment is just to get as fit as possible as soon as I can, and then of course to stay fit throughout the season, which is most important. That’s my target."

(Arsenal)

arsenal.com/news/zinchenko…
 
Arteta on Gabriel Jesus -

"I’m sure he will be back soon and very fit."

(@kayakaynak97 )

football.london/arsenal-fc/fix…
 
Nottingham Forest want to close Matt Turner deal as soon as possible, talks advancing with Arsenal as revealed earlier.
#NFFC

Dean Henderson remains an option for Forest in the final weeks of the window — not now.
 
Jesus aachane na madaktari wa Arsenal. Akawatafute wale madaktari wa Cazorla.

Cazorla walimzuga zuga na issue ya bacterial infection kwenye mguu na hawakugundua ni bacterial issue. Akaenda Spain akapona na akarudi Villarreal akacheza mpira tena.
Hivi kwa nini pep aliwauzia zin na jesus, akagoma kuwapa Gundo, Ni kama vile alijua kabisa ni wagonjwa waende tu.
Huu nao si upigaji huu?
 
Kwangu mimi jesus ni mchezaji ambaye arteta alimleta basically kuimarisha instict za wachezaji waliopo.
Winning it takes also a strong mentality.

Inferiority imetusumbua.kuna wakati wachezaji wanahitaji kumuona mtu ana move ili nawao wasogee
 
Decline rice.

Kwangu mimi siamini kama jamaa ni gifted sana technically.kama unamuangalia rice kwa perspective ya david silva,benado silva,locatell,zubimend,carzola,rosisky ,gundo kroose,camavinga nk ni rahisi kuona tumepigwa.

Hivi ushawahi kujiuliza kwanini
Liverpool wana hernderson na klop anapambana mara kadhaa kumbakisha babu milner?
Chelsea bora ilikuwa na Terry na lampard
Man city imemleta jack glealish,stones na sasa kuna foden.hawa wote technically sio wachezaji wa guardiola.

Hao wote wana sifa moja inayowaunganisha,ni waingereza.
Waingereza wanatabia ya upambanaji hasa bila kujali wanakipaji au hawana ila watapambana kupata wanachotaka.
Mwingereza anaweza asiwe bora ila akaamini yeye ni bora kuliko wewe na akakushinda.

Waingereza wanaamini kwenye hard working kuliko kipaji.they give it all to preserve their pride.na kwa timu inayohitaji kupambania mataji hii akili na tabia ni muhimu saana.guardiola aliliona akaleta waingereza and it paid.

Decline rice.mwangalie body language yake na umri wake haviendani.ana seniority body language.anaamini anastahili kilicho bora na anaamini anacho kilicho bora cha kuoffer.

Decline rice.Angalia statement zake haamini kama kuna team bora kuliko aliyopo,hakuna kocha bora kuliko anayemfundisha na kikosi chenye wachezaji bora kuliko wanaomzunguka kwa sasa. Hii inaondoa inferior feelings na inaimarisha self esteem yake.Mbishi hasa.

Check anavyohandle media na expectations zinazotokana na price tag yake, Its like I don't care.Price tag imemmaliza pepe,inamtesa mudrick na inamyoosha nunez pale Liverpool .
Mwangalie glealish,hata hakumbuki alinunuliwa kiasi gani.its none of his business anahisi alistahili.Rice ameonyesha kuhandle presha.
Mimi natarajia kumuona rice kuanzia february na hapo kila mmoja atajua thamani ya roho ya kiingereza hasa hawa WEUPE NOT BLACKS.

Mpeni muda decline rice,sio mech kadhaaa,wiki kadhaa au mwezi.mpeni muda awaaambukize tabia ya ushindi.
 
Hivi kwa nini pep aliwauzia zin na jesus, akagoma kuwapa Gundo, Ni kama vile alijua kabisa ni wagonjwa waende tu.
Huu nao si upigaji huu?
Wewe ni mropokaji kupindukia ,Gundo alikuwa injury prone wakutupwa had alipo settle ndio akawa sawa ,the same KDB

Jesus unayemzungumzia kuwa ni injury prone ,data zake hizi hapa hajawahi kuwa injury prone,

Gabriel Jesus Premier League availability last 6 seasons:

17/18: 32/38
18/19: 36/38
19/20: 35/38
20/21: 30/38
21/22: 34/38
22/23: 26/38


He’s NOT injury prone like that. His knee is fine, “clean up” is common.
 
Rice inaonesha mapema tu kasha handle price tag yake

Halafu Arteta amegundua asimuondoe Partey ,ili wacheze wote huku ana settle taratibu
 
Watu wanaongea bila data mkuu...ila mm binafsi naumia sana Zinchenko asipokuwepo kuliko asipokuwepo Jesus....Zinny ana akili nyingi sana
 
Watu wanaongea bila data mkuu...ila mm binafsi naumia sana Zinchenko asipokuwepo kuliko asipokuwepo Jesus....Zinny ana akili nyingi sana
Upo sahihi ,sawa na Mimi ,yaani ilifika muda Zinny hayupo siangalii mechi huyo ndiye most talented player ,most Gifted player kuliko wengi

Kuna mechi unaona kabisa wachezaji wame give up , huwa anafanya maamuz magumu ana invert Kama DM, AM ,LW



Angalia hapa data zake ,
 
Kaama nimekuelewa hivi


Umeandika kitu kikubwa sana Kama mtu wa soka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…