arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,359
- 4,408
NBayern Hana uwezo wa kuchukua mchezaji tunayemtaka....sasahv tukienda sokoni ukiona tumetuma ofa ujue imeisha hyo ..unabisha subiri uone hyo Raya ataishia wapi🤣🤣🤣
Tunaweza kwli tukatuma ofa ya kumtaka Magwaya....aje kuwa anasafishasafisha viatu vya wachezaji pale Emirates maana ndo kazi itakayomfaa pale fantastic Captain Magwaya🤣🤣Na vile mnaenda kudominate EPL kwa miaka 10 sasa hivi wachezaji wote Arsenyo ndio timu ya ndoto yao.
Hata Magwaya leo akisikia tetesi kua Asenyo inamtaka ataanza kudai kua Asenyo ndio timu ya ndoto yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Timber hawez kwenda kucheza mpira wa fujo fujo wa bwana Dutch David Moyes Erik 7 hagHalafu mkuu si ni nyny mlimualika bwana mdgo Timber kuja kuangalia mtanange wenu na Man City fainali ya FA....baada ya kutoka pale bwana mdgo akasema HAPANA siwezi kujiunga na hiki kikundi cha wakimbiaji...chap akabadili mawazo[emoji1787][emoji1787]
Ukweli wa wazi huyo dogo tutamchukua kwa Bei ndogo tu ,maana msimu huu anaenda kuingia raami kwenye list ya Sajili za kukumbukwa za kitapeliTukiweka ushabiki pembeni
Huyo dogo anatamani ata leo awe pale Emirates
NBayern Hana uwezo wa kuchukua mchezaji tunayemtaka....sasahv tukienda sokoni ukiona tumetuma ofa ujue imeisha hyo ..unabisha subiri uone hyo Raya ataishia wapi🤣🤣🤣
Tunaweza kwli tukatuma ofa ya kumtaka Magwaya....aje kuwa anasafishasafisha viatu vya wachezaji pale Emirates maana ndo kazi itakayomfaa pale fantastic Captain MagwayaNa vile mnaenda kudominate EPL kwa miaka 10 sasa hivi wachezaji wote Arsenyo ndio timu ya ndoto yao.
Hata Magwaya leo akisikia tetesi kua Asenyo inamtaka ataanza kudai kua Asenyo ndio timu ya ndoto yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mchezaji tyri ni mali ya timu nyngne lakini anatufatilia sana maana yake ni kwmba kinamuuma kutokumchukua...na sisi tuliona utapeli ule tukakwepa mabomu🤣Tukiweka ushabiki pembeni
Huyo dogo anatamani ata leo awe pale Emirates
Tutamchukua kwa 50 yuleUkweli wa wazi huyo dogo tutamchukua kwa Bei ndogo tu ,maana msimu huu anaenda kuingia raami kwenye list ya Sajili za kukumbukwa za kitapeli
20-30 ,wewe subiri uone ,Tutamchukua kwa 50 yule
Na Balogun akiuzwa itazidi kushuka tulete RW na CF mwingine wa kuzugia pamoja na kipaNet spend mpaka igonge 250
Arsenal’s net spend has now gone from £199.7m to £167.7m after the sales of Pablo Marí to Monza (£6m), Granit Xhaka to Leverkusen (£21m) and Auston Trusty to Sheffield United (£5m).
Yah ,kuanzia madirisha yajayo itakuwa tunasajili mchezaji mmoja kwa €100m wakujazia panavuja,Na Balogun akiuzwa itazidi kushuka tulete RW na CF mwingine wa kuzugia pamoja na kipa
Kama unajiamini weka hati ya nyumba, na uoneshe hapaKusema hii timu ni kibonde kiasi ichi Mpaka wazee wa mikeka wamewapa mipoint mingi hivi.
Mtarambwa mbaya Wenger orphans [emoji16][emoji16]View attachment 2708181
Siwezi kubeti na watu wanao kimbia jukwaa.Kama unajiamini weka hati ya nyumba, na uoneshe hapa
Kama hujaja kuomba msaada wa kisheria Jf urudishiwe nyumba
Huku Turner anaelekea Forest[emoji599]Arsenal close to striking a deal with Brentford for David Raya. Fee close to £28m. Details over add ons being discussed. #AFC