arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Unataka mangapi Sasa mkuu maana ww umesema mara uitwe Mwajuma sijui...mara Mbwa jike mara upigwe risasi..simama na moja basi Ili tukibeba ndoo tujue lipi la kukuita....halafu kuifunga Chelkenge sio malengo tena maana ni kama π...Labda Manyumbu ndo huwa yanatusumbua kidogo...nyie endeleeni kukusanya wakimbiza upepo wengine wapya mjaribu tena kutokushuka daraja ila Bora mmechukua kikombe kwa kuwafunga Fulham maana ndo kikombe pekee kwa msimu huu mtakachochukuaNdio mseme malengo yenu ni kumfunga chelsea na nyumbu, ila sio ubingwa. Msimu huu mkibeba ubingwa nipgwe risasi.
Pochi nene Kroenke's aitolee wapi?Kronke pochi Nene
Kwa saka na partey watuongezee watu
Rice akae pale pale kwa xhaka
| Oleksandr Zinchenko on William Saliba: “Rolls-Royce. So good, I love him so much.
“I’ll be honest with you, I didn’t know him before I came to Arsenal when I saw him from the training sessions, I said: ‘who is this guy?’. Then first game against Chelsea, pre-season, zero mistakes.
“This guy never makes mistakes. Then he scored the goal with the left foot against Bournemouth. I went to my knees because I said this guy… I said, this guy, he can do everything. He can do everything.” [@FIVEUK] #afc
Mkuu, ubora wa Saliba nao unataka mpaka walimu wa mchikichini waje kukuelewesha mkuu???hizi ndio zile uongo wachezaji na mashabiki wa Asenyo wanapenda kudanganyana.
Keshokutwa tu hio Jumapili tunaenda kujionea wenyewe kikosi kinachoenda kudominate ligi kwa miaka 10 mfululizo kikienda kuabika na kudhalilika mbele ya vijana wa mliManicity.
Arsenyo ni wazee wa makombe ya Emirates mkuu usiwabishie.Unaachaje kuja huku kutoa stress, mtu anakwambia Arsenal y makombe, muulize makombe yapi kama atakujibu
Mkuu, ubora wa Saliba nao unataka mpaka walimu wa mchikichini waje kukuelewesha mkuu???
Una push kwa mchezaji ambaye ameshasema napenda kwenda timu Fulani maana ndo timu ya ndoto yangu...Bayern watakuwa wameshatuchukia mpk Sasa maana Kila walipokuwepo na sisi tupo
Sasa yy ku post na kutuhadaa halafu akafaidika na nn Sasa....sanasana inaonekana ni kama ana hasira baada ya kuona tulistukia lile dili tunaenda kupigwa tukamuachia tajiri miluzi akapigwa mchana kweupe....apambane kwny timu yake aonekane Bora sio kukimbia bila kutumia akili kama anavyofanyaHata Mudryk alikua anawahadaa hivyohivyo kua Asenyo ni timu ya ndoto yake kumbe alikua anawatumia kama chambo ili Chelsea aongeze pesa.
Huyohuyo Mudy baada Aseno timu ya ndoto yake kuchabangwa na kutolewa kwenye michuano ya Europa akapost hii kitu kama kebehi kwa Arsenyeto ya ndoto yake. View attachment 2708082
Imekuwaje Sasa huyo mudrky mbona amekuwa flopped tayariHata Mudryk alikua anawahadaa hivyohivyo kua Asenyo ni timu ya ndoto yake kumbe alikua anawatumia kama chambo ili Chelsea aongeze pesa.
Huyohuyo Mudy baada Aseno timu ya ndoto yake kuchabangwa na kutolewa kwenye michuano ya Europa akapost hii kitu kama kebehi kwa Arsenyeto ya ndoto yake. View attachment 2708082
unamzungumzia Saliba huyuhuyu anaelala uwanjani na kubarizi upepo kama vile yuko beach au ni Saliba mwingine unaemzungumzia wewe?
Saliba aliechukuliwa team ya taifa kwenye world cup halafu akaishia kusugua bench bila kucheza hata mechi moja mpaka mashindano yanaisha au ni Saliba yupi? View attachment 2708068
Hayo yako ni maneno tu ya mkosaji.Sasa yy ku post na kutuhadaa halafu akafaidika na nn Sasa....sanasana inaonekana ni kama ana hasira baada ya kuona tulistukia lile dili tunaenda kupigwa tukamuachia tajiri miluzi akapigwa mchana kweupe....apambane kwny timu yake aonekane Bora sio kukimbia bila kutumia akili kama anavyofanya
Jina la nyumbu limetafsirika vyema kwake hyu muungwana....halafu ana post mechi ya Europa sisi tumetolewa kwa penalty...wao sijui walitolewaje vile kule kwa wahuni Sevilla🤣🤣🤣Imekuwaje Sasa huyo mudrky mbona amekuwa flopped tayari
Yaan unazungumzia wachezaji flopp humu ?
Unajaza comment na picha kuzungumzia mchezaji ana goli 1 pre season ndan ya miez 10?
Imekuwaje Sasa huyo mudrky mbona amekuwa flopped tayari
Yaan unazungumzia wachezaji flopp humu ?
Unajaza comment na picha kuzungumzia mchezaji ana goli 1 pre season ndan ya miez 10?
Bayern Hana uwezo wa kuchukua mchezaji tunayemtaka....sasahv tukienda sokoni ukiona tumetuma ofa ujue imeisha hyo ..unabisha subiri uone hyo Raya ataishia wapi🤣🤣🤣Hayo yako ni maneno tu ya mkosaji.
Nilichokusudia kumaanisha ni msihadaike na maneno ya mchezaji kua hataki kwenda timu nyingine kwa kua Asenyo ni timu ya ndoto yake.
Nakuhakikishia huyo Dada Raya kama Buyern wakitoa pesa nzuri hutamsikia tena Raya anazungumzia mambo ya timu ya ndoto yangu.
Bayern Hana uwezo wa kuchukua mchezaji tunayemtaka....sasahv tukienda sokoni ukiona tumetuma ofa ujue imeisha hyo ..unabisha subiri uone hyo Raya ataishia wapi🤣🤣🤣
Atajua yeye ,lakin inashangaza Sana unapoteza muda humu unazungumzia Flopp?Pamoja na yote lakini haizuii kua Arsenyo ndio ilikua timu ya ndoto yake.
Na vile mnaenda kudominate EPL kwa miaka 10 sasa hivi wachezaji wote Arsenyo ndio timu ya ndoto yao.Bayern Hana uwezo wa kuchukua mchezaji tunayemtaka....sasahv tukienda sokoni ukiona tumetuma ofa ujue imeisha hyo ..unabisha subiri uone hyo Raya ataishia wapi
Bayern hana pesa ya kushindana na Arsenal tukitaka mchezaji na yeye anayemtakaHayo yako ni maneno tu ya mkosaji.
Nilichokusudia kumaanisha ni msihadaike na maneno ya mchezaji kua hataki kwenda timu nyingine kwa kua Asenyo ni timu ya ndoto yake.
Nakuhakikishia huyo Dada Raya kama Buyern wakitoa pesa nzuri hutamsikia tena Raya anazungumzia mambo ya timu ya ndoto yangu.