Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa itakuaje itabidi tumuachie Kai urojo acheze hiyo position nafasi 10 goli moja.
 
Hapo Mc Masingeli kashayaaminisha makondoo ya humu kua Harvez ndio Messiah wao waliokua wanamsubiria kwa miongo kadhaa awavushe bahari na kuwafikisha nchi ya ahadi.
Hii timu ni sawa tu na kikundi cha comedy.
 
Kai ana game 4 goli 2

Mount mmetapeliwa Game 5 Goal 0 assist 0

7hag ni tapeli
Wao wqmeshazoea kutapeliwa kwa hyo sio ishu ndo maana wanaomba sana na kwa arsenal itokee hvyohvyo...Lukaku...di maria...Pogba...van de beek... Werghost mzee wa mikimbio mizuri...Antony masebene...Sancho...kwakweli list ni ndefu
 
Jesus sio injury prone , Baada ya kufanyiwa surgery ya goti alipona kabisa , ila madaktari wanasema anahitajika wapasafishe asisikie maumivu ,it takes few weeks,makadirio ni 6 weeks maximum

Gabriel Jesus Premier League availability last 6 seasons:

17/18: 32/38
18/19: 36/38
19/20: 35/38
20/21: 30/38
21/22: 34/38
22/23: 26/38

Of course Arsenal breaks the 30+ streak, but he’s durable & reliable. He’s NOT injury prone like that. His knee is fine, “clean up” is common.
 
Hapo Mc Masingeli kashayaaminisha makondoo ya humu kua Harvez ndio Messiah wao waliokua wanamsubiria kwa miongo kadhaa awavushe bahari na kuwafikisha nchi ya ahadi.
Hii timu ni sawa tu na kikundi cha comedy.
Nilikuwa namcheki hojlund mkuu aisee ni hatari...makipa inabidi wajiandae...jamaa ni noma😅😅
 
Hapo Mc Masingeli kashayaaminisha makondoo ya humu kua Harvez ndio Messiah wao waliokua wanamsubiria kwa miongo kadhaa awavushe bahari na kuwafikisha nchi ya ahadi.
Hii timu ni sawa tu na kikundi cha comedy.
Inafurahisha mnavyoteseka kukazana Kai tumepigwa

Mount amecheza mech ngapi had Sasa na kafanya Nini ? Tena kapewa no.7

Huyu jamaa Sion akivuka Goli 2 kwa msimu ,kasha flop hata Ligi haijaanza ,

Pre season Hakuna kipya alichoonesha ataongeza hapo unyumbuni


Cha ajabu mnalazimisha kwa Kai ambaye kila mechi anafanya poa

 
Nilikuwa namcheki hojlund mkuu aisee ni hatari...makipa inabidi wajiandae...jamaa ni noma
Habari za kuaminika kutoka England ni kwamba makipa wote wa EPL kasoro Andre Onana wameunda group lao la Whatsapp lengo ni kujadili ni namna gani wanaweza kumzuia Rasmus Hojlund, jamaa anaweza kufunga kwa kutumia kila kiungo kwenye mwili wake,Hojlund aliwahi kupiga penati kwa kichwa.
Kuna tetesi zinazagaa kua makipa wa Epl wanampango wa kufanya mgomo wa kuingia uwanjani ligi ikianza.
 
Hapo Mc Masingeli kashayaaminisha makondoo ya humu kua Harvez ndio Messiah wao waliokua wanamsubiria kwa miongo kadhaa awavushe bahari na kuwafikisha nchi ya ahadi.
Hii timu ni sawa tu na kikundi cha comedy.
Wanaojua mpira wanajua Talent ya Kai ,Cha ajabu makanjanja ndio mnasema tumepigwa


| Owen Hargreaves:

“I love Kai. I think he has so much talent. His body language is a bit like Mesut Ozil. I think he is misunderstood.

“He can play there (in the middle of the park) certainly in an Arsenal team that has 70% possession.

“He doesn’t have to be nasty. All he has to do is get on the half-turn and get his head up.

“I think he gives them a huge opportunity to rest Saka, to rest Ødegaard and to rest Gabriel Jesus. He can play in all three of those positions. Plus, he can play deeper. I think the deeper one is the hardest one.

“But I think his talent is undeniable. What is he 6ft2? He is good in the air. He can do so much and I think with the issues Chelsea had, the ship sank and everybody went under with it.

“I don’t think you can judge anyone in those circumstances and I think Kai is in for a big year.” [@talkSPORT] #afc
 
Halafu kinakuja kigenge kinachoangalia mpira vibanda umiza kinakwambia pale mmepigwa yaani yule hamna kitu kabisa....na wanatoa mifano kabisa kwmba amepewa mechi nyng kwlikwli yule hajaonesha kitu..
 
Kai ni yuleyule tu, usiwahadae watu humu kwa hizo warm up za pre season na kuwaaminisha wategemee mambo makubwa toka kwa Kai.
Kai kwenye Epl alishaprove kua ni failure.
Kuna wahuni tu hapo Emirates wakiongozwa na mpiga dili Arteta wameforce biashara ili wapige 10%
 
Halafu kinakuja kigenge kinachoangalia mpira vibanda umiza kinakwambia pale mmepigwa yaani yule hamna kitu kabisa....na wanatoa mifano kabisa kwmba amepewa mechi nyng kwlikwli yule hajaonesha kitu..
Sawa ila tukubaliane mapema kabisa humu ikifika mwisho wa msimu hatutaki kuona kondoo yoyote anamtukana Kai?
 
United Fans can keep their mouths shut on big transfers….

Here are your flops from the last 10 years:

Lukaku £75Mil
- flopped
Pogba £89Mil
- flopped
Sancho £73Mil
- Is a flop
Anthony £82Mil
- Is a flop
Maguire £80Mil
- Is a flop
Di Maria £59Mil
- Flopped
Mount £60Mil
- Already Flopping
Martial £54Mil
- Is a flop
Hojlund £85m
He is going to be Flopped of the season
 
Na hyo ni list ndogo sana miongoni mwa majina mengi...
 
So what about a mountain who has played almost all games with zero effect. Last time we heard of him is from Romano.
 
So what about a mountain who has played almost all games with zero effect. Last time we heard of him is from Romano.View attachment 2707138
Alikuwa hadi Radamel Falcao pale kwenye matofali ya kuchoma....mechi 29 goli 4...forward hyo😅😅😅....sitashangaa hojlund akimaliza msimu na goli 2 halafu tuje kuambiwa akiwepo yy kule mbele timu inakabia juu na hyo ndo faida yke😅😅
 
Nakupa hii Kama hujui

Hojlund alimfukuza Wakala wake akamuajiri wakala ambaye ni wa Ten hag

Hojlund aliyefunga Goli 9 tu msimu mzima akizidiwa na DM wa Atalanta , akauzwa kwa €85m

Kuna connection ya Wakala wa Ten hag kwenda kwa Hojlund ili kuitapeli manjesta

Ndio maana kwangu binafsi ,huwa namuona 7 hag a Dutch David Moyes ,tapeli wakiholanzi

Katumia £400m lakini angalia sajili zake zimejaa connection na ujanja ujanja mwingi

Ukiangalia sajili hizi za Eriki Seven hag ,unaona ni dalali tu hapo manjesta
 
Hawa jamaa wasikuumize kichwa

Last season walitembea na upepo wa Rashid makame ,msimu huu kashaonesha amerud kwenye default settings

Walimsajili Anthony masebene tuliwaambia wazi Waz wametapeliwa

Walibisha ,Leo wanaungana nami kuwa ni utapeli wa Karne ulifanyika

Hojlund Goli 9 , farmer league

Anakuja EPL ,sitashangaa akifunga goli 3-4 msimu mzima,na lawama wapewe Grazzer family
 
Sawa ila tukubaliane mapema kabisa humu ikifika mwisho wa msimu hatutaki kuona kondoo yoyote anamtukana Kai? View attachment 2707127
Erik 7 hag a.k.a A Dutch David Moyes akiwa na Amrabat huko Utriech

Muendelezo ni ule ule ,7hag sajili zake ni za kitapeli ,hazingatii mahitaji husika anazingatia connection alambe % yake

Kwa Hali hii mtaendelea kuwaona Grazzer wabaya ,kumbe mchawi mnae hapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…