Arsenal (The Gunners) | Special Thread

FACT!
 
Kwa hiyo mchezaji akifunga goli tu kwenu ndio mchezaji mzuri. akili za Arse88 bhana.
Best player chelsea last season nani alikwambia ni huyo kilaza? Ndio unavyoidanganya hii mikondoo? Kwamba chelsea wamewauzia best player wao aisee we masingeli kuna siku tutakuitia police tukuweke ndani kwa kucheza na akili za hawa Makondoo.

Huyo ni kilaza ndio mana akauzwa, Pamoja na kupewa lundo la game tym bado alikua failure. Mkaja kichwa kichwa tukawapga.
 
Rice anahitaji apigwe msasa wa maana
 
Rice anaandaliwa kumrith Partey

Zubimend yule si holding MD nae , huenda nae angehitaji kuzoea ,hata Partey nadhan ilimchukua karibu miezi 6 ndio akaanza kucheza lone 6, nakumbuka tulianza kucheza lone 6 round ya 2 msimu wa juzi
Zubi angeingia direct bila kusubiri kuadapt
 
At LCM

Declan Rice made 24 passes in the first half against AS Monaco with a 100% success rate.
 
Duh mapacha ya mapema sana haya.
 
Declan Rice vs. AS Monaco:

62 minutes played
90% passing accuracy (35/37)
48 touches
5 passes into final ⅓
4 duels won
2 tackles made
2 recoveries

[@Squawka]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…