Kuna mtu anakula % huyu jamaa ni wa kumlipa hiyo pesa? Nilijiuliza kwenye 65M offerAccording to @CapologyDB
Kai Havertz is the highest paid player at Arsenal and is earning £280k a week
Gabriel Jesus, Rice, Partey and Saka amongst the top 5View attachment 2706290
Kama kawaida yako kuwalisha kondoo wako matango pori, situation ya Mo Salaa na De brune ni tofaut na huyo kilaza, Mo salah na De brune Chelsea hawakupewa Muda wa kuonyesha walichonacho, ila huyo ronyoronyo alipewa muda mpaka wa upendeleo lakini holaaa. So usiwadanganye eti atakuja kuwa kama De brune au Mo salah.At Bayer Leverkusen Kia Havertz was one of the most wanted talents in world football. While at Chelsea we never saw his form get nowhere near close to expectations.
Just like Mo Salah and De Bruyne never hit there potential at Chelsea.
I believe Havertz can hit the same heights under Arteta at Arsenal.
️View attachment 2706300
Ok sawa De Bruyne alivyotoka Chelsea akaenda wapi?Kama kawaida yako kuwalisha kondoo wako matango pori, situation ya Mo Salaa na De brune ni tofaut na huyo kilaza, Mo salah na De brune Chelsea hawakupewa Muda wa kuonyesha walichonacho, ila huyo ronyoronyo alipewa muda mpaka wa upendeleo lakini holaaa. So usiwadanganye eti atakuja kuwa kama De brune au Mo salah.
Hapo mmepgwa hamna ubishi, muda ndio utadhibitsha hilo.
Unakazania tumepigwa bila hoja ,sababu kafeli kwenu ,hizi akili matopeKama kawaida yako kuwalisha kondoo wako matango pori, situation ya Mo Salaa na De brune ni tofaut na huyo kilaza, Mo salah na De brune Chelsea hawakupewa Muda wa kuonyesha walichonacho, ila huyo ronyoronyo alipewa muda mpaka wa upendeleo lakini holaaa. So usiwadanganye eti atakuja kuwa kama De brune au Mo salah.
Hapo mmepgwa hamna ubishi, muda ndio utadhibitsha hilo.
Huyu anataka kulazimisha ionekane Kai alishindwa pale Chelsea...Sasa chukua stats tu za mwaka jana pale Darajani almost Kila kitu Kai alikuwa wa 1 ila hataki kukubali ukweli timu ilifeli yte kwa ujumla na hakukua na namna ya kumbebesha lawama mtu mmoja...kama Kai ni mbovu Pre season tyri ana goli mbili kafunga huo ubovu wanaouongela unatokea wapi...mchezaji ku flop au kung'aa pia inategemea na performance ya timu kiujumla ndo maana huwa tunatolea mifano ya Salah na De Bruyne hapaOk sawa De Bruyne alivyotoka Chelsea akaenda wapi?
Salah alienda wapi baada ya Chelsea?
Naona kote tumepigwa. kwa uchezaji nataka niweke akiba a maneno kama mjumbe mwingine alivyosema ingawa simuoni kama ni mchezaji mkali kiiiivyo. Naamini ataweza kuliko Xhaka ambaye nahisi ndie amekuja kumreplace so timu ikicheza kama last season, basi tutaona amekuwa bonge la sajili. Tukiwa tunastruggle simuoni kama mtu wa kuvuta na kujaribu kubeba timu. Kwenye mshahara pia ni mkubwa sana. sioni amestahili vipi kuwa top earner wetuTumepigwa kwny ubora wa mchezaji au mshahara anaopokea...fafanua mkuu
Arteta aliulizwa swali Kama Kai ni mbadala wa Xhaka alisema hapanaNaona kote tumepigwa. kwa uchezaji nataka niweke akiba a maneno kama mjumbe mwingine alivyosema ingawa simuoni kama ni mchezaji mkali kiiiivyo. Naamini ataweza kuliko Xhaka ambaye nahisi ndie amekuja kumreplace so timu ikicheza kama last season, basi tutaona amekuwa bonge la sajili. Tukiwa tunastruggle simuoni kama mtu wa kuvuta na kujaribu kubeba timu. Kwenye mshahara pia ni mkubwa sana. sioni amestahili vipi kuwa top earner wetu
Rice anaandaliwa kumrith ParteyNiliwahi sema Rice atakua na kazi ya kuadopt na ndiy kinachotokea hapa.
Huwezi muachia dimba ili usiwe mtupu kwenye kiungo so inabidi acheze na Partey.
Yeye acheze LCM, of coz timu itaperform. Je ilitoka 100M kwaajili ya mtu kuja kukaa LCM? Yule Zubimendi angetua hapo mngefurahi.
Kwa mechi chache nilizoona Zubimendi ni BusquetRice anaandaliwa kumrith Partey
Zubimend yule si holding MD nae , huenda nae angehitaji kuzoea ,hata Partey nadhan ilimchukua karibu miezi 6 ndio akaanza kucheza lone 6, nakumbuka tulianza kucheza lone 6 round ya 2 msimu wa juzi
Yule ni busquet ,ila alisema anataka kubaki spain ,ilikuwa tumchukue January , naona hata Barca wameachana nae ,Kwa mechi chache nilizoona Zubimendi ni Busquet
Usajili una vitu vingi pia....je mchezaji husika anataka kuhama kipindi hiko...je anataka kwenda kucheza ligi nyingine...je hakuna timu ambayo ana makubaliano nayo ya sirisiri...kwhyo ni vitu vingiKwa mechi chache nilizoona Zubimendi ni Busquet
Mimi nilivyosikia tunahusishwa naye tu wazo langu la kwanza lilikuwa kwamba anakuja kumreplace Xhaka na kucheza nafasi yake. Nikadhani pia kuwa kwa sababu jamaa ni mrefu na ana mbio zaidi na anainia sana kwenye box, basi tutaongeza idadi ya shooters ndani ya box pamoja na target man kwa mipira ya kichwa pale tunapobidi kutumia njia hiyo.Arteta aliulizwa swali Kama Kai ni mbadala wa Xhaka alisema hapana
Ipo hivi KAI anacheza alipocheza Xhaka ,LCM lakin ana majukumu tofauti na aliyokuwa nayo Xhaka , hapa ndipo mashabiki wanachanganya wanaweka akilini Kai ni mbadala wa Xhaka ,sio kweli
Hapo hapo LCM tegemea kumuona Rice,Smith Rowe , Trosaard,Vieira
Wote profile tofauti majukumu tofauti,Ila nafasi hiyo hiyo aliyocheza Xhaka
Leo Vs Monaco
Rice anacheza LCM
Kenge wameamua kuwa wachawi tu, ukweli ni kuwa hawana hoja ya msingiUnakazania tumepigwa bila hoja ,sababu kafeli kwenu ,hizi akili matope
Huyu unayesema tumepigwa kila siku nakwambia ndiye BEST PLAYER WENU LAST SEASON
Unakazania tumepigwa ,pre season kacheza mechi 3 , 2 goals Bado unakaza shingo Tumepigwa ,weka hoja tumepigwa wapi na kwanini unahisi tumepigwa ,sio kukomaa tu ,
Eleza technically kwann Kai tumepigwa ,
Mlimuandama sana hii pre season ili afeli ,mechi 3 ,2 goals na Bado hajazoea kabisa uchezaji , Cha ajabu mkaingia mitini
Leo mnasema tumepigwa , sababu za msingi hakuna