arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Baba Ubaya kapewa hela nyng aache visingizio...Klopp ana la kujitetea kwmba tajiri ni mbahili ila kocha wenu Hana cha kulalamika na huu ni msimu WA pili kashazoea ligiTen Hag (title challenge): “I think no one in the Premier League can do that, maybe Arsenal , because for the last 25 years, they won the title only one time. So they can talk about that…”
Arteta haihitaji kusema atafanya Nini ,alipoishia last seasonkwani Arteta nae anasemaje juu ya hili?
Msimu huu ameshaweka wazi kua anapambania ubingwa au ndio anamalizia phase 5?
Arteta tunataka kusikia kauli yake mapema, hatutaki zile kauli za kujifariji eti tumeoverarchived baada ya kuongoza ligi kwa siku 258 halafu zimebaki wiki3 kumaliza ligi anashindwa kukaza makalio.
Kama ni hivyo Arteta nae asijifiche kwenye chaka la phase 5, kwa kikosi alicho nacho na muda ambao amedumu kama kocha hapo Arsenyo kuanzia msimu ulioisha ulikua ni sahihi na muafaka kwake kuchukua kombe kuliko misimu mingine yoyote.Baba Ubaya kapewa hela nyng aache visingizio...Klopp ana la kujitetea kwmba tajiri ni mbahili ila kocha wenu Hana cha kulalamika na huu ni msimu WA pili kashazoea ligi
Wabongo, wakenya, waganda na wanaijeria si unawajua? Hell, hata wazungu wenyewe si unawajua? Tukipata kitu OG huku Kwa bei nafuu watu watakuwa wananunua huku 3rd world countries na kwenda kuziuza ulaya Kwa faidaHuku bongo huu uzi unawezakuta kesho madukani. Hivi Arsenal kwanini wasiweke utaratibu nasisi 3rd world country tukawa tunapata vitu OG kwa bei nafuu nakuchangia Team yetu kukuza uchumi?
😂😂😂 Antony Masebene ndiye DJ Spin? 😁😁Wenzio Mpaka Sasa tunasubiri Dj spin Sancho magwaya watuthibitishie kuwa hela azijaenda bure lakini ola karibuni kwenye chama Cha kusubiria.
Unajitahidi kumuwekea Arteta kipara Ili afanane na 7hag. Unapaswa kumuwekea 7hag nywele ili afanane na Arteta maana Arteta ndiye role model wa 7hagKama ni hivyo Arteta nae asijifiche kwenye chaka la phase 5, kwa kikosi alicho nacho na muda ambao amedumu kama kocha hapo Arsenyo kuanzia msimu ulioisha ulikua ni sahihi na muafaka kwake kuchukua kombe kuliko misimu mingine yoyote.
Yaani msimu ambao Arsenyo ilikua bora kuliko misimu yoyote kwa miaka zaidi ya 20 ameshindwa kubeba hata kombe la mwanaFA halafu mnakuja kudanganyana hapa.
Msimu wa 2021/2022 ndio walau utasema Aseno ilikua bora maana walau walipata kombe la FA.
Msimu unaofata muambieni kabisa akimaliza bila ya kubebe kombe anatimuliwa.
Hizo fezi zake anazitumia kama ngao ya kujilinda kila anapomaliza ligi mikono mitupu. View attachment 2706118
Msimu uliopita ni wachache wenye jicho ndio tulisema wazi wazi Arsenal anaenda kupigania ubingwa na tuliweka had range ya points kutoka 69 tulizopata ,ambapo tulipofix matatizo fulan zilikuwa zinaenda had 85Kama ni hivyo Arteta nae asijifiche kwenye chaka la phase 5, kwa kikosi alicho nacho na muda ambao amedumu kama kocha hapo Arsenyo kuanzia msimu ulioisha ulikua ni sahihi na muafaka kwake kuchukua kombe kuliko misimu mingine yoyote.
Yaani msimu ambao Arsenyo ilikua bora kuliko misimu yoyote kwa miaka zaidi ya 20 ameshindwa kubeba hata kombe la mwanaFA, yaani ule msimu wa 2021/2022 ndio walau utasema Aseno ilikua bora maana walau walipata kombe la FA.
Msimu unaofata muambieni kabisa akimaliza bila ya kubebe kombe anatimuliwa.
Hizo fezi zake anazitumia kama ngao ya kujilinda kila anapomaliza ligi mikono mitupu. View attachment 2706118
Nimegundua mashabiki wa arsenal tunainjoy sana timu yetu
Unachafua jukwaa letu ,manyumbu mkoje lakiniNi kweli kabisa mashabiki wa Arsenyau hua mnaenjoy sana timu yenu mnapokua kwenye Pre-season na mechi za mwanzo za ligi, ila pia mashabiki wa Arsenyo ndio hua wanaichukia sana timu yao pale ligi inapoelekea ukingoni. View attachment 2706149View attachment 2706150View attachment 2706151View attachment 2706152View attachment 2706156
Ni kweli mwaka jana tulikuwa Bora sana ila kuna watu walikuwa Bora kuliko sisi na huo ndio ukweli....na wale waliokuwa Bora ndo hao unaona walichukua makombe yte makubwa....ila huwezi kumsikia hata siku moja Arteta akilalamika sijui hatukuwa na wachezaji wetu wote kama anavyofanya Baba Ubaya...ligi inaanza wiki chache zijazo kwnn Baba Ubaya aanze kutupa taulo mapema hv na mahela kapewa yte hayo....ikifika mpk mwezi wa tatu hajakaa pale juu mi nawashauri mumtimue maana ni Tapeli tuKama ni hivyo Arteta nae asijifiche kwenye chaka la phase 5, kwa kikosi alicho nacho na muda ambao amedumu kama kocha hapo Arsenyo kuanzia msimu ulioisha ulikua ni sahihi na muafaka kwake kuchukua kombe kuliko misimu mingine yoyote.
Yaani msimu ambao Arsenyo ilikua bora kuliko misimu yoyote kwa miaka zaidi ya 20 ameshindwa kubeba hata kombe la mwanaFA halafu mnakuja kudanganyana hapa.
Msimu wa 2021/2022 ndio walau utasema Aseno ilikua bora maana walau walipata kombe la FA.
Msimu unaofata muambieni kabisa akimaliza bila ya kubebe kombe anatimuliwa.
Hizo fezi zake anazitumia kama ngao ya kujilinda kila anapomaliza ligi mikono mitupu. View attachment 2706118
Baba ubaya ndio kwanza msimu wake wa pili tokea akbidhiwe timu, wakutimuliwa ni Masterclass in failure maana ameshamaliza fezi zote tayari, hivyo hatutegemei visababu vya uongo uongo vyovyote kutoka kwake msimu huu, mambo ya kutuhadaa kua tumeover archive wakati timu haijabeba kitu chochote mkononi huo ni uhaini msimu huu hatutakubaliana nae.Ni kweli mwaka jana tulikuwa Bora sana ila kuna watu walikuwa Bora kuliko sisi na huo ndio ukweli....na wale waliokuwa Bora ndo hao unaona walichukua makombe yte makubwa....ila huwezi kumsikia hata siku moja Arteta akilalamika sijui hatukuwa na wachezaji wetu wote kama anavyofanya Baba Ubaya...ligi inaanza wiki chache zijazo kwnn Baba Ubaya aanze kutupa taulo mapema hv na mahela kapewa yte hayo....ikifika mpk mwezi wa tatu hajakaa pale juu mi nawashauri mumtimue maana ni Tapeli tu
Unachafua jukwaa letu ,manyumbu mkoje lakini
Tunataka Dutch David Moyes alete mataji makubwa kwa kusajili CF wa €85m mwenye goli 9Samahani mkuu lengo sio kuchafua jukwaa, nia ilikua ni kumuhakikishia tu huyo jamaa aliekua anajidai kua mashabiki wa Arsenyau ndio wanaoongoza kuifurahia timu yao, hapo nimemuonyesha vivid examples namna gani mashabiki wa Arsenyo hua wanaichukia timu yao pale ligi inapoelekea tamati, tena inafikia baadhi ya mashabiki wengine hua wanaishiwa mpaka hoja na kuamua kulikimbia jukwaa lao baada ya kuwaaminisha misukule ya humu ndani kua mwisho wa msimu lazima wachukue ndoo.
Habari za kuaminika kutoka England ni kwamba makipa wote wa EPL kasoro Andre Onana wameunda group lao la Whatsapp lengo ni kujadili ni namna gani wanaweza kumzuia Rasmus Hojlund, jamaa anaweza kufunga kwa kutumia kila kiungo kwenye mwili wake,Hojlund aliwahi kupiga penati kwa kichwa.Tunataka Dutch David Moyes alete mataji makubwa kwa kusajili CF wa €85m mwenye goli 9
Raya and Arsenal: personal terms have been agreed as reported on Tuesday, talks between clubs continue.️ #AFC