Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Raya golini alf una Ivan Toney mbele zile long balls za Raya ingekua balaa tupu.Hahahaha ila nasikia Raya amembiwa aje apiganie namba
But kwa takwimu za Raya nisiwe mnafiki , Ramsdale bench linamuita
Raya ndiye anaongoza kwa kupiga long balls successful nadhan ulaya nzima kwa ma GK, kwenye buildup ni mzuri lakin sio elite Sana Kama kina Allison,Ederson ,au onana
Huyo jamaa sijui Arteta alimtoa wapi!!Ona Sambi Lokonga kama hayuko mazoezini vile
Kuna video moja niliona alikuwa yy na nketiah na mchezaji mwingine simkumbuki akawa analalamika hachezi...yaani ni livivu hlfu linalalama halicheziHuyo jamaa sijui Arteta alimtoa wapi!!
Alionekana ana potential nzuri ni vile hajafikia matarajioHuyo jamaa sijui Arteta alimtoa wapi!!
Usajiri ni kama kamari tu na hakuna timu ambayo haijawahi kupigwa kwenye usajiri hata huyo Arteta kuna sajiri kashapigwa nyingi tu anatafuta wa kumtupiaYule dogo ilikuwa aende mancity , Chelsea wakaparamia kuhijack lile deal ,nakumbuka humu wanaokumbuka watasema ,tuliwekaga stats zake na Nuno Tavares ,walikuwa hawapishani kabisa ,Kuna mashabiki walidai kwanini Arteta anaenda kwa Lisandro au Zinchenko badala ya huyo Cucubera
Pep aliweka waz kabisa hatoi Zaid ya £40m , Chelsea aka hijack deal akapigwa £62m , leo wanatafuta wa kumuuzia
Deals zote walizohijack zimebuma
Mpira una njia na taratibu zake ,unasajili kwa ajili ya kufit system sio sababu Mchezaji ni mzuri tu
Holding na Tavares walinunuliwa bei ndogo so haiwezi Kutarajiwa makubwa sana.Usajiri ni kama kamari tu na hakuna timu ambayo haijawahi kupigwa kwenye usajiri hata huyo Arteta kuna sajiri kashapigwa nyingi tu anatafuta wa kumtupia
Pepe
Lokonga
Tavares
Vieira
Holding
Holding na Pepe sio sajili za Arteta...hao aliwakuta tyri washajiliwa na makocha wengineUsajiri ni kama kamari tu na hakuna timu ambayo haijawahi kupigwa kwenye usajiri hata huyo Arteta kuna sajiri kashapigwa nyingi tu anatafuta wa kumtupia
Pepe
Lokonga
Tavares
Vieira
Holding
Usajiri ni kama kamari tu na hakuna timu ambayo haijawahi kupigwa kwenye usajiri hata huyo Arteta kuna sajiri kashapigwa nyingi tu anatafuta wa kumtupia
Pepe
Lokonga
Tavares
Vieira
Holding
Jamaa anaongea kwa confidence kabisaHolding na Pepe sio sajili za Arteta...hao aliwakuta tyri washajiliwa na makocha wengine
Hawataki kukaribisha presha...wanajihami mapema....ila hasahasa Baba Ubaya asilete visingizio maana alivyokuja alisema Era huwa Zina mwsho wake....na yy amepewa mahela mengi ya usajili kwhyo asianze kutafuta sababu mapemaKlopp na Ten hag wametupa taulo mapema kwenye kugombea ubingwa
Hii shughuli tuachieni sisi nyie hamfai kwenda vitani
Klopp and Ten Hag targeting Top 4 finish!
Klopp: “Nobody besides maybe #ManCity can have the real target to become champions again this year.”
Ten Hag (title challenge): “I think no one in the Premier League can do that, maybe #ManCity, because for the last six years, they won the title five times. So they can talk about that…”
Hawataki kukaribisha presha...wanajihami mapema....ila hasahasa Baba Ubaya asilete visingizio maana alivyokuja alisema Era huwa Zina mwsho wake....na yy amepewa mahela mengi ya usajili kwhyo asianze kutafuta sababu mapema
Ten Hag (title challenge): “I think no one in the Premier League can do that, maybe Arsenal , because for the last 25 years, they won the title only one time. So they can talk about that…”Klopp na Ten hag wametupa taulo mapema kwenye kugombea ubingwa
Hii shughuli tuachieni sisi nyie hamfai kwenda vitani
Klopp and Ten Hag targeting Top 4 finish!
Klopp: “Nobody besides maybe #ManCity can have the real target to become champions again this year.”
Ten Hag (title challenge): “I think no one in the Premier League can do that, maybe #ManCity, because for the last six years, they won the title five times. So they can talk about that…”
Ten Hag (title challenge): “I think no one in the Premier League can do that, maybe Arsenal , because for the last 25 years, they won the title only one time. So they can talk about that…”
umeona uongeze maneno yako au sio
Kocha wako Ligi haijaanza anawaza kupigania top 4
Anatupa taulo mapema Sana