Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Siku hizi tuna gusa tu , kitu imoo

Iyooo imeeenda iyoooo

Ramsadale we come for you get prepared..
Hahahaha ila nasikia Raya amembiwa aje apiganie namba

But kwa takwimu za Raya nisiwe mnafiki , Ramsdale bench linamuita

Raya ndiye anaongoza kwa kupiga long balls successful nadhan ulaya nzima kwa ma GK, kwenye buildup ni mzuri lakin sio elite Sana Kama kina Allison,Ederson ,au onana
 
Daah picha hata sion mku wangu, hiki kitu naumia sanaa sipatai uondo, kila app nayo download inazingua tu

Mwenye link ashushe iyo app ambay ina support picha
Angalia hapo chini jamaa kakuwekea maelezo ,
 
Hint


Nizar Kinsela mwandishi wa standard sport kwa habari za Chelsea anasema baada ya Usajili wa Axeli Disasi kwenda Chelsea kwa €45m, moja ya timu zilizomtaka ni pamoja na Arsenal ,ila hawakuwa tayari kulipa hiyo Ada ya €45m

Axeli Disasi ni RCB ,hii inaonesha Kuna mipango ndani ya Arsenal kusajili RCB


Usajili wa David Raya inasemekana haukuwa kwenye mipango ila Arsenal wameona ni opportunity nzuri iliyopo sokoni hivo hawawezi kuiacha ipite ,

Tutarajie a lot of surprise hasa kutegemeana na outgoings, tunaweza kuona maingizo ya RCB ,na RW apart from GK
 
Auston Trusty leaves Arsenal and he’s joining Sheffield United on permanent move, deal agreed


Arsenal will receive £5m fee, as first reported by @RyanTaylorSport.
 
Tuna mpokea kwa mikono miwili,,

Na anajua kufinya vibaya mno,,

Now every position ina best players,,
 
Havertz kashaanza kutupia pre season huku ,nyie mmewapiga kina Flano kwa mount


Kai havertz ndiye best player kwa Chelsea last season,
Mchezaji asipocheza vzuri kwny timu Yao wanadhani na kwngine nako itakuwa hvyohvyo...Cucurella alikuwa mzuri kwlikwli Brighton...wamemchukua wao wakamuharibu kijana wa watu...yaani ile timu labda Pochettino awabadilishe
 
Mchezaji asipocheza vzuri kwny timu Yao wanadhani na kwngine nako itakuwa hvyohvyo...Cucurella alikuwa mzuri kwlikwli Brighton...wamemchukua wao wakamuharibu kijana wa watu...yaani ile timu labda Pochettino awabadilishe
Yule dogo ilikuwa aende mancity , Chelsea wakaparamia kuhijack lile deal ,nakumbuka humu wanaokumbuka watasema ,tuliwekaga stats zake na Nuno Tavares ,walikuwa hawapishani kabisa ,Kuna mashabiki walidai kwanini Arteta anaenda kwa Lisandro au Zinchenko badala ya huyo Cucubera


Pep aliweka waz kabisa hatoi Zaid ya £40m , Chelsea aka hijack deal akapigwa £62m , leo wanatafuta wa kumuuzia

Deals zote walizohijack zimebuma

Mpira una njia na taratibu zake ,unasajili kwa ajili ya kufit system sio sababu Mchezaji ni mzuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…