Wewe unataka kunichosha tu na maswali yako yasiyo na kichwa wala miguu.Kwa hicho kipindi cha miaka 10 united imetumia shilingi ngapi ili kupata hiyo FA moja ambayo katika miaka 10 Arsenal alijimilikisha
Unajua shida ni kwamba kipa anaweza kuonekana world class kumbe timu yake inamfavor kwakua inamiliki sana mpira so hakutani na mashambulizi mara kwa mara.Hivi hyu Pickford ndo yule kipa wa Everton ama...kama ni yule kwa lipi hasa awe na uspesho huo wa kuwa hata kwny top 5....average goalkeeper
Mkuu sijakuuliza makombe....refer swali nlilokuuliza maana ndo tulichokuwa tunabishania....umesema hatujachukua EPL for 20 years...sawa...na ww nimekuuliza mna miaka mingapi hamjachukua...na mnatarajia kuchukua lini tena hko kombe...ukianza kuleta makombe mengine pamoja na hyo sijui uloweka hapo juu...English Cup Winner mara FA mara..sikatai mmechukua makombe mengi...lakini sio kwmba na sisi hatujachukua kombe lolote ndani ya hiko kipindi cha miaka 10....tuulzungumzie EPL una mda gani...na lini unabebaHaya hapa makombe ambayo Utd tumeshinda ndani ya kipindi cha miaka 10 iliyopita.
Weka na wewe makombe uliyoshinda miaka 20 iliyopita halafu uvae viatu vyetu uone kama vinakutosha.
English League Cup winner. 2022-2023
Europa League Winner. 2016-2017.
English Supercup Winner. 2016-2017
FA Cup Winner. 2015-2016
English Champion. 2012-20
🤣🤣🤣...Allypipi tena...na ndo hiki kitakachoenda kutokea kwa Onana...atadundwa mpk aanze kuonekana shati...kumbe ni mfumo wa timu ndo hovyo....De Gea wamemtupia virago lakini kwa msimu ulopita ndo kipa mwenye Clean sheets nyingi pamoja na kuwa na safu mbovu ya ulinziUnajua shida ni kwamba kipa anaweza kuonekana world class kumbe timu yake inamfavor kwakua inamiliki sana mpira so hakutani na mashambulizi mara kwa mara.
United waliingia mkenge kwa Valdes. Jamaa yupo Barca ni wa moto wakaona aje unyumbuni, mama yangu bora wangemchukua Allypipi wamuweke golini
Mimi nitaendelea kukumbusha kuwa Mount anaingia kwenye sajili za kitapeli episode 1kwenye Epl Asenyo ni sawa tu na kidonda cha sukari kilichogoma kupona.
Miaka 20 bila Epl,
Miaka 7 mfululizo unashindwa kuingia top4,
Miaka zaidi ya milioni hujawahi beba kombe lolote la Ulaya,
Halafu na wewe unaforce eti ni Big team, tena bila aibu unataka uwekwe daraja moja na Liverpool, Man Utd, Chelsea na Man City.
Nyie ni level za kina Brighton, Aston Villa, Leicester City, Tottenham n.k
Mkuu sijakuuliza makombe....refer swali nlilokuuliza maana ndo tulichokuwa tunabishania....umesema hatujachukua EPL for 20 years...sawa...na ww nimekuuliza mna miaka mingapi hamjachukua...na mnatarajia kuchukua lini tena hko kombe...ukianza kuleta makombe mengine pamoja na hyo sijui uloweka hapo juu...English Cup Winner mara FA mara..sikatai mmechukua makombe mengi...lakini sio kwmba na sisi hatujachukua kombe lolote ndani ya hiko kipindi cha miaka 10....tuulzungumzie EPL una mda gani...na lini unabeba
Mimi nitaendelea kukumbusha kuwa Mount anaingia kwenye sajili za kitapeli episode 1
0 Goals
0 Assists
5 Games
We are getting closer
Mm nilitaka kujua EPL mna mda gani...nashukuru umenijibu miaka 10 ilopita....ni kweli kabisa sisi hatuna kombe la Ulaya lolote kabisa....lakini kumbe haya ya ndani tunayo machache....Sasa tuambie unavyoona kwa hiki kikosi chenye potential balloon d or winner according to u Mr Masebene...ni lini mnaona mnachukua EPL kwa huu mpira wenu na malalamiko ya kocha wenu baba UbayaEpl ndio hio hapo chini kabisa inaitwa English Champion mwaka 2012/2013 ni miaka 10 iliyopita, wakati Arsenyau mara yao mwisho kubeba hilo kombe ni miaka 20 iliyopita.
Pia nikakukumbusha ndani ya miaka 5 iliyopita tumebeba kombe kubwa zaidi ya hio Epl.
Nyinyi Arsenyau ndani ya miaka 20 iliyopita mmebeba kombe gani kubwa zaidi ya kombe la MwanaFA?
Hawataki kukubali kwmba ku challenge ligi ni process sio fluke hasa kwny kipindi hiki cha makocha kama Guardiola na Klopp...ndani ya miaka hii kumi tangu Sir Alex Ferguson aondoke...wameleta makocha si chini ya wanne na bado patupu bila kukubaliana na ukweli kuwa timu inatakiwa kusukwa upya ndo I challenge....na kocha apewe mda ku implement tactics zakeMimi nitaendelea kukumbusha kuwa Mount anaingia kwenye sajili za kitapeli episode 1
0 Goals
0 Assists
5 Games
We are getting closer
Kuhusu de gea, unafikiri wanaitwa nyumbu kwa bahati mbaya?...Allypipi tena...na ndo hiki kitakachoenda kutokea kwa Onana...atadundwa mpk aanze kuonekana shati...kumbe ni mfumo wa timu ndo hovyo....De Gea wamemtupia virago lakini kwa msimu ulopita ndo kipa mwenye Clean sheets nyingi pamoja na kuwa na safu mbovu ya ulinzi
Makosa ya De Gea ndiyo ya Onana.🤣🤣🤣...Allypipi tena...na ndo hiki kitakachoenda kutokea kwa Onana...atadundwa mpk aanze kuonekana shati...kumbe ni mfumo wa timu ndo hovyo....De Gea wamemtupia virago lakini kwa msimu ulopita ndo kipa mwenye Clean sheets nyingi pamoja na kuwa na safu mbovu ya ulinzi
Umeangalia lakini mechi yako leo?na mimi nakukumbusha pia hio nyimbo ya we are getting closer mlianza kuiimba tokea kipindi cha marehemu Arsenal Wenga mpaka leo hii bado mko palepale tu nyumbani kwa kina mwanaFA.
Wenger orphans kwa kulalama bwana...Allypipi tena...na ndo hiki kitakachoenda kutokea kwa Onana...atadundwa mpk aanze kuonekana shati...kumbe ni mfumo wa timu ndo hovyo....De Gea wamemtupia virago lakini kwa msimu ulopita ndo kipa mwenye Clean sheets nyingi pamoja na kuwa na safu mbovu ya ulinzi
Degea alikuwa anajua Sana kuwaokoa Hawa jamaa Tena against small teamsMakosa ya De Gea ndiyo ya Onana.
Subiri utaona
Ni kweli mkuu mmetufunga na sio mara ya kwanza...lakini hii haiondoi ukweli kwmba jana mmedundwa na kipa wenu kashaanza kubweka mapema kabla hata kipenga cha kwanza EPL...mmemuondoa De Gea kwa kisingizio cha kuwa ni error prone na Hana footwork nzuri...Sasa amekuja Onana...mda ni mwalimu mzuri..ligi ikianza tutaona atawaokolea point ngapi kwa footwork yake....mnachoshindwa kuelewa De Gea ni tatizo dogo sana kati ya matatizo mengi mlonayo kuanzia mbele...katikati ya uwanja mpk backline....mnatimua De Gea mnamuacha Maguire...mna akili kweli...Wenger orphans kwa kulalama bwanatulivyo wafunga mkasema tuacheni tushangilie hafu tuone kitacho tukuta tujisaau saizi tunafungwa mmekuja na agenda mpya.
Poor Wenger orphans
Last season hawakuwa mbali Sanaa na Chelsea , advantage waliyoipata Rashford alikuwa kwenye form yake ya maisha ndiye aliwaweka mjiniNi kweli mkuu mmetufunga na sio mara ya kwanza...lakini hii haiondoi ukweli kwmba jana mmedundwa na kipa wenu kashaanza kubweka mapema kabla hata kipenga cha kwanza EPL...mmemuondoa De Gea kwa kisingizio cha kuwa ni error prone na Hana footwork nzuri...Sasa amekuja Onana...mda ni mwalimu mzuri..ligi ikianza tutaona atawaokolea point ngapi kwa footwork yake....mnachoshindwa kuelewa De Gea ni tatizo dogo sana kati ya matatizo mengi mlonayo kuanzia mbele...katikati ya uwanja mpk backline....mnatimua De Gea mnamuacha Maguire...mna akili kweli...
Seconded Sir.....Hana nafasi kwny kikosi....too error prone...premier league is too big for him...unless atolewe mkopo kwny timu ya EPL hapohapo apate nafasi ya kucheza atu prove wrong...Ligi ya ufaransa intensity yake ipo chini sana compared na ligi zote kubwa za Ulaya