Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  • White VS Timber VS Tomiyasu.
  • Havertz VS Ødegaard VS Vieira VS Emile.
  • Partey VS Rice.
  • Martinelli VS Trossard.
  • Gabriel VS Kiwior
  • Ramsdale VS Raya.

And possibly Saka VS Kudus.

Welcome to the big time, embrace it!
Arteta should be arrested, this is football not war
 
Sasa kaka kwenye kapu la big games ambazo ni game kweli kweli

Port 1 kuna Man city,Arsenal,Liver na Newcastle,,

Port 2 kuna Aston villa, Nyumbu, Brighton,.tott ,

Hao wengine ndo kuna Chelsea Timu inasajili kila siku toka dirisha dogo wanasajili tu na kwenye wachezaji 20 ni mchezaji mmja tu kaonyesha anakitu na usajili wao ni avarage kabisa aiseee.
 
Mpango ni kusajili wachezaji wazuri na versatility kila nafasi

Huwez kucheza EPL , UCL ,FA na Carabao na wachezaji hao hao ,
Ramsdale bdo kwangu ni kipa Bora kwenye ligi kuu...msimu ulopita kuna mechi nyng sana ametuokoa na Draw au kufungwa kabisa... Individual errors zinakuwepo ila kwake sio nyng tusianze kumponda kwa sababu tunahusishwa na Raya...refer mechi na Liverpool pale Anfield... Southampton pale Emirates ingawa alitoa Boko na tuka draw ila kuna saves za one on one akifanya...kwhyo bdo ni the best
 
Nakubaliana na wewe ,Aletwe Raya aje apambanie namba

Watagawana michuano tu

Kuna mwaka pale Barca , Walikuwa na Ter stegen na Bravo ,mmoja UCL mwingine Laliga


Bado naamin Ramsdale atakuwa namba 1 ndio manaa alisaini mkataba mrefu karibuni

But Arteta anataka competition kila namba , hiki kitu mashabiki hawajazoea kukiona
 
Very good news Ramsdale kwa jicho la 3 ni one among the players aliyetoa sana maboko last season but errors hazikuonekana sababu ya saves zake refer Liverpool game ujio wa Raya nimeupenda reason alikuwa anajiona hana competitor akawa anajiamini kupitiliza but kwa sasa akae ajue akileta upumbavu atakuwa second choice Arsenal imetumia hela nyingi season hii katika EPL history hakuna masihara ukizingua unarudi benchi mazima na remind you kama Leno alitolewa na Arteta haiwezi kushindikana kwa Ramsdale akileta ujinga welcome Raya
ulete ushindani
 
Hii hajaletwa mtu wa kupush huyu ni wa kuchukua mikoba kabisa.

Mimi tangu nimuone Aaron Arsenal sijaona akiwa kaokoa penati hata moja.

For years nikawa nasema in terms of shot stopping Ramsdale siyo mtamu. Hicho ndiyo akifanyie kazi
 
Hii hajaletwa mtu wa kupush huyu ni wa kuchukua mikoba kabisa.

Mimi tangu nimuone Aaron Arsenal sijaona akiwa kaokoa penati hata moja.

For years nikawa nasema in terms of shot stopping Ramsdale siyo mtamu. Hicho ndiyo akifanyie kazi
Kwenye penalties hayupo vzr , sijajua Raya kwa penalties yupoje

Ila kwa Quality ya Raya , Ramsdale ajipange sana
 

Kumbuka Arsenal mna vitu viwili, big games na games zinazowanyima ubingwa / top 4 inategemeana na msimu huo mpo vipi

Port 1 kuna Man city ,Liverpool, Newcastle, Aston villa, chelsea , Tottenham na Man utd
Port 2 kuna (any team 10 games to go )
.
Chelsea hawana tu subs za maana ila madogo kwenye watapambana warudiii top 4 first eleven ipo tena now wapo kwenye ligi na Fa cup
 
Chelsea carabao haipo?
 
Hivi mk

Kwenye hyo port 1 toa hao Newcastle...Aston villa... Tottenham... Chelsea ndo hata usiwaweke...hyo timu ni mamluki wetu Wana point sita zetu....halafu kwny big games unaanzaje kumuweka Newcastle kwa kipi hasa aisee...narudia hapa na nitarudia come May...mlicho achieve Newcastle msimu ulopita ndo mwanzo na mwsho hakitakaa kitokee tena karibuni na aina ya kocha nlonaye....sahau kuingia top 4...sahau
 
Chelsea carabao haipo?

Hilo kwangu ni kama sio kombe mkuu , sioni umuhimu wake bora hata FA cup winner hata kama haupo top 6 unaenda Europa. Na carabao lilivyokaa huwa naona kabisa halina mzuka as fan kulifurahia
 
Arsenal are ready to bid for Brentford’s David Raya. The Spaniard would come in to challenge Aaron Ramsdale for a starting spot.



Reports,


@SamJDean.
 
Arsenal are ready to bid for Brentford’s David Raya. The Spaniard would come in to challenge Aaron Ramsdale for a starting spot.



Reports,


@SamJDean.
Thamani yake??...hili dili mbona linaenda fastafasta sana na kimyakimya
 
Thamani yake??...hili dili mbona linaenda fastafasta sana na kimyakimya
Hili dili ni gumu kwenye Bei kabakiza mwaka mmoja , ila Brentford wamekuwa waki demand £40m ,vilabu vingi vimekimbia hii Bei

Ila Arsenal nataka nione tutamchukua kwa ngapi, maana mchezaji kaonesha Nia ya kuja ,Mara nyingi ikiwa hivi deal linakuwa jepesi

Ramsdale ilitakiwaga £40m , ila Arsenal mwisho walimchukua kwa £24m+6add ons (£30m)


Thomas Frank kaongea jion hii anasema

“He's worth £40m fee — he was one of the four best keepers in the PL last season”.


“What is the fair price for a player with one year left? Declan Rice went to Arsenal for £105m? And Harry Kane, they're talking about £150m?”.
 
Kwa hyo fee Sasa wakifanikiwa kumchukua naanza kuona RW back up ya Bukayo Saka itakuwa ngumu kupatikana maana sidhani kama kutakuwa kuna spend ya almost
 

Spurs na Chelsea hizo derby ni upepo tu wa mwaka jana umekufanya uchukue points 6 kwao misimu mingine yote ulikuwa unaacha points na ndo maana nakuambia last season ulikuwa upepo wenu ni vile tu mli bottle the title as usual.
Villa na Newcastle both games mmeshinda kwa upepo tu last season, A. Villa ni anapigania top 4 this season amini usiamini na nina uhakika hamchukui point zaidi ya 3 kwake .

Eddie Howe unamchukuliaje? Ni vile tu amekuwa coach kwenye timu ambazo hazina back up ya maana, kuna kipindi alikua anahusishwa kama mrithi wa wenger pale kwenu . Now ana back up kutoka kwa waarabu tena ya kutosha amechukua timu kwa bruce ikiwa nafasi ya 17 now ipo top 4 ndani ya full season yake ya kwanza tu, makocha wangapi wamejaribu lakini wameshindwa tena wamechukua team zipo top 7 na bado wakachoma. Kama unafikiri Newcastle pale top 4 amekuja kuzurura subiri ligi keshokutwa hapo .

Hapo kwenye port 2 nadhani tunakubaliana any team last 10 games, inawezakana hata luton, Sheffield na yoyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…