Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Big games zote naenda na Raya, middle team zote naenda na Raya, izo chelsea na wengine washuka daraja naenda na Rams. Hapa nazungumzia kila mmja akiwa kwenye A perfomance yake.
 
Brentford boss on Arsenal target David Raya:

"We are willing to sell, David would like to go.

"It's fine for us. [If] a club want to buy, they just need to find out the price.


"I guess it should be simple, but apparently it's very difficult!"
 
Big games zote naenda na Raya, middle team zote naenda na Raya, izo chelsea na wengine washuka daraja naenda na Rams. Hapa nazungumzia kila mmja akiwa kwenye A perfomance yake.

Kwa kifupi raya ni mzuriii zaidi ya Rams , kwahiyo chelsea unaona ndo wakushuka daraja sawa bana August keshokutwa tu hapa tusijekukimbiana lakini now naona progress ya chelsea ni nzuriiii zaidi wana madogo janja wengi na kocha mpya usitegemee ikawa mbovu kama last season.
Raya mwenywe huyo still ni mali ya brentford bado hamjamsajili anaweza kubaki brentford si mara ya kwanza nyie kumtaka mlitajiwa bei mkarudi nyuma
 
David Raya would prefer a move to Arsenal over Bayern Munich. Arsenal are well placed for his signing. Reports,

@jamesbenge.
 
Tuliambiwa ndo kipa mwenye thamani duniani , sasa tetesi za raya tayariii tunaanza kusikia ramsdale atacheza carabao na fa cup
ila fans wa arsenal mnajua kufurahisha watu
Arsenal fans wanategemea Raya asajiliwe kuwa backup GK na wao wanaamini kabisa Raya atakubali hiyo offer!!! 😂😂😂

Raya > Ramsdale.
 
Ni kweli RAMSDALE Ana Individual Errors nyingi, Lakini hawezi kukubali kuwa Backup number 2 .
 
Wanateseka

Ramsdale kasain juz mkataba wa miaka 4 ,

Kuletwa Raya kwanza ni kuziba nafasi ya Turner

Pili ni kumpush Ramsdale au akae bench aanze Raya

Au wagawane michuano
Inabidi wajue kipa #1 tunae
Ata tulimkosa it's okey tukimpata itakua bang bang


Nyumbu walivyokua wanamchukua Onana, hawakumuona Raya ?
Au 7+3hag ndio jasusi za kiholanzi lipo kazini?
 
Mtateseka Sana , Arsenal will add quality player in each position

Lazima apiganie namba ,
Raya ni kipa bora kushinda Ramsdale mkimchukua sioni sababu ya Ramsdale kuanza EPL au UCL.

Ramsdale ni kipa mzuri ila siyo kwa timu insyotaka kuleta challenge.

Squad depth ni muhimu ila sitaki mumpate Raya, mbaki na Bruce Lee wenu yuleyule. 😂
 
Nakubali kabisa Raya ni mzuri kuliko Rams ,but akija apiganie namba ,Rams kasain mkataba mrefu juzi tu, lazima ili alinde namba yake afanye vzr Zaid

Hata Leno aliondolewa kwa sababu Rams alionesha zaidi yake
 
Advanced talks between Arsenal and Burnley for Sambi Lokonga.

[@sachatavolieri]
 
  • White VS Timber VS Tomiyasu.
  • Havertz VS Ødegaard VS Vieira VS Emile.
  • Partey VS Rice.
  • Martinelli VS Trossard.
  • Gabriel VS Kiwior
  • Ramsdale VS Raya.

And possibly Saka VS Kudus.

Welcome to the big time, embrace it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…