Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu jamaa huwa Kuna muda muache ,huwa anakuwa like crazy hivi, Kuna time watu Kama Hawa usiwajibu ,lengo lao huwa habari humu ziwe za matusi, waanze kusema mashabiki wa Arsenal Wana matusi ,n.k
Embu angalia nani kaanza kutuka kama sio Arsenal mwenzio sio unatetea upumbavu, acha hizo. Sijawah mtukana mtu ila mtu anatokea anakwambia una mambo ya kishoga?!!

Mpira ni furaha na kutaniana, sasa kama mtu hawezi kutaniwa ni bora akakaa kimya tu, sio kuanza kusema nina mambo y kishoga. Na wewe unakuja unadandia tu bila kumkanya Arsenal mwenzio
 
Rambo hawezi kukaa nje kizembe
Uefa, ligi na FA watapigwa rotation za maana

Alafu kumbuka makipa na wao huwa wanaumia
Itategemea na ubora wake msimu huu

Raya kama atakuja kweri , basi Bwan mdogo Ramsdale atakua kwenye real challange.

Raya akija na form yake ya sasa basi lolot laweza kutokea.
 
Niliwaambia Arsenyani mna wachezaji wakali 4 tu.

Kocha wenu kashtuka anataka kipa mwingine. 😂
 
Arsenal will bid soon for Raya

(@FabrizioRomano )
Huu usajili utiki tu, Ramsadale ametu disappoint sana, siku hizi ukiona kapiga long pass ujue ishapotea, hata magoli anayoruhusu ni mepesimepesi tu.

Raya ni mzuri kwenye footwork hadi kwenye saves, Ramsdale benchi linamuhusu
 
Yameisha kikubwa tuepuke lugha za kuudhi na kuleta machafuko
 
Niliwaambia Arsenyani mna wachezaji wakali 4 tu.

Kocha wenu kashtuka anataka kipa mwingine.


Tunauza kipa no.2 Matt Turner ,tunaongeza Quality GK , haya mambo manjesta hamuwez elewa

Arsenal wanaleta kipa kwa ajili ya competition

Talks are continuing between Arsenal and Forest over a loan with an obligation to buy deal for Matt Turner. [@SkySportsNews]

Sisi sio manjesta ,akiumia Shaw anacheza Malacia

Akiumia varane anacheza magwaya

Arsenal inaweka quality kila eneo kuongeza competition

Timber na White

Tierny na Zinny

Magalhaes na Kiwior

Saliba na White/Tomiyasu

Kai na Trossard/Smith Rowe/Rice

Ødegaard na Vieira/Smith Rowe

Partey na Rice/Jorginho

Martinelli na Trosaard/Nelson

Saka na Nelson na hapa tupo sokon kuongeza RW mwingine mwenye quality
 
Tuliambiwa ndo kipa mwenye thamani duniani , sasa tetesi za raya tayariii tunaanza kusikia ramsdale atacheza carabao na fa cup
ila fans wa arsenal mnajua kufurahisha watu
Timu ndivyo inavyotakiwa kusukwa kaka, inabidi kwenye kila nafasi kati ya mashabiki 10 basi kura zinagawanywa kama ilivyokua na Timber vs White na maeneo mengine sio kukalili team kama ilivyo kwa Newcastle yako vipi kaka mechi yenu mlitoka vipi juzi???
 
Ndugu zetu wa unyumbuni na ukengeni wakiisoma hii watakuja na makasiriko hao, utadhani sisi ndo tumesema
Watakuja na makasirikio

Kuna sehemu nilisoma Edu na Arteta wanataka mchezaji awe committed kuichezea Arsenal ndio wanamchukua

Ukianza na Rice ,Timber , Zinchenko,Jesus, Trossard,Kai ,n.k


Ndio maana nahisi Sina uhakika mkubwa Sana na dili la Kudus
 
Kuna watu unapoteza MB kuwajibu asee

Kwahiyo mfano Sasa SAKA ni moja ya mawinga Ghali Duniani

So Arsenal isisajili RW kwasababu hiyo ?


Tuna appreciate uwezo wa Ramsdale na yupo kwenye rank za Most valuable GK duniani

But mtu anaumia kuona tunaleta kipa mwingine mwenye quality
 
DILI LIMEENDA FASTA SANA


David Raya, left out of Brentford squad as expected.
 

Kwahiyo Raya vs Ramsdale yupi ni bora zaidi kwako ambaye if mkiwa nao wote unahisi first 11 ataonekana sana?
Newcastle tuko
wanacheza madogo janja lakini moto wao si mdogo kuna dogo anaitwa eliot Anderson weka hili jina kichwani , then tukutane hapo August uzuriii wa magpies hata ukitangulia kwa 2 goals bado wanarudiii nadhani this season tutakuwa king of comeback!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…