Safi sana, kila sehemu full nondo..Kifupi tunakuwa na Two GK wenye uwezo unaokaribiana
David Raya au Ramsdale hapo unaanza na yeyote
Ramsdale ameonekana ana vimakosa vidogo vidogo ,
David Raya + Aaron Ramsdale would be insane GK options to have. Not just judging off pre season but I feel Ramsdale may need the competition, his performance levels have dropped quite a bit since he first signed
Naona Arteta anataka kuja msimu huu kamili , Ramsdale Kuna makosa anayafanya , halafu amekuwa very comfortable tofaut na alivyofikaSafi sana, kila sehemu full nondo..
Kwa person error za Ramsdale ilikuwa swal la muda tu kupata back ya maana.
Shughuli ya raya sio ya kitoto,
Arteta hanaga rafiki wala kipenzi cha kudumu kwenye nafasi endapo makosa yanayojirudia ama nidhamuSafi sana, kila sehemu full nondo..
Kwa person error za Ramsdale ilikuwa swal la muda tu kupata back ya maana.
Shughuli ya raya sio ya kitoto,
Naona Arteta anataka kuja msimu huu kamili , Ramsdale Kuna makosa anayafanya , halafu amekuwa very comfortable tofaut na alivyofika
Kapungua Sana kwenye ball distributionView attachment 2703103
Yah upo sahihi ,hanaga rafiki wa kudumu ,Kuna makosa amekuwa akifanya ,kumbe Arteta anamcheki tuArteta hanaga rafiki wala kipenzi cha kudumu kwenye nafasi endapo makosa yanayojirudia ama nidhamu
See u soon Ramdalegame na Southampon 3-3 ndo game inaniuma hadi kesho
Tumekuwa kama Liverpool Sasa ni kimyakimya sasahv unasikia tyri mtu kashanyakuliwaARSENAL KUTUMA OFA MUDA MCHACHE
Kwa uwezo wa David Raya naona kabisa Ramsdale akienda benchi asubiri FA NA CARABAO
BREAKING NEWS
Fabrizio Romano
David Raya prefers Arsenal move over Bayern. Deal depends on clubs now but Arsenal expected to bid soon in order to accelerate talks.️ #AFC
Negotiations with Bayern are currently off after loan offered in the morning — not what player/Brentford wanted.
Kweli kabisa, hii yote kwa sababu hakua na challange ya maana.Naona Arteta anataka kuja msimu huu kamili , Ramsdale Kuna makosa anayafanya , halafu amekuwa very comfortable tofaut na alivyofika
Kapungua Sana kwenye ball distributionView attachment 2703103
Yupo fresh, but hakua na challange , hakuwa mtu wa kuwaza namba yake ilikua pale paleYah upo sahihi ,hanaga rafiki wa kudumu ,Kuna makosa amekuwa akifanya ,kumbe Arteta anamcheki tu
Sasa anaenda kuwa wa FA na Carabao
Tuchel ni kocha la maana SasaTuchel wanted Havertz, Tuchel wanted Rice, Tuchel now wants David Raya.
We know how this story ends
Rambo hawezi kukaa nje kizembeARSENAL KUTUMA OFA MUDA MCHACHE