Wajaze wenzio ujinga, hao hao akina mudryk ndio wanakuja kuwatandika. Tena mudryk akiwaweka goli awachokonoe pale pale kwnye kidonda.Ukienda Chelsea ujiandae ku flop mda wwte....lile ni genge la wafukuza upepo...mchezaji akitaka kuchagua timu ya kwenda kucheza na walau akawa ana risk ndogo ya ku flop katika ya Manyumbu na Chelkenge...ntamuona ana akili kama ataenda kwa Manyumbu maana wale ingawa wanafukuza upepo nao ila wanafukuza kwa akili siyo kama kwa Hawa kina Madueke
Mind game, asemea anagombea ubingwa tuanze kumpressurelize, Arteta msimu uliopita ndio alitakiwa kuchukua ubingwa mana hakua na presha, alikua anajificha kwnye kichaka ch kujenga timu. Msimu huu ana presha y kubeba ubingwa, mtakua natandikwa hovyo.Msimu wa 3 huu nachukua points 6 au 4
Jenga timu kwanza kocha wako mwenyewe anasema anaona hata top 6 itakuwa ngumu
Kenge mtumie €600m muishie nafasi ya 12 msiwe na preshaMind game, asemea anagombea ubingwa tuanze kumpressurelize, Arteta msimu uliopita ndio alitakiwa kuchukua ubingwa mana hakua na presha, alikua anajificha kwnye kichaka ch kujenga timu. Msimu huu ana presha y kubeba ubingwa, mtakua natandikwa hovyo.
Are888 mkimaliza nafasi 4 za juu, niitwe mbwa jike. Nimekaa palee
Rasmus Hojlund amefikia idadi sawa ya magoli ya mudrky wa €100m Mudr goal kwenye Premier League.Wajaze wenzio ujinga, hao hao akina mudryk ndio wanakuja kuwatandika. Tena mudryk akiwaweka goli awachokonoe pale pale kwnye kidonda.
Tilikukataza kujiita mwajumaMind game, asemea anagombea ubingwa tuanze kumpressurelize, Arteta msimu uliopita ndio alitakiwa kuchukua ubingwa mana hakua na presha, alikua anajificha kwnye kichaka ch kujenga timu. Msimu huu ana presha y kubeba ubingwa, mtakua natandikwa hovyo.
Are888 mkimaliza nafasi 4 za juu, niitwe mbwa jike. Nimekaa palee
Jesse mr pinkman🤣🤣🤣...una ujinga flani hv Braza...kwmba Mount ni sawasawa na hyo msela wa kwenye Breaking bad...Jesse
Ww level zako ni kina Aston villa...mmeshindwa kutufunga na viungo wa ball kina Kovacic ndo mje kutufunga na hayo ma zombie....sahauWajaze wenzio ujinga, hao hao akina mudryk ndio wanakuja kuwatandika. Tena mudryk akiwaweka goli awachokonoe pale pale kwnye kidonda.
Ligi inaanza sio mda mrefu...hyo Jesse Pinkman mlomsajili na haka ka mdoli wanakokaita halaand mdogo sijui mtakuja kuwatukana hmu...halafu safari hii malalamiko ya kocha wenu baba Ubaya sijui mara majeruhi mara suspension zimem cost hatuyataki...mmepewa mda wa kutosha kusajili...malalamiko hatutaki mkianza kugombea nafasi ya sita ya BrentfordOnana + Mount + Hojlund = £150m. Kisha kuna gaidi inagongwa £105m kwa gunia moja la mchele lenye halijui ball ata Kobbie Mainoo is better
West Ham! You will not see heaven. Ndio maana tunawauzia Maguire na McTominnay ndio ata sisi tukule hio hela
Tunaendelea kununua wakuu, wale mlisema club haina hela bado msubiri Amrabat by next week, Alaba/Disasi na Harry Kane kama deadline signing. Mtatoa ndani sana next season na tuliwaambia mnunue goalkeeper mzuriTUSILAUMIANEView attachment 2702620
Ila jamaa mashavu yake sjui yakojeJESUS ni moja ya sajili Bora tulifanya
Imagine tulimpata kwa £45m tu
Manjesta wamesajili CF ana goli 9 Atalanta,anazidiwa na DM wa Atalanta hapo hapo
Kwa €85m
Hakika utapeli hautakuja kuishaView attachment 2702453
Hatutegemei kusikia habari za Graza hawatoi helaOnana + Mount + Hojlund = £150m. Kisha kuna gaidi inagongwa £105m kwa gunia moja la mchele lenye halijui ball ata Kobbie Mainoo is better
West Ham! You will not see heaven. Ndio maana tunawauzia Maguire na McTominnay ndio ata sisi tukule hio hela
Tunaendelea kununua wakuu, wale mlisema club haina hela bado msubiri Amrabat by next week, Alaba/Disasi na Harry Kane kama deadline signing. Mtatoa ndani sana next season na tuliwaambia mnunue goalkeeper mzuriTUSILAUMIANEView attachment 2702620
Najua hilo haliwezi kutokea, Arse88 nyie ndio wa hovyo yaan mnaamin mtaingia hat top4.Tilikukataza kujiita mwajuma
Sasa hivi umeanza kutaka kuitwa mbwa jike!
Kwanini usiitwe tu mbwa?
Wehu Kama hawa huwa naona ni kuwapotezea na kutowajibu chochote ,lengo lao huwa kuleta machafukoHuyo mbwa jike nimepanga nimjibu kuanzia mwezi wa 12 tukiwa on top Kama kawaida yetu
Hii itakuwa nzuri sanaPremier League referees will add up the time lost on free kicks, goal celebrations and penalties from next season.
Last season, the average playing time was 54 minutes and 49 seconds in a game
Ni wapumbavu flani walokosa ustaarabu....jitu linakuja kutukana na kuongea mambo ya kudhalilisha watu hmu ndani kwa kofia ya ushabiki...jitu kama hili hata katika maisha ya kawaida linaonekana ni hopeless kabisa...Ila wakuu wengine uvumilivu wa kishabiki Amna kabisa utadhani ni vita punguzeni u serious mpira sio uadui ni burudani.
Naona mnavuka mipaka sasa wakati mpira ni kutaniana Sasa nyie sio utani ni matusi.
Ukijijua uwezi utani Bora ukaushe tu.
Ni wapumbani Fulani walokosa ustaarabu na hekima...inaonekana hata kwny maisha ya kawaida ni hopeless kabisa hii mijitu...Ila wakuu wengine uvumilivu wa kishabiki Amna kabisa utadhani ni vita punguzeni u serious mpira sio uadui ni burudani.
Naona mnavuka mipaka sasa wakati mpira ni kutaniana Sasa nyie sio utani ni matusi.
Ukijijua uwezi utani Bora ukaushe tu.