wAnakwambia Mudryk ni flop?! wakati tokea aende chelsea hajawahi kucheza hata dk.30 ndani y dk. 90. Ila Havetrz aliyepewa dk.90 game zote chelsea na akacheza utumbo. kwa vile ameenda Kw makondoo wanakwambia ni talented😂😂Mudryk is far better kwa kai , hakuna hata mmoja hapa anaepinga chelsea last season ilikua mbovu na mudryk kaenda blues january.
Mudryk the way anavyocheza unaona kabisa huyu dogo anakila kitu tumemuona akiwa shakhtar kwenye UEFA alikuwa[emoji91] hata baadhi ya game alizopata nafasi hajafanya vibaya kacheza vizuriii tu na hata hizi pre season yuko vizurii this season huyu dogo itakuwa habari nyingine kabisa chelsea.
Huyu mudryk kipindi kile anatakwa na arsenal watu walikua wanasifu sana mara ooh ni neymar mpya nashangaa now vijana wanaponda tu kisa kaenda chelsea , ushabiki wa kitoto sana huu .
Mudryk na kai still mudryk ni far better kwa kila kitu naamini this season tukipata muda tutarudii tuone nan kafanya vizuriii zaidiii . Flop ni pale unapopewa chance na haufanyi chochote nembu tuonyeshe u flopp wa mudryk hata kwa kutaja game 1 tu ya zilizopita
Hawa ni makondoo, halafu akili zao wote zinafanana, sahiz kudus anasifiwa hapa hatari, ngoja awatose kama alivyowatosa Mudryk. Watamchamba[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa Arsenyau wana nongwa na wivu sana kikubwa ni kuwazoea tu, hata Martinez wakati wao wanamtaka walikua wanamsifia kwelikweli utadhani hakuna CB bora duniani kuliko Martinez, ila baada ya kusajiliwa na Man Utd wakaanza kumkandia kua kaMartinez ni kafupi sana hakafai kua CB, mara sisi tulikua tunamtaka aje kua backup sio starter, wengine wakadai ametokea farmers league Epl atakua ni flop.
Mashabiki wa Arsenyo ni wana wivu kuliko hata dada zao.
Hiyo picha ya chini wako Ukrain au? Ka vita!Mbona hatusikii kelele za mount Tena , ?View attachment 2702012
Ulishajiuliza kwann alikuwa hata hizo 90 hapewi? Maana hata ukimpa 30 anakosa magoli hata ya waziwAnakwambia Mudryk ni flop?! wakati tokea aende chelsea hajawahi kucheza hata dk.30 ndani y dk. 90. Ila Havetrz aliyepewa dk.90 game zote chelsea na akacheza utumbo. kwa vile ameenda Kw makondoo wanakwambia ni talented[emoji23][emoji23]
Wapo pre season marekaniHiyo picha ya chini wako Ukrain au? Ka vita!
Ana vitu vingi vya kujifunza labda Pochettino atampiga msasaUlishajiuliza kwann alikuwa hata hizo 90 hapewi? Maana hata ukimpa 30 anakosa magoli hata ya wazi
Naona mmesajili ogochukwu
Chelkenge Kutoka kiungo cha mpira cha Joginho, kante, kovacic, mpaka Chikuemweka, Enzo, galagher ,Ogochukwu hakika hiki ni kiungo cha mboga
Mmarekani akamatwe haraka sana kabla kilabu cha mbege pale darajan hakija angamia na kushuka daraja
Kudus ni potentialHawa ni makondoo, halafu akili zao wote zinafanana, sahiz kudus anasifiwa hapa hatari, ngoja awatose kama alivyowatosa Mudryk. Watamchamba
Halafu sisi kwasasa hatuna haraka Tena ya kusajili tumeshamaliza target zetu ,tunauwezo wakwenda na hiki hiki kikosiKudus ni potential
Kudus anakuja kuongeza upana wa kikosi pale Emirates
Kwaio tinaenda na reasonable price
Alafu inabidi mjue mount angekuja arsenal na Kai angeenda unyumbuni
Mount angekua hatari mno mno mno kuliko Kai[emoji1][emoji1][emoji1]
Ila kwa kua amaeenda kwa pundamilia ni mmbovu. Mount ni mchezaji mzuri hata huko huko unyumbuni ni mzuri kuliko Kai. Ni muda tu ndio utasema. Mtakapoanza kumtukana kai sisi hatutaongea chochote.Kudus ni potential
Kudus anakuja kuongeza upana wa kikosi pale Emirates
Kwaio tinaenda na reasonable price
Alafu inabidi mjue mount angekuja arsenal na Kai angeenda unyumbuni
Mount angekua hatari mno mno mno kuliko Kai[emoji1][emoji1][emoji1]
Acha masihara mkuu, hataki ukengeni fc[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Halafu sisi kwasasa hatuna haraka Tena ya kusajili tumeshamaliza target zetu ,tunauwezo wakwenda na hiki hiki kikosi
Now tumefocus kuuza then tununue
Kudus yupo ,why hawatumi ofa wamchukue ?
Za ndani nasikia hataki kwenda ukengeni
Ukienda Chelsea ujiandae ku flop mda wwte....lile ni genge la wafukuza upepo...mchezaji akitaka kuchagua timu ya kwenda kucheza na walau akawa ana risk ndogo ya ku flop katika ya Manyumbu na Chelkenge...ntamuona ana akili kama ataenda kwa Manyumbu maana wale ingawa wanafukuza upepo nao ila wanafukuza kwa akili siyo kama kwa Hawa kina MaduekeAcha masihara mkuu, hataki ukengeni fc[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
nA hao hao wachezaji nakupga home and away. ShuuubamitUlishajiuliza kwann alikuwa hata hizo 90 hapewi? Maana hata ukimpa 30 anakosa magoli hata ya wazi
Naona mmesajili ogochukwu
Chelkenge Kutoka kiungo cha mpira cha Joginho, kante, kovacic, mpaka Chikuemweka, Enzo, galagher ,Ogochukwu hakika hiki ni kiungo cha mboga
Mmarekani akamatwe haraka sana kabla kilabu cha mbege pale darajan hakija angamia na kushuka daraja
Msimu wa 3 huu nachukua points 6 au 4nA hao hao wachezaji nakupga home and away. Shuuubamit
Ni €85m au £73mYaan Manchester united wamemnunua mchezaji pound mil 70,kwa sababu anataka kufanana jina na haland ? Ahahaha[emoji1][emoji23]
€85m for a brudda with 9 goals last season is insane.Yaan Manchester united wamemnunua mchezaji pound mil 70,kwa sababu anataka kufanana jina na haland ? Ahahaha[emoji1][emoji23]
Wajaze wenzio ujinga, hao hao akina mudryk ndio wanakuja kuwatandika. Tena mudryk akiwaweka goli awachokonoe pale pale kwnye kidonda.Ukienda Chelsea ujiandae ku flop mda wwte....lile ni genge la wafukuza upepo...mchezaji akitaka kuchagua timu ya kwenda kucheza na walau akawa ana risk ndogo ya ku flop katika ya Manyumbu na Chelkenge...ntamuona ana akili kama ataenda kwa Manyumbu maana wale ingawa wanafukuza upepo nao ila wanafukuza kwa akili siyo kama kwa Hawa kina Madueke
Mind game, asemea anagombea ubingwa tuanze kumpressurelize, Arteta msimu uliopita ndio alitakiwa kuchukua ubingwa mana hakua na presha, alikua anajificha kwnye kichaka ch kujenga timu. Msimu huu ana presha y kubeba ubingwa, mtakua natandikwa hovyo.Msimu wa 3 huu nachukua points 6 au 4
Jenga timu kwanza kocha wako mwenyewe anasema anaona hata top 6 itakuwa ngumu