Duuh hapana huu mziki kesiKWA NILICHOKIONA MECHI ZA PRE SEASON
Kuna namna Arteta anataka kutengeneza unpredictable team. Ni dhahiri “you cannot defend what you don’t understand”. Sasa kwa za back line ya Saliba, Gabriel, White, Tomiyasu, Holding, Zinchenko, Tierney, Kiwior na Timber kuna options zaidi ya 10+
Aidha, kupitia mechi dhidi ya United na MLS tumeona jinsi gani Arteta akijaribu namna tofauti tofauti ya mbinu zake (tactical approaches). Mfano Inverted RB, Double inverted ya RB na LB, Left wing player kama LCM etc
Ili uwe unpredictable kwanza lazima uwe na timu yenye options zaidi ya 1. Mfano kwa sasa Arteta anaweza kuwa na Double Inverted ya RB na LB kwa pamoja, Sideways CB kucheza kama LB, Back line ya 4 CB’s, kucheza na ball controller CB’s (Timber/Saliba) etc
Overlapping FB’s ya Tierney na White/Timber haiwezi ikawa excluded.
Arteta is building not just unpredictable team but also a chameleon football club. You cannot defend what you don’t understandView attachment 2701773
Arteta aliwahi kusema anataka wachezaji 22-25 tu
Timu inarejea England , tutarajie ongoings za kutosha
Kwa Sasa timu ina jumla ya wachezaji 30 -33 ,watano had sita wanatakiwa kula panga
Pepe
Holding
Balogun
Ongezea wengine unaotamani kuona wakila panga
View attachment 2701266
[emoji736]Outgoing
Aisee....ianze tu EPL.KWA NILICHOKIONA MECHI ZA PRE SEASON
Kuna namna Arteta anataka kutengeneza unpredictable team. Ni dhahiri “you cannot defend what you don’t understand”. Sasa kwa za back line ya Saliba, Gabriel, White, Tomiyasu, Holding, Zinchenko, Tierney, Kiwior na Timber kuna options zaidi ya 10+
Aidha, kupitia mechi dhidi ya United na MLS tumeona jinsi gani Arteta akijaribu namna tofauti tofauti ya mbinu zake (tactical approaches). Mfano Inverted RB, Double inverted ya RB na LB, Left wing player kama LCM etc
Ili uwe unpredictable kwanza lazima uwe na timu yenye options zaidi ya 1. Mfano kwa sasa Arteta anaweza kuwa na Double Inverted ya RB na LB kwa pamoja, Sideways CB kucheza kama LB, Back line ya 4 CB’s, kucheza na ball controller CB’s (Timber/Saliba) etc
Overlapping FB’s ya Tierney na White/Timber haiwezi ikawa excluded.
Arteta is building not just unpredictable team but also a chameleon football club. You cannot defend what you don’t understandView attachment 2701773
Cedric
Nketiah
Fabio, marqunhos waende mkopo
[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa Arsenyau wana nongwa na wivu sana kikubwa ni kuwazoea tu, hata Martinez wakati wao wanamtaka walikua wanamsifia kwelikweli utadhani hakuna CB bora duniani kuliko Martinez, ila baada ya kusajiliwa na Man Utd wakaanza kumkandia kua kaMartinez ni kafupi sana hakafai kua CB, mara sisi tulikua tunamtaka aje kua backup sio starter, wengine wakadai ametokea farmers league Epl atakua ni flop.Mudryk is far better kwa kai , hakuna hata mmoja hapa anaepinga chelsea last season ilikua mbovu na mudryk kaenda blues january.
Mudryk the way anavyocheza unaona kabisa huyu dogo anakila kitu tumemuona akiwa shakhtar kwenye UEFA alikuwa[emoji91] hata baadhi ya game alizopata nafasi hajafanya vibaya kacheza vizuriii tu na hata hizi pre season yuko vizurii this season huyu dogo itakuwa habari nyingine kabisa chelsea.
Huyu mudryk kipindi kile anatakwa na arsenal watu walikua wanasifu sana mara ooh ni neymar mpya nashangaa now vijana wanaponda tu kisa kaenda chelsea , ushabiki wa kitoto sana huu .
Mudryk na kai still mudryk ni far better kwa kila kitu naamini this season tukipata muda tutarudii tuone nan kafanya vizuriii zaidiii . Flop ni pale unapopewa chance na haufanyi chochote nembu tuonyeshe u flopp wa mudryk hata kwa kutaja game 1 tu ya zilizopita
Hapa Sasa umepuyanga... Martinez alikuwa ni first choice upande wa beki wa kushoto baada ya kumkosa ndo akaja Zinchenko...kuhusu kucheza beki wa kati ni kweli ana disadvantage ya ufupi kwa ligi ya England...na ajiangalie vilevile tackling zake anazocheza kuna siku atawa cost[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa Arsenyau wana nongwa na wivu sana kikubwa ni kuwazoea tu, hata Martinez wakati wao wanamtaka walikua wanamsifia kwelikweli utadhani hakuna CB bora duniani kuliko Martinez, ila baada ya kusajiliwa na Man Utd wakaanza kumkandia kua kaMartinez ni kafupi sana hakafai kua CB, mara sisi tulikua tunamtaka aje kua backup sio starter, wengine wakadai ametokea farmers league Epl atakua ni flop.
Mashabiki wa Arsenyo ni wana wivu kuliko hata dada zao.
Mbona hatusikii kelele za mount Tena , ?[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa Arsenyau wana nongwa na wivu sana kikubwa ni kuwazoea tu, hata Martinez wakati wao wanamtaka walikua wanamsifia kwelikweli utadhani hakuna CB bora duniani kuliko Martinez, ila baada ya kusajiliwa na Man Utd wakaanza kumkandia kua kaMartinez ni kafupi sana hakafai kua CB, mara sisi tulikua tunamtaka aje kua backup sio starter, wengine wakadai ametokea farmers league Epl atakua ni flop.
Mashabiki wa Arsenyo ni wana wivu kuliko hata dada zao.
.Mbona hatusikii kelele za mount Tena , ?View attachment 2702012
🤣🤣🤣...una ujinga flani hv Braza...kwmba Mount ni sawasawa na hyo msela wa kwenye Breaking bad...JesseMbona hatusikii kelele za mount Tena , ?View attachment 2702012
Nayakumbuka sana Maneno yako toka tunahusishwa na Mudryk ulisimamia hiki na ndicho tulikiona alipotua Chelsea ngoja tuone tena msimu huu mpya may be kuna changes.Niliwahi andika hapa so nitarudia tu.
Kwa pace ya Mudryk na magoli aliyofunga kabla hajaja chelsea Mudryk ana poor finishing na poor composure.
Na debut yake akaprove nilichoandika.
Na akaprove tena na tena na tena na tena.
Nikaandika pia Mudryk ni winger anacheza kwa Martinelli, na Martinelli msimu uliopita ndiye best shooter wa Arsenal na ndiye top goal scorer
Je utamuweka benchi best shooter na top goal scorer? No.
Je utanunua back up kwa 95M? Jibu linakuja tena hapana.
Zamani 95M inakupa finished article. Hata 65M inakupa finished article ila siku hizi unanunua mchezaji kwa 80M ili uje kumfundisha mpira, ndiyo kingetukuta kwa Mudryk.
Ameenda chelsea, chelsea isajili ST kisha wamuweke Mudryk kama SS itawasaidia.
Msimu ulioisha marefa hawakua wanamzingatia sana, ila msimu huu unaoanza Martinez anakua kwenye Top 5 waliopewa kati nyingi za yellow & Red . tutarudi kukumbushana hapa hapa.Hapa Sasa umepuyanga... Martinez alikuwa ni first choice upande wa beki wa kushoto baada ya kumkosa ndo akaja Zinchenko...kuhusu kucheza beki wa kati ni kweli ana disadvantage ya ufupi kwa ligi ya England...na ajiangalie vilevile tackling zake anazocheza kuna siku atawa cost
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hiyo series yangu Bora kabisa ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...una ujinga flani hv Braza...kwmba Mount ni sawasawa na hyo msela wa kwenye Breaking bad...Jesse
🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hiyo series yangu Bora kabisa ,
Kinachonichekesha kulikuwa na kelele Sana za kushambuliwa Havertz na most wanataka afeli waseme si tulisema,
Cha ajabu mount had Sasa pre season mechi kacheza 4, hatuoni hype Tena
Havertz ambaye anaandamwa anazidi kuzoea na anafunga
Haters wameingia mitini ,wanasubiri tufungwe warudi kumtoa mbuzi wa kafala