Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Goli nyingi mno, control ipo hapo, Partey is too direct. Havertz ni upgrade ya Xhaka offensively, afu Rice anaziba pengo la Xhaka defensively plus Timber. So havertz, ode, rice, timber that's my midfield.
 
Kuna siku tunamtupa timber na zinny kwa pamoja, hapo wanapokezana, nani awe inverted nani astick, ukiwa kocha timu pinzani unabaki kuangalia mechi tu nini kitatokea, ukitaka kujibu hilo shambulizi basi utakuwa genius kumzidi pep guardiola, Arteta mtu mbad sana.
 
Pale zinny na timber waki-invert at the same time


Kitaalamu hii tunaita double overload

Kwako hamis77
 
Goli nyingi mno, control ipo hapo, Partey is too direct. Havertz ni upgrade ya Xhaka offensively, afu Rice anaziba pengo la Xhaka defensively plus Timber. So havertz, ode, rice, timber that's my midfield.
Partey anasugua bench?
 
Chelkenge Kutoka kiungo cha mpira cha Joginho, kante, kovacic, mpaka Chikuemweka, Enzo, galagher hakika hiki ni kiungo cha mboga


Mmarekani akamatwe haraka sana kabla kilabu cha mbege hakija angamia
 
Niliona juz Timber kapiga LB halafu anakaba vzr ,nasubiri hii ya Timber RB NA Zinny LB najua itawekwa soon , Partey kiungo mkabaji , juu Ode na Kai au Rice

Nataman kuona hii squad ya hivi ,nione wanavyobadilishana ku invert ,pasi zinavyopiigwa ,
 
Mimi ni shabiki wa chelsea ila usimfananishe mudryk na kai hata mara mioja, Kai is a star na ustar alio nao haukuja hivi hivi au unafikiri imetokea tu kasajiliwa first time then second time kwa dau kubwa, kai kashaprove more than one time kuwa yeye ni Mchezaji mkubwa sio klabu tu hadi taifa. Na kuhusu msimu uliopita ni timu nzima haikuperfom.
 
Niliona juz Timber kapiga LB halafu anakaba vzr ,nasubiri hii ya Timber RB NA Zinny LB najua itawekwa soon , Partey kiungo mkabaji , juu Ode na Kai au Rice

Nataman kuona hii squad ya hivi ,nione wanavyobadilishana ku invert ,pasi zinavyopiigwa ,
Kai ndo atakuwa anatokea benchi zaidi navyoona....mpk Sasa naona Yuko nyuma dhidi ya Rice na Trossard...na bdo tena ESR karudi na yy yaani ni confusion... Odegaard inabidi na yy awe anapumzika Sasa mechi mojamoja maana watu washakuwa wengi
 
Nketiah aende kwa buy back clause, Balogun abaki kama Optional striker mpaka tutakapopata alternative.

I believe, Arteta hawezi kuruhusu waondoke wote bila kuwa na uhakika wa mbadala.
 

Mudryk is far better kwa kai , hakuna hata mmoja hapa anaepinga chelsea last season ilikua mbovu na mudryk kaenda blues january.
Mudryk the way anavyocheza unaona kabisa huyu dogo anakila kitu tumemuona akiwa shakhtar kwenye UEFA alikuwa
hata baadhi ya game alizopata nafasi hajafanya vibaya kacheza vizuriii tu na hata hizi pre season yuko vizurii this season huyu dogo itakuwa habari nyingine kabisa chelsea.

Huyu mudryk kipindi kile anatakwa na arsenal watu walikua wanasifu sana mara ooh ni neymar mpya nashangaa now vijana wanaponda tu kisa kaenda chelsea , ushabiki wa kitoto sana huu .
Mudryk na kai still mudryk ni far better kwa kila kitu naamini this season tukipata muda tutarudii tuone nan kafanya vizuriii zaidiii . Flop ni pale unapopewa chance na haufanyi chochote nembu tuonyeshe u flopp wa mudryk hata kwa kutaja game 1 tu ya zilizopita
 
Huyu mduwanzi angeenda zake tu uarabuni kula pensheni
 
kuna vitu unapenda vitokee lakini haviwi, shindwaaaaa

KAI will star at Arsenal, laminate this comment

Nasubiriiii nione arteta atafanya maajabu gani ila mpaka sasa asilimia ya kupigwa kwa kai ni 75% kwa 25% .

Ukifananisha mudryk na kai naona kabisa arsenal kwa kai kapigwa,kwanza hela yote hilo kwa lipi alilofanya chelsea unanunua flop player kwa 65
pia bado mshara anakula £ 331000 per week.
Kai misimu yote kwa chelsea hajawahiii kufika goal 10 au assists 10 per season na wala asijifiche kwenye ubovu wa chelsea last season, kinachompaisha ni goal la uefa na world club cup.

Mudryk ndo kwanza hata game 20 akiwa chelsea hajafikisha then unasema ni flop kweli? Mudryk pesa anayolipwa ni £97000 per week.
Kuna kipindi tuliambiwa mchezaji ataenda kuharibu atmosphere ya wachezaji pale arsenal kwa kulipwa au ku demand mshahara mkubwa bora aache sijuii kwa haivertz ni tofauti au ndo ni yale yale tumemkosa now tumponde “ sitaki mbichi hizi”
 
Mzee baba watu wanaropoka tu , ustaa wa Kai haujaja hivi hivi , kaanza ku prove akiwa mdogo ,imagine leo ana 24yrs lakin kashacheza national team mechi kibao na ni starter pale Germany


Wanafiki walishanza kumuandama wakisubiri azingue ,hii pre season mechi 3 ana goli 2 wamerudi mafichoni


Cha kufurahisha Sasa ,anazidi ku zoea uchezaji wa Arsenal kila mechi , vs Barcelona kacheza vizuri sana


MTU anamfananisha na Mudrky , mudrky alitakiwa na Arsenal Kama potential ambayo inatarajiwa kufanya makubwa baadae , tofauti na Kai ambaye tayari kuanzia Leverkusen, National team, alishadhihirisha ubora wake .


Kinachonifurahisha sijaona wanaomponda wakijitokeza ,maana najua kwa talent ya Kai atawaumbua tu

Kai pale levekusen alikuwa anacheza a no.10 , baadae msimu wake wa mwisho alicheza false 9 akafanya vzr Sana , ndipo akauzwa €100m, hakuwa one season wonder
 
2019 kipindi hicho Ulimwengu wa soka unajiuliza mrithi sahihi wa Ozil ni Nani pale Arsenal

Arsenal wanazembea kumnunua kipindi hicho Transfermarket yake ilikuwa €65m

Mwaka mmoja baadae anaondoka Leverkusen kwa €100m kwenda Chelsea , nilisikitika Arsenal kutomsajili


 
KWA NILICHOKIONA MECHI ZA PRE SEASON

Kuna namna Arteta anataka kutengeneza unpredictable team. Ni dhahiri “you cannot defend what you don’t understand”. Sasa kwa za back line ya Saliba, Gabriel, White, Tomiyasu, Holding, Zinchenko, Tierney, Kiwior na Timber kuna options zaidi ya 10+

Aidha, kupitia mechi dhidi ya United na MLS tumeona jinsi gani Arteta akijaribu namna tofauti tofauti ya mbinu zake (tactical approaches). Mfano Inverted RB, Double inverted ya RB na LB, Left wing player kama LCM etc

Ili uwe unpredictable kwanza lazima uwe na timu yenye options zaidi ya 1. Mfano kwa sasa Arteta anaweza kuwa na Double Inverted ya RB na LB kwa pamoja, Sideways CB kucheza kama LB, Back line ya 4 CB’s, kucheza na ball controller CB’s (Timber/Saliba) etc

Overlapping FB’s ya Tierney na White/Timber haiwezi ikawa excluded.

Arteta is building not just unpredictable team but also a chameleon football club. You cannot defend what you don’t understand
 
Niliwahi andika hapa so nitarudia tu.

Kwa pace ya Mudryk na magoli aliyofunga kabla hajaja chelsea Mudryk ana poor finishing na poor composure.

Na debut yake akaprove nilichoandika.

Na akaprove tena na tena na tena na tena.

Nikaandika pia Mudryk ni winger anacheza kwa Martinelli, na Martinelli msimu uliopita ndiye best shooter wa Arsenal na ndiye top goal scorer

Je utamuweka benchi best shooter na top goal scorer? No.

Je utanunua back up kwa 95M? Jibu linakuja tena hapana.

Zamani 95M inakupa finished article. Hata 65M inakupa finished article ila siku hizi unanunua mchezaji kwa 80M ili uje kumfundisha mpira, ndiyo kingetukuta kwa Mudryk.

Ameenda chelsea, chelsea isajili ST kisha wamuweke Mudryk kama SS itawasaidia.
 
Mbona mna mkatili sana pepe
yaani leo pepe amekuwa mduwanzi mbona hana baya alilofanya pepe wazee. Pepe kwa mapenzi makubwa ya arsenal aligoma kutua anfield kisa arsenal. JUSTICE FOR PEPE
Haimake sense.. je pepe alikuja bure, halipwi mshahara kashindwa kutoa kile watu walichomnunulia.
Vipi coutinho si aliondoka liver kwa mbwembwe kule kiwango hakikua poa watu wakampiga chini ni kawaida kwenye soccer, signing ni kamari aidha upate ama upotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…