Anigrain
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 1,702
- 4,298
Ndomana nikauliza namie, aliekwambia $1.5B ni sawa na Trillion 1.5 ni Nani?Angalia vzr ni €700m ,ndio nilikadiria Kama 1.5 Trillion
Umesema ni sawa na utajiiri wa Mo, sasa Mo ana utajiri wa $1.5 billion, kwahiyo kwa hesabu zako hizo hela ni sawa na 1.5 Trillion?