computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Kama wamegoma kumuuza waterminate mkataba wake, hamna kitu pale




wasimsahau NketiahKama wamegoma kumuuza waterminate mkataba wake, hamna kitu pale




wasimsahau NketiahHadi leo yupo kwenye squad yetu Holding na Nketiah inabidi waondoke tuHolding ni yule yule goli limepita kwake
Arteta alikataa juz £2.5m ya. Besiktas akitegemea Kuna timu zitapanda Bei
Ataikumbuka hiyo £2.5m
Ni swala la muda ,ila nketiah bado yupo labda iwe surpriseHadi leo yupo kwenye squad yetu Holding na Nketiah inabidi waondoke tu
Kwangu mimi namuona ni potential player.Kai vs Barcelona
Vitu gani ukiangalia unaona aongeze ,



Kwangu mimi namuona ni potential player.
Anahitaji kuongeza vitu vifuatavyo
Physical game
Reasonable movement nje ya kumi na nane
Defensive awareness of the ball
Utilization of chances created
Aache uvivu![]()
Sahihi,Muangalie off the ball na akiwa na mpira
Off the ball anarudi katikati kufanya double pivot
Hivi kwanini most wanasema mvivu ni jinsi alivyo anaonekana lain ?
Kwenye pass za mbele naona yupo vzr ,
Mpira wake ni soft Sana , so naona Kuna game hazitamfaa
Kama umeangalia mpira wao ndio wamecheza rafu mbaya Sana , hasa araujoArsenal bana kumbe na nyie huwa mnakamiaView attachment 2700583View attachment 2700584
View attachment 2700585
Wamuangalie saka kaongeza mwili ,Kuna push alimpa Alonso ,Sahihi,
Mimi namuona fabio vieira kama ataongeza physicality kwenye game yake
Akaboresha defense game yake anaweza kucheza kwa kiwango karibia na bernado silva
Mechi nzima fouls 34, kati ya hizo 22 ni za Arsenal.Kama umeangalia mpira wao ndio wamecheza rafu mbaya Sana , hasa araujo
Xavi anachosema hasa ni kuwa Arsenal walicheza kwa intensity kubwa
Soft foul ,tofauti na zao za kuvinjanaMechi nzima fouls 34, kati ya hizo 22 ni za Arsenal.View attachment 2700613
Kila mech ina umuhimu mkubwa kwa wachezaji kuliko kwa kocha.Kama umeangalia mpira wao ndio wamecheza rafu mbaya Sana , hasa araujo
Xavi anachosema hasa ni kuwa Arsenal walicheza kwa intensity kubwa
Yule msimu huu unaoanza asipobadili mbinu zake atakula sana red cardLisandro Martinez alitaka kumvunja Bellingham
Siku kadhaa nyuma alitaka kumvunja Saka