computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
We are going to regret,we need mfungaji wa 20 goals per season katika EPL Nketiah Jesus Kai huwezi tegemea wakascore more than 15 goals per season katika EPL na remind you tuna championsKubaki na jesus na kai kama false9 ni bomu kwetu mzeee, tunaitaji profile tofauti na ni nketia pekee yuko tofauti na wale watu.
Sijamsahau kaka ila Nketia ni muhimu sana kwetu japokua kuna game hua anatuangusha ila kuna game pia zinamuhitaji, Nketia akiishi kwenye box la adui ni mtu hatari sana yule mtu. Game 20 za jesus na game 20 za Nketia zinaweza kukushangaza kama uki deal na takwimu za goal pekee.Kuna Trossard, usimsahau
Naamin Jesus anauwezo wa 20goals,We are going to regret,we need mfungaji wa 20 goals per season katika EPL Nketiah Jesus Kai huwezi tegemea wakascore more than 15 goals per season katika EPL na remind you tuna championsleague competition sometimes viongozi wawe serious na football️ sawa tumemchukua Rice na Timber ila eneo nyeti ambalo wote tunaona linapwaya ni hapo mbele siku Saka Martinelli Odegaard wakiamka vibaya tunapataga sana shida
Kitu chengine unachopaswa ukielewe, hata hao unaowataja (city, nyumbu, chelkenge) wametamba, walitamba kwasababu Arsenal alikuwa mbovu
Ngoja tuone jinsi mnavyo rambwa maana mjawai ishiwa sababu nyie Mara mtatupigia mpira mkubwa Mara tumewafunga kwa sababu ni butua butua.Boss kasema mechi vs Barcelona itakuwa nzuri tofauti na wazee wa kuparamianaView attachment 2700009
Ni komed kwa kwenda mbele, ndio mana tunapenda kushinda huku. Wanaongeaga vitu unabaki unajiuliza zimetimia kweli hawa. Vitu vingine nahisigi wanatania lakin kumbe wapo serius😂😂tutajie mwaka ambao arsenal alikuwa on peak na sio mbovu , hili jukwaa mashabiki wa arsenal wanatoa burudani kweliii
Mzee. Baba unataka nikufanyie utabiri umebeti Nini?Ngoja tuone jinsi mnavyo rambwa maana mjawai ishiwa sababu nyie Mara mtatupigia mpira mkubwa Mara tumewafunga kwa sababu ni butua butua.
Kwaiyo Leo kwa Barcelona mnashinda ngapi mkuu.
🫣🫣 wakiondoka bila kuleta mbadala imekula kwetuNKETIAH TO CRYSTAL PALACE?
Palace wanamtaka nketiah Kama Jean Philip Mateta anaondoka
Itakuwa move nzuri Kama tutawauza wote Nketiah na Balogun
Mimi ni mtahalam wa bashiri kuliko hata wewe nyie mnachapwa 3-1 ilo hakuna ubishi ni muda tu ndo ufiki.Mzee. Baba unataka nikufanyie utabiri umebeti Nini?
Unakoseaga sana , mechi ya leo naamin tutashinda 3-0Mimi ni mtahalam wa bashiri kuliko hata wewe nyie mnachapwa 3-1 ilo hakuna ubishi ni muda tu ndo ufiki.
Hakika kitawaramba ni muda tu.Unakoseaga sana , mechi ya leo naamin tutashinda 3-0
Sema bado tunataka tupate best Midfield combination
Mwanangu unapiga ramli kwa jirani wakati una mechi na MadridHakika kitawaramba ni muda tu.
Van persie hatumkubali ,lakin unamlisha maneno hakuna sehemu ameongea hayo maneno wamemlisha maneno"You can't win the Title with a goalie that make countless mistakes, I watched the Friendly against Man United but wasn't impressed even though I played in both clubs".
"Ramsdale has been making a lot of mistakes leading to goals, against Southampton he was floppy, I think a competition is needed if Arsenal wants to compete next season". - Robin Van Persie on Ramsdale.
Watu wangu Van Persie anasema Arsenal haiwezi kushinda league na Ramsdale akiwa goalkeeper. Je unakubaliana na Van Persie?
A). He's right.
B). Ni hater.
C). Ramsdale will prove him wrong.
Wacha nisome maoni....!
Photo Courtesy.View attachment 2700065
Mason Mount ndiye aliyetakiwa na Arteta, Kai alikuwa pla B.Mbona keshacheza mechi kibao Chelsea na Germany the man is a liability mara kumi tungesajili Mason Mount ni better fit kwa Xhaka.
Tutarudi hapa December kujadili what went wrong na Kai