Alishaonesha mwanga wapi timu anaipeleka , tatizo mashabiki wengi wanasahau Arsenal aliyoikuta na alipoifikisha Sasa na inapoelekeaNimehoji tu kujua kama anaweza kuvumiliwa miaka 20+ bila mataji?
Wewe hamis77 ndio unafanya fans wengi wa arsenal kujiua pindi timu ikipoteza mechi sababu ya false hope unazowapa humu jukwaani.Alishaonesha mwanga wapi timu anaipeleka , tatizo mashabiki wengi wanasahau Arsenal aliyoikuta na alipoifikisha Sasa na inapoelekea
Ni swala la muda Arsenal kuanza kupambania mataji makubwa Tena
Sio habari ya top 4 tena ,
Kwa culture ya Arsenal ni wazi huyu jamaa walishamuandaa ,ukiweka mising mizuri mataji yatakuja tu ,Sion akifukuzwa namuona akikaa Sana Arsenal like Wenger
Sababu anapita mule mule alipopita Wenger ,halafu yeye ana advantage anapewa Pesa za kutosha
Kitu chengine unachopaswa ukielewe, hata hao unaowataja (city, nyumbu, chelkenge) wametamba, walitamba kwasababu Arsenal alikuwa mbovuWewe hamis77 ndio unafanya fans wengi wa arsenal kujiua pindi timu ikipoteza mechi sababu ya false hope unazowapa humu jukwaani.
Kiuhalisia arsenal haina maajabu makubwa sana ukilinganisha na misimu mingine iliyopita ila msimu jana iliikuta liverpool dhoofu,chelsea inayojitafuta,united imeparanganyika na city alianza msimu kwa kulegalega ndio maana mkawa nafasi mliyomaliza.
Tfadhali punguza matarajio uliyonayo kwa timu yenu ili ufurahie football.
Kitu chengine unachopaswa ukielewe, hata hao unaowataja (city, nyumbu, chelkenge) wametamba, walitamba kwasababu Arsenal alikuwa mbovu
😃😃😃😃😃 Hizi burudani ya comedy za hili jukwaa huwezi kuzipata jukwaa lingine.Kitu chengine unachopaswa ukielewe, hata hao unaowataja (city, nyumbu, chelkenge) wametamba, walitamba kwasababu Arsenal alikuwa mbovu
Chelsea aliyetoka kuwa bingwa wa ulaya akatumia €650m , Manjesta aliyetumia €250m , Liverpool aliyetoka kupigania Quadruple unasemaje hawakujipangaWewe hamis77 ndio unafanya fans wengi wa arsenal kujiua pindi timu ikipoteza mechi sababu ya false hope unazowapa humu jukwaani.
Kiuhalisia arsenal haina maajabu makubwa sana ukilinganisha na misimu mingine iliyopita ila msimu jana iliikuta liverpool dhoofu,chelsea inayojitafuta,united imeparanganyika na city alianza msimu kwa kulegalega ndio maana mkawa nafasi mliyomaliza.
Tfadhali punguza matarajio uliyonayo kwa timu yenu ili ufurahie football.
Dah umempa jibu la ukweli ,kipind wanatamba ni sababu Arsenal haikuwa inawekeza ndan na nje ya pichiKitu chengine unachopaswa ukielewe, hata hao unaowataja (city, nyumbu, chelkenge) wametamba, walitamba kwasababu Arsenal alikuwa mbovu
Jamaa kajibu jibu zuri Tena fupiHizi burudani ya comedy za hili jukwaa huwezi kuzipata jukwaa lingine.
Inabidi Maxence Melo aanzishe subscription fee ya kulipa ili tuwe tunalipia kushuhudia burudani adhimu ya Arsenal Comedy show chini ya muongozaji Mc Hamiss77 masingeli.
We unachanganya mambo ni timu sita ndio ambazo hazijawahi kushuka tokea premear legue ianzishwe 1992. Arsenal, Everton, Tot, chelsea, Man u na liva.Mwaka gan Arsenal alishuka daraja?
Hivi unajua zimebaki timu 2 tu I think Everton na Arsenal ambao hawajashuka daraja
Ok nimekupata , but Mimi nilikuwa nazungumzia ikiitwa Arsenal ,We unachanganya mambo ni timu sita ndio ambazo hazijawahi kushuka tokea premear legue ianzishwe 1992. Arsenal, Everton, Tot, chelsea, Man u na liva.
Ila unaposema tokea Arsenal ianzishwe haijawahi kushuka huo ni uongo. ilishawahi kushuka, mwaka 1913. Na ilikua inaitwa Woolwich Arsenal.
View attachment 2698976
Hii ina baraka zangu zoteFirst eleven yangu Hadi Sasa ya kuanza nayo EPL View attachment 2699206
Nimemuangalia vizuri, atahitaji msimu mmoja ndio aanze kuingia first kikosi cha wakubwa Kama akija arsenalBaller Review - Bitello
Club: Grêmio
Nationality: Brazil
Position(s): AM, CM, RW, RM, DM
Preferred Foot: Right
Height: 5’10”/178cm
Age: 23
Strengths: stamina, versatility, agility, distant shooting, box entry
Development Areas: physical strength, consistent decision makingView attachment 2699205