Hata manjesta last season ni ones season wonderone season wenzao Leicester City walikaza wakabeba kombe, hawa kina Arsenyau wamekaza makalio siku 258 zimebaki siku 30 tu wachukue ubingwa wakalegeza makalio Man City akawapiga bao.
Hapa sasa hivi wanadanganyana kua msimu ujao watapretend tena kama walivyo pretend msimu uliosha, wawaulize one season wonder wenzao Leicester City waliishia wapi baada ya msimu wa 2015/2016.View attachment 2698477
Unatafuta Sana uchawa na uchocheaji humu
Wewe ni nyumbu Lin utaisifia Arsenal
Wewe kaa kwenye majukumu yako ya kuponda ,sisi tutakaa kwenye majukumu ya kusawazisha
Mnapozidiwa mnaanza ohoo tunajikweza ,hatutaki kupingwa ,
Kaa kwenye majukumu yako ya kuponda,kukebehi ,chochea na wale mamluki muungane
Ila tunapokuja kusawazisha mtulie hivo hivo
Tumewachekea Sana Sasa ni muda wakutembeza JAMBIA
KWASASA MIMI NI MZEE WA JAMBIA
Ndio Maana Me Huwa Nasema Kuwa Kuna Mstari Mwembamba Sana Katikati Ya Kukosa Akili Na Kuwa Shabiki Wa Manjesta United
Once nyumbu always nyumbuHuyo Flano ni chawa , kule jukwaa lao walikuwepo madalali wa Sheikh Jasim, niliwaambia hiyo timu haiuzwi
Kahamia humu kukebehi,kuandika magazet ya kuponda
Sasa sisi tukisawazisha anakuja analalamika anatafuta uchawa kupata sapoti
Kuanzia Sasa nakuwa natembea na Jambia
Huyu jamaa anashinda humu kuliko jukwaa lao
Once nyumbu always nyumbu
Unaweza kujiuliza Kuna uhusiano gani Kati ya nyumbuz fan na mfumo wa ufikiriaji, ukiachana na Flano ambae anatumia muda mwingi kuiwaza arsenal kuliko nyumbu wenzake, wenzake pia wanamuundo huu huu wa ufikiriaji
Unamuambia starting eleven ya arsenal nyumbu gani anaingia
Anakutajia varane, Shaw, Bruno, rashford, magwaya, bisaka, Sancho, elanga,
Kama mtu unahasira za karibu unaweza kupiga simu chini
Ukiona nimekataa mtu kuni qoute ni sababu naona Hana fact zozote ,au anaongea pumba ,Sasa muda mwingi napenda kujadili hoja kwa hojasawa Mc Masingeli ila punguzeni udikteta basi, tukija na hoja mnatupiga marufuku tusiwaqoute, ndio maana tunaamua kua machawa humu.
hamis77 endelea kuwapiga spana machawa na mamluki mimi nakuunga mkono ila usitupige marufuku kukuqoute. View attachment 2698482
Ukiwakatalia wanasema sisi madiktetaOnce nyumbu always nyumbu
Unaweza kujiuliza Kuna uhusiano gani Kati ya nyumbuz fan na mfumo wa ufikiriaji, ukiachana na Flano ambae anatumia muda mwingi kuiwaza arsenal kuliko nyumbu wenzake, wenzake pia wanamuundo huu huu wa ufikiriaji
Unamuambia starting eleven ya arsenal nyumbu gani anaingia
Anakutajia varane, Shaw, Bruno, rashford, magwaya, bisaka, Sancho, elanga,
Kama mtu unahasira za karibu unaweza kupiga simu chini
Arsenal ilishachukua EPL bila kufungwaila Arsenyau mnamaneno sijapata kuona aiseeeee, siku mtakayo bahatika kuchukua Epl sijui tutaweka wapi sura zetu, maana ile kuongoza ligi tu mtaani tulikua hatuishi kwa amani.
Hawataki turudishe maneno yaoSasa hivi mnapigwa spana
Ligi ikianza tunatembeza JAMBIA
Wenger orphans wapi wapi na makombe uliyoyataja nyie msemage kugombea FA tu ndo kombe lenu.Flano nenda jukwaa lenu mkajadili uuzwaji wa timu ,
Tunataka Wana arsenal humu tujadili timu yetu ,mipango kuelekea kupambania EPL na UCL
How about manjesta kukaa miaka 6 bila hata kikombe Cha uji ?Wenger orphans wapi wapi na makombe uliyoyataja nyie msemage kugombea FA tu ndo kombe lenu.
Yani mkae miaka 7 mjaingia UCL hafu ndo ubahatishe kuingia msimu huu uanze na kuwaza ilo kombe izi akili au matope.
*Ukiona nimekataa mtu kuni qoute ni sababu naona Hana fact zozote ,au anaongea pumba ,Sasa muda mwingi napenda kujadili hoja kwa hoja
Hakuna udikteta ,kwasasa nataka nipinge mamluki wote unaowasapoti , Timu ikishinda hawaonekani ikifungwa mechi moja tunaona essay Kama mfecane War
Mtu umetangaza hadharana umehama Arsenal na kuhamia timu nyingine ,OK
Tukifungwa ndio unatokea na kutoa kashfa na kebehi ambazo hazina tofaut na Wapinzani wengine ,
Tukiwapiga spana watu wa hivo ,wewe unageuka chawa wao
Sidhan Kama kule kwenu atatokea mamluki ahame halafu aanze kuponda Kama mtamuacha salama ,ila humu mnakuja kuwatetea
Kwani Arsenal mna U-giant gani toa hoja zako tuzione.Mna uchumi mkubwa inakuwaje mnaenda kununua CF ambaye hata Burney walimshindwa ?
Mna uchumi mkubwa , mbona mmeshindwa kumnunua Kim jae kwa pesa ya £40m tu,
Sikia Kama sisi sio magiant , why kutwa hamuishi humu mnalalamika
Eti walitetereka
Yaan mmetumia €250m ili mbebe ubingwa sio kuchukua Carabao after 6yrs
Kenge walitumia £600m ili wagombee kushuka daraja ?
Mnapokuja humu mkae kwa kutulia tutawalamba spana vzr ,
Siokweli , Kuna mtu mwehu humu kuliko wewe ,why sijawahi na sitawahi kukataa kujadiliana na wewe ,maana najua wewe ni nyumbu na always ni nyumbu*
"Ukiona nimekataa mtu kuni qoute ni sababu naona Hana fact zozote ,au anaongea pumba ,Sasa muda mwingi napenda kujadili hoja kwa hoja"
Hapa sio kweli nnakupinga kwa nguvu zote, mimi hua sina fact wala hoja yoyote zaidi ya spana tu za furahisha genge na haujawahi kunipiga marufuku ya kukuqoute, ila mtu mwenye hoja za msingi na anaeweza kusimama toe to toe na wewe hua unampotezea, maana unajua anakuzidi kwa hoja na evidence, zaidi utaishia kumuattack kua ni mamluki na kumpiga marufuku asikuqoute.
*
"Mtu umetangaza hadharana umehama Arsenal na kuhamia timu nyingine ,OK
Sidhan Kama kule kwenu atatokea mamluki ahame halafu aanze kuponda Kama mtamuacha salama ,ila humu mnakuja kuwatetea"
Kuhama timu sio dhambi na sisi tutamchukulia kama mpinzani wetu, akija na challenges na sisi tutamchallenge na akija na facts pia tutamjibu kwa facts kamwe hatuwezi kumchukulia kama adui, atabaki kua ni mpinzani na kama facts zake ni za kweli sisi tutaiunga mkono hoja yake hua hatuna kawaida ya kutetea mapungufu.
Tatizo lenu nyie hamtaki timu yenu ikosolewe, nyinyi mnataka hata kwenye mapungufu/makosa ya wazi msifiwe tu.
Kitu pekee mnajivunia Arsenal ni golden Epl ambayo mlimaliza na madroo kibao😃.Mna uchumi mkubwa inakuwaje mnaenda kununua CF ambaye hata Burney walimshindwa ?
Mna uchumi mkubwa , mbona mmeshindwa kumnunua Kim jae kwa pesa ya £40m tu,
Sikia Kama sisi sio magiant , why kutwa hamuishi humu mnalalamika
Eti walitetereka
Yaan mmetumia €250m ili mbebe ubingwa sio kuchukua Carabao after 6yrs
Kenge walitumia £600m ili wagombee kushuka daraja ?
Mnapokuja humu mkae kwa kutulia tutawalamba spana vzr ,
Haya nenda kaimbe Graza out wauze timuKitu pekee mnajivunia Arsenal ni golden Epl ambayo mlimaliza na madroo kibao.
Unpopular opinion:Manchester City iliyomaliza na pointi 100 ni kali kuliko Arsenal ya invisible