Regelated battle next season again
Uliniona wapi ,wakati msimu mzima ulipotea timu lako lilipokuwa linagombea kushuka daraja ,au mnadhani hatuwajuiSaizi unaonekana sana, ila ligi ikianza na vipigo vya hapa na pale unakimbia.
Duh hii statement uiotoa ninzito sana kwakeToka chelkenge ishike 12th na iwe timu yakugombea kushuka daraja ,hata akili zako nazo zimekuwa zakushuka daraja
Akili zako zipo mid table ,haukawahi kuwa sawa
Aliyekupa jina la kenge hakukoseaHizi pimbi game yao na barca kwani ni lini?? Naona Xavi akiwakea kina Ansu Fati ambao wanakosaga namba pale camp nou lakini bado watawachapa sio chini ya goli 5-0,Hivi UCL mliingiaje,Hivi mmerogwa
Kwako hamis77
Msimu ujao tunagombea wote nafasi 12. Sasa wafunge kamba mikondoo kuwa ni taito kontenda, mkipoteana mchawi itakua wewe.Toka chelkenge ishike 12th na iwe timu yakugombea kushuka daraja ,hata akili zako nazo zimekuwa zakushuka daraja
Akili zako zipo mid table ,haukawahi kuwa sawa
Arsenal haijawahi kugombea nafasi hizo Wala kushuka daraja toka ianzishwe ,Msimu ujao tunagombea wote nafasi 12. Sasa wafunge kamba mikondoo kuwa ni taito kontenda, mkipoteana mchawi itakua wewe.
Juzi alikuwa hayupo tayari?Bukayo Saka yupo tayariView attachment 2698340
Wale nyumbu Juzi walitaka kutuvunja mzoezini, Mambo ya kichawi chawi tuBukayo Saka yupo tayariView attachment 2698340
Arsenyani mnapenda kujikweza. Huwezi kuwa considered timu nzuri kama hakuna cha maana mnafanya.Kufungwa na timu mbovu kama Man u binafsi naamini either ni kukosa balance au overconfidence ni dhambi kwa Arsenal hii kufungwa na timu kama Man u, Chelsea au Liverpool.
Kwanini hutaki kuheshimu mawazo ya wengine mpaka uite ujinga?Unaamin ujinga wa huyo jamaa ,Yaan Partey, Zinchenko,Saliba , Martinelli, Magalhaes hawa anawafananisha na kina Anthony, Sancho, bisaka ,dalot , mount
Tukipinga upuuz Kama huu wanakuja juu Nina arrogance
naona kondoo mnajitekenya wenyewe
Tunajua nyie ndio mabingwa wetu wa EPL 2023/2024 dunia nzima inajua mana Arse88 nyie ndio mna kocha mwenye mbinu, makocha wengine hawana. Mna mabeki wanaojua kuzuia timu nyingine hazina, mna mido zinajua kuoffload na kuoverload timu nyingine hakuna.
Kiufupi Taito kontenda ni Arse88 wenyewe,Hivi ikatokea mkakosa ubingwa mchawi anaweza kua nani?
Kwanini hutaki kuheshimu mawazo ya wengine mpaka uite ujinga?
Jamaa hapo juu hakukubaliana na mawazo yangu na akaongeza wachezaji wake, sijampinga huo ni mtazamo wako.
Tatizo lako kubwa hutaki watu wawe tofauti na mawazo yako.
Ni vizuri kupinga jambo bila kutumia maneno yenye ukakasi. Ungeandika tu sentensi yako bila kutumia maneno ujinga/upuuzi bado ingeeleweka tu.
Eti walitetereka ,Hapo mchawi ni Mc Masingeli tu, domo lake ndio linawafanya misukule wa humu wajione nao wana bonge la timu ila kiuhalisia Arsenyau ni mid table team tu kama Leicester, Brighton, Fulham na Aston Villa.
Hawa wakimbiza mwenge 2022/2023 ilikua ni one season wonder baada ya Giant teams kama vile Chelsea, Liverpool na Man Utd kutetereka kidogo, ila usitegemee msimu huu kuwaona tena kwenye Title contender, hio top4 yenyewe msimu huu hawatoboi. View attachment 2698428
Manjesta ni timu mbovu ,uwekezaji mkubwa matokeo sisimiziArsenyani mnapenda kujikweza. Huwezi kuwa considered timu nzuri kama hakuna cha maana mnafanya.
Tofauti yenu na United msimu uliopita ni nini hasa?