Hatujakataa ila inabidi u invert new style of football analysis achana na majigambo yakupitiliza uwe unasema positive in a place to be said na negative sehemu sahihi why...???Siokweli kwamba tulimu underestimate,
Kwann hamtaki kuelewa maana ya pre season
Huon kwamba kupitia mchezo Kama ule kocha anapata best combination ipi yakutembea nayo kwenye Ligi na UCL
Wachezaji Kama Martinelli ,Tomiyasu wametoka injury ,kucheza michezo Kama ile wanarudisha fitness
3 new players ambao hawajawahi kucheza pamoja ,wanacheza katika system mpya ,ndio sehemu yakusomana na wenzao
Yaan unanipangia jinsi yakujadili na kuelezea timu ninayoishabikia , una akili kweli wewe ?Hatujakataa ila inabidi u invert new style of football analysis achana na majigambo yakupitiliza uwe unasema positive in a place to be said na negative sehemu sahihi why...???
1 inasaidia mtu kuona a true progress kwenye phase ya build up na sio tu kusema positive in a awful moment unakosea mpira ni mchezo wa makosa anae kosea inabidi awe criticized na anae patia apewe credit
2 embu pitia thread zengine jinsi hard die fans wake wanavo isifia na kui criticize team na form unatoka umejifunza jambo sasa kwanini iwe ni wewe humu hamiss wanakuimba..because we unachojua ni mnafanya best and mnatisha una aminisha umma wa humu mko na best team in the world ukija na evidence zako
(i) mko na team with the highest value na under age of 24-26 ukifikiri value na age ndio zinacheza vali ni ambitions quality na experience
(ii) una lilia personal mistake za wachezaji wenu zime wanyima ushindi... Remind you mpira mchezo wamakosa the same mistakes ndizo zilizo wakosesha ubingwa na ukizibeza eti ni personal mistake tu bro uefa kunawakatili uko just imagine mbappe yupo real na kane katua hapo bayern then kundi lenu ya uefa group liwe arsenal real bayern napoli au benfica ...tuseme ukweli hapo
(iii) unajificha kwenye build ya formation na team selection ukisema kwa mid ya kai ode rice au rice partey ode hapa amna team italeta team yake uwanjani japo kadri muda unavozidi kwenda tunaona kabisa hapo kati partey akiondoka ni uchochoro na tobo zito uwezi mtegemea rice kama lone dm ni ubakaji hapo kwenye kipa na beki sigusi maana....!!!
Lastly arsenal sio kwamba ni timu tushio hivo kusema kuna watu wataiogopa
Mark my words mi naona hawa wata challenge ubingwa msimu huu zaidi Liverpool man utd chealse pia na arsenal ila hao niliowataja hapo mwanzo usiwachukulie poa poa kaka
Less zaidi ya hapo ni man city anakuja kuji bebea tena ELP
Wewe ni mnafiki kwanza sijawahi kukuona Tukishinda ,tumefungwa ndio unakuja na essay, ,why nyie wanafiki mnaonekana timu ikifungwa tu, mbona ikishinda hata mech 7 mfululizo hamuonekani ,yaan unataka kunipangia how to analyse football ,Haya bana si wanafk ngoja tukae kimya
Ila ujumbe ndio huo mkuu hamiss mpira sio vita
Wenger orphans saizi mmefika huku kuwa mambo uchukua mudaArteta kuhusu Rice, Havertz, na utatu wa Ødegaard:
“Wanapocheza pamoja mara 55, itakuwa bora zaidi, timu itatiririka vizuri zaidi, wataelewana zaidi na sisi tutatawala zaidi. Lakini mambo huchukua muda.”
(@kayakaynak97)
Rowe ni right backup ya odegardEmile Smith Rowe on last season:
“It was really tough, obviously I had surgery twice, but my family helped me. The club as well, helped me a lot to get through it & I’m just really happy to be pain free right now. I don’t feel nothing there anymore & I’m happy I’m fully fit now.”
Yaan wachezaji watatu wapya wazoeane siku moja ,ujue Arsenal haibutui mpira Kama manjestaWenger orphans saizi mmefika huku kuwa mambo uchukua muda
Chanzo Sport extraSio JF tu kutukanana na fujo hadi ulaya tabia zao zilezile ,ona yametwangana.....View attachment 2697340
View attachment 2697341
Flano unasemaga kweli kuhusu hawa jamaa.
Upo sahihi ndio maana ili ipate momentum inahitaji mudaMfano ligi ingekua inaanza kesho kisha mid yetu ingekua ni Rice, Martin na Kai ingekua ni disaster.
Waweza argue kwamba mbona Rodri, Silva na De Bruyne wanacheza hivyo pale City na utakua sahihi.
Ishu ni kwamba iliwachukua muda gani? Phillips mpaka leo hapati namba kwakua hawezi leta anacholeta Rodri.
Hapa ndiyo tulisema Partey akiuzwa kisa Rice yupo tunarudi steps nyuma, na ndipo nikasema akija Zubimendi kwa jinsi tunavyocheza ataclick mapema ila akija Rice itabidi azoee.
So once hii mid ikigain momentum tutaifurahia na wengine wataanza kutuquote na kutuambia sisi tulisema
Kuna mtu anampinga Jesus humu? Atakua haangalii mechi anasubiri aangalie matokeo FotmobUpo sahihi ndio maana ili ipate momentum inahitaji muda
Thus why Partey hawez kuondoka , ili wacheze na Rice
Mwisho Sources za mashabiliz ya Arsenal huwa yanaanzia sehemu mbili kwa Zinchenko na Partey ,
Mchango wa Jesus ni very underrated ,he can create chaos in our team, anasaidia midfield zone kwa kiwango kikubwa