Yaan flano unafurahia mech ya kirafiki ,tunajua mlikamia mkataka kuvunja wachezaji wetu ,Hilo tuliliona[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaambiwa jana mpaka Magwaya alikua anapiga midfielder, anakusanya kijiji halafu anapanda nacho juu.
Kwa hii Asenyo ya msimu huu mpewe tu makombe yenu mapema kabla hata ligi hazijaanza.
Mimi Sina wasiwasi na points 6 kutoka kwenuPunguza wenge basi mkuu, goli mbili tu tena mechi yenyewe ni ya kirafiki tu inakufanya unapagawa mpaka unashindwa kusoma comments vizuri?
Mashabiki wa Asaninyau kina Mc Masingeli ndio walikua wanatamba kua msimu huu Arsenongwa wana points zao 6 kwa nyumbu, mimi hapo ndio nimewakumbusha kua points zao 6 kwa nyumbu bado ziko palepale sasa wewe hapo hujaelewa nini?
Yaan wanaona wamemaliza ,wakati timu yao bado SanaWe are living rent-free on your minds!
This is one's of nyumbuz achievement for next season.
Kutufunga pre- season match
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mc Masingeli naona umeamka na hangover.Huna timu ya kuchukua hata point 1 kwa Arsenal
Tumefungwa sababu wametuzidi tumpe credit nyumbu next game vs Barcelona ni kipimo kikubwa pia tukilose na hiyo tujiandae kwa mateso kwenye champions league and EPL!tulimfunga Chelsea 4 last season kwenye friendly na ukaona last season yake ilikuwaje!Yaan flano unafurahia mech ya kirafiki ,tunajua mlikamia mkataka kuvunja wachezaji wetu ,Hilo tuliliona
Hivi Jana tungeshinda simngejiona wabovu Sana
Kwasasa hivi mtamuona 7hag bonge la kocha , mtaona mmepiga mpira mkubwa
Nilishangaa wamekuja kuvunja wachezaji wetuWe are living rent-free on your minds!
This is one's of nyumbuz achievement for next season.
Kutufunga pre- season match
Kwa mpira upi nyumbu alituzidiTumefungwa sababu wametuzidi tumpe credit nyumbu next game vs Barcelona ni kipimo kikubwa pia tukilose na hiyo tujiandae kwa mateso kwenye champions league and EPL!tulimfunga Chelsea 4 last season kwenye friendly na ukaona last season yake ilikuwaje!
Bado huna timu yakuchukua point hata 1, bado mna mpira ule ule wakuvizia[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mc Masingeli naona umeamka na hangover.
Nilikua nawakumbusha kua points zenu 6 kwenye ligi bado ziko palepale.
Man Utd ni timu mbovu haiwezi chukua hata 1 toka kwa timu kubwa kama Asenyo.
Yaan ukifungwa pre season bas kwa Ligi ndio Basi ? Pre season ni sehemu ya ku implement mifumo, kutafuta fitness ,kuwapa nafas sajili mpya wajuaneTumefungwa sababu wametuzidi tumpe credit nyumbu next game vs Barcelona ni kipimo kikubwa pia tukilose na hiyo tujiandae kwa mateso kwenye champions league and EPL!tulimfunga Chelsea 4 last season kwenye friendly na ukaona last season yake ilikuwaje!
Ww mzee unaongea ukweli ila baadhi ya mashabiki hawajielewi humu kile kipimo tosha kabisa kujua ubovu wa timu ulipoTumefungwa sababu wametuzidi tumpe credit nyumbu next game vs Barcelona ni kipimo kikubwa pia tukilose na hiyo tujiandae kwa mateso kwenye champions league and EPL!tulimfunga Chelsea 4 last season kwenye friendly na ukaona last season yake ilikuwaje!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Magwaya kumbe ni bonge la mchezaji halafu lina mikimbio mizuri.Bado huna timu yakuchukua point hata 1, bado mna mpira ule ule wakuvizia
Jana tulikuwa tunatafuta chemistry ya wachezaji wetu watatu wapya ,
Tunajua nyie mlikamia hata kocha wenu alisema , tunaona mnataka kuvunja saka ,ode
Magwaya sijui anataka kurudisha namba yake [emoji1787]
Juzi mlivyowafunga Kigoma all stars(MLS) goli 5 mlikua mnashangilia tu humu na kuwakubehi Nyumbu, ila jana baada ya nyumbu kuwagonga goli 2 leo ndio unakuja na story za Pre season ni sehemu ya ku implement mifumo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaan ukifungwa pre season bas kwa Ligi ndio Basi ? Pre season ni sehemu ya ku implement mifumo, kutafuta fitness ,kuwapa nafas sajili mpya wajuane
2018 Liverpool hakushinda mech hata moja ya pre season ,kwenye EPL alifungwa mech 1 tu ,
Mech Kama ya Jana pale kocha anatoka na kitu anajua Nan na Nan wakianza kunatokea positive ,
Humu ndani ni computerarsenal tu na Labyrinth 84 peke yao ndio nyeupe husema nyeupe na nyeusi huiita nyeusi, ila wengine waliobaki wote wanasubiri kwanza waone Mc Masingeli kasema nini halafu na wao wanashikilia mulemule alipokamatia Masingeli, humu ukienda kinyume tu na Masingeli unatishiwa mpaka maisha halafu unapigwa marufuku kumqoute[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ww mzee unaongea ukweli ila baadhi ya mashabiki hawajielewi humu kile kipimo tosha kabisa kujua ubovu wa timu ulipo
Hao wanatofaut gan na wewe ,wanatokea timu ikipoteza na kwenye negativity tuHumu ndani ni computerarsenal tu na Labyrinth 84 peke yao ndio nyeupe husema nyeupe na nyeusi huiita nyeusi, ila wengine waliobaki wote nasubiri kwanza waone Mc Masingeli kasema nini halafu na wao wanashikilia mulemule alipokamatia Masingeli, humu ukienda kinyume tu na Masingeli unatishiwa mpaka maisha halafu unapigwa marufuku kumqoute[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikia , jana tumeweka wachezaji watatu ambao hawajawahi kucheza pamojaJuzi mlivyowafunga Kigoma all stars(MLS) goli 5 mlikua mnashangilia tu humu na kuwakubehi Nyumbu, ila jana baada ya nyumbu kuwagonga goli 2 leo ndio unakuja na story za Pre season ni sehemu ya ku implement mifumo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mc Masingeli muogope Mungu ndugu yangu kwa kuendelea kuwahadaa hawa mayatima wa mzee Wenger, hio ni dhima ujue siku ya kiama utakuja kuulizwa shauri yako.
Mzee nakufatiliaga sana nakuonaga una upeo mkubwa kwenye kuuzungumzia mpira ila nimepata mashaka na huu mtizamo wako, kuhusu game za kirafiki kua kipimo kwenye mechi za kiushindani.Tumefungwa sababu wametuzidi tumpe credit nyumbu next game vs Barcelona ni kipimo kikubwa pia tukilose na hiyo tujiandae kwa mateso kwenye champions league and EPL!tulimfunga Chelsea 4 last season kwenye friendly na ukaona last season yake ilikuwaje!
Magwaya mwehu yule anataka kuvunja wachezaji wetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Magwaya kumbe ni bonge la mchezaji halafu lina mikimbio mizuri.
Makocha wetu tu ndio walikua hawajui nafasi ya kumchezesha, kuanzia mechi ijayo Magwaya anasimama CF kuchukua mikoba Weghost.
Huyo anatokea kwenye negativity tu BasiMzee nakufatiliaga sana nakuonaga una upeo mkubwa kwenye kuuzungumzia mpira ila nimepata mashaka na huu mtizamo wako, kuhusu game za kirafiki kua kipimo kwenye mechi za kiushindani.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila jana kinda la Academy Mainoo limekamata kiungo chote na kukiweka mfukoni, sijategemea jana jinsi sahani ghali ya ubwabwa duniani ya £105m kufichwa namna ile na katoto ka nursery.Hao wanatofaut gan na wewe ,wanatokea timu ikipoteza na kwenye negativity tu
Ni mpumbavu pekee ndio atawasikiliza