Epl ikianza ndio watajua hawajuiWewe waache wajidanganye Wana timu
Sasa hivi watajisahau wataona ni mataito contender
Wajinga wanataka kuvunja wachezaji wetu , magwaya akili Hana kabisaEpl ikianza ndio watajua hawajui
Mjinga wewe mpe cheo tu
Sasa hivi wataachana na Graza out , watasajili kimazoea , wakiamin Sasa ni mataito contender, Mimi sikuyahitaji haya matokeo sababu ya kelele zao, lakin Kuna faida yakeEpl ikianza ndio watajua hawajui
Mjinga wewe mpe cheo tu
Magwaya anataka kurudisha ufalme wakeWajinga wanataka kuvunja wachezaji wetu , magwaya akili Hana kabisa
Mpira wao bado ule ule ,janja janjaMagwaya anataka kurudisha ufalme wake
Ila nyumbu daah
Sasa hivi wataachana na Graza out , watasajili kimazoea , wakiamin Sasa ni mataito contender, Mimi sikuyahitaji haya matokeo sababu ya kelele zao, lakin Kuna faida yake
Haya matokeo naona yanafaida kubwa kuliko hasaraSasa hivi wataachana na Graza out , watasajili kimazoea , wakiamin Sasa ni mataito contender, Mimi sikuyahitaji haya matokeo sababu ya kelele zao, lakin Kuna faida yake
Yah nimeona , Kuna chemistry nimeona inabidi waanze Partey na Rice kwa timu za kaunta Kama nyumbu ,Haya matokeo naona yanafaida kubwa kuliko hasara
Timu haiuzwi
Timu kumbe tayari imekamilika, no ins
Kwenye Epl nyumu asipopigwa doz (3) na arsenal Basi niulizwe Mii, shida ni Nini?
au nadanganya ? Wapuuz mmefanya Vita ,
Kubali team yetu ina kelele za mtandaoni but in general kwa football we are poor daily
Heee tumepigwa na nyumbu?tambo zote za hamis77 na wengineo tumekandwa?
Juzi nilikuwa nacheki game arsenal vs MLS ndani ya dk 25 za mwanzo nikaona mmh hii timu upepo umekata hata kupiga pasi ilikua shida , MLS amepata chance zaidi ya 6 ndani ya dakika hizo hizo ni vile wakina benteke wazee wanakosa utulivu , Puig kashika dimba utadhani sio yule barca waliomtema.
Huyu viera ivi mlimtoa timu ganihata kupiga mpira tu hawezi , juzi nimemcheki pia nikasema humu, huyu hata championship tu haweziiii kucheza first eleven au tu timu iwe inamtegemea haiwezekaniii wakaja vijana wa praise humu oooh viera ame improve nikashangaa maana niliona dogo kidogo aliye improve ni marqhuinos huyu viera bado yule yule muoga aibu kibao kama pepe tena bora ya pepe .
Kitasa maguire naona leo yupo uwanja mzima mpaka kitambaa wamrudishie ana oveload na kupresss.
Zitakuja false hope kesho humu “ tumewaachia washinde ili wavimbe kichwa wajiite title contender or hii ni friend match” sawa umewaachia mpira uliocheza wewe unaridhisha? Second half yote sijaona arsenal alichofanya hata ile kuleta threat kwa man utd hamna.
Amini amini nawaambieni arsenal fans nyinyi ni big 4 chasers this seasonLiverpool karudi Newcastle hatoki mule na man utd ndo huyo hapo hajafanya usajili anakimbiza mwizi kimya kimya
Msiogope kizurii match ya ligi arsenal vs man utd ni matchday 6 tu kama sio 7 naamini oveload na pressing bado hazijaanza timber hajawah inverted mid au zincheko hawa man utd watakufa 8, hope is always hope even its false hope.. come on bottlers!!
au nadanganya ? Wapuuz mmefanya Vita ,
jamaa unatemaga fact hatar. Ngoja aje Mc Masingeli awabrain wash mikondoo yake kesho then fake hopes goes on.Juzi nilikuwa nacheki game arsenal vs MLS ndani ya dk 25 za mwanzo nikaona mmh hii timu upepo umekata hata kupiga pasi ilikua shida , MLS amepata chance zaidi ya 6 ndani ya dakika hizo hizo ni vile wakina benteke wazee wanakosa utulivu , Puig kashika dimba utadhani sio yule barca waliomtema.
Huyu viera ivi mlimtoa timu ganihata kupiga mpira tu hawezi , juzi nimemcheki pia nikasema humu, huyu hata championship tu haweziiii kucheza first eleven au tu timu iwe inamtegemea haiwezekaniii wakaja vijana wa praise humu oooh viera ame improve nikashangaa maana niliona dogo kidogo aliye improve ni marqhuinos huyu viera bado yule yule muoga aibu kibao kama pepe tena bora ya pepe .
Kitasa maguire naona leo yupo uwanja mzima mpaka kitambaa wamrudishie ana oveload na kupresss.
Zitakuja false hope kesho humu “ tumewaachia washinde ili wavimbe kichwa wajiite title contender or hii ni friend match” sawa umewaachia mpira uliocheza wewe unaridhisha? Second half yote sijaona arsenal alichofanya hata ile kuleta threat kwa man utd hamna.
Amini amini nawaambieni arsenal fans nyinyi ni big 4 chasers this seasonLiverpool karudi Newcastle hatoki mule na man utd ndo huyo hapo hajafanya usajili anakimbiza mwizi kimya kimya
Msiogope kizurii match ya ligi arsenal vs man utd ni matchday 6 tu kama sio 7 naamini oveload na pressing bado hazijaanza timber hajawah inverted mid au zincheko hawa man utd watakufa 8, hope is always hope even its false hope.. come on bottlers!!
Mkuu Labyrinth 84 jitahidi usiwaquote tu watu, humu wenyewe wazee wa pressing & overloading hawapendi kukotiwa.
Mc Hamis kabla y mechi ulituambia nyie kwenu hii mechi ni kama fainali, sasa imekuaje tena?Mpira wao bado ule ule ,janja janja
jamaa unatemaga fact hatar. Ngoja aje Mc Masingeli awabrain wash mikondoo yake kesho then fake hopes goes on.