Ni mtazamo wako na ni haki yako.unajua kwanini mechi kama ya leo ni muhimu?.kuna mengi ya kujifunza kuliko matokeo.
Kumbuka.IF YOU NEED TO BE A HERO BE A MAN FIRST
Kushtukiza wapi bhn. Sijui matokeo ya mwisho yatakuwaje ila first half man u wamecontrol mechi.
Give credit where it is due. Shida yako ni kwamba hutaki ku acknowledged hatua ambazo Man u imepiga.
Kwa ukubwa wa kikosi mechi kama hizi ni muhimu sana katika kumpa mwalimu mwanga wa team selection.tactically midfield ni eneo ambalo litampa changamoto kubwa kocha juu ya nani aanze na abaki