Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hiko kikosi cha Moto
Hofu labda Kama bado hawajoeana mikimbio

Maana hapo amekosekana partey na zinchenko tu Arteta ashitakiwe kwa terrorist attack against nyumbu
Partey yupo sub

Tunamkosa Gifted player Zinchenko
 
Why people Wana complain eti hii ni strong team wakati hayupo Partey , Jorginho, Trossard,Smith Rowe,Vieira ,Zinny, White , KT, n.k
 
7hag anamtapeli Nini Amario Cuzery Dubery ,Saka Jr

Anataka akachukue nafasi ya Anthony masebene nini
 
There will be a penalty shootout after the full time whistle, regardless of the score.
 
Nyumbu kumbe hawapo vibaya Sana bhn, naona msimu huu mpira utakua wa kustukiza stukiza tu

Why?
Hawana watu wa kukaa na mpira
Kwaio muda mwingi watakua wapo nyuma katika michezo yake mingi ata akicheza na Aston Villa

Ten hag ashastukia hili bomu bila kwenda nalo hivi x-mass sifiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…