Yani mjawai kutufunga hata goal 4 tu tushakuwa underdog wenu pole Ndugu naona unajifariji maana toka Wenger kawaacha mmekuwa kama orphans vile kazi kupiga kelele tu hapa.Historia haitasaidia leo kukwepa kipigo
Kwasasa mnaingia Kama undrrdog
Sisi kwenu kushinda ni kama kupewa utamu na mke wako wa ndoa tu maana ni haki yako ya msingi.Kuwa underdog sio kwamba huwez bahatika kushinda
Mfano Leo wakamalia wanaipa nafasi Arsenal kuwapa pesa
Manjesta anapewa nafasi finyu ya kupata hata goli
Wewe utaona leo Arsenal akishinda haitakuwa habari,subiri mshinde nyie mtafanya sherehe na mtatangaza mna gombea ubingwa
Kocha wako kasema haichukulii Kama friend match, tarajia full mkokoYani mjawai kutufunga hata goal 4 tu tushakuwa underdog wenu pole Ndugu naona unajifariji maana toka Wenger kawaacha mmekuwa kama orphans vile kazi kupiga kelele tu hapa.
Game hii sisi tutakuwa tunapasha tu na makinda Leo ndo mtajua mmepigwa au.
Ok hapa tufanye prediction zetu hapa Mimi yangu ni hiiKocha wako kasema haichukulii Kama friend match, tarajia full mkoko
Hata onana anaanza kudaka leo
Mm nimekuahidi msimu huu mtatupa points 6 na 4+ , Degea alikuwa kikwazo Sana ,
Mm nipo ,ila Kuna wapumbavu Sasa hivi huwaoni ,wanakujaga na matusi Kama yote ,so Mimi huwa nakaa pemben kwanza watukanee wakimaliza utaona nimerudiSisi kwenu kushinda ni kama kupewa utamu na mke wako wa ndoa tu maana ni haki yako ya msingi.
Kwaiyo tulieni mle Leo izo goal 4 hafu muanze kusema kuwa mko kwenye majaribio ya kikosi.
hafu usikimbie hapa maana wewe tunakujua.
Mimi yanguOk hapa tufanye prediction zetu hapa Mimi yangu ni hii
Prediction
Wenger orphans 2 vs Manchester United 4
Leta wako kijana hafu Leo usiku tutajua hapa Nani mpiga kelele.View attachment 2696096
Sawa sawa maana Wenger orphans mjuagi kutofautisha uhalisia na mahaba nyie mna ongozwa na hisia kuliko uhalisia kama wanawake tu.Mimi yangu
Manjesta 0 Arsenal 4
Kwahiyo manjesta mtachukua ubingwa msimu huu ,kiukweli hata top 6 siwaoniHivi nyinyi Wenger orphans hivi mjiulizi kwanini hapa mmejaa sana.
Kiufupi timu yenu bado sana mapicha Picha ya mwaka jana mjayaanza leo msiji fariji Sijui mtakuwa vizuri.
Nataka kuwakumbusha tu nawaona sawa na Liverpool ya msimu wa 2013/2014 ilikimbiza ubingwa weeee mwisho wa siku unajua nini ilifanya na msimu unaofata kilitokea nini ndo nawaona mpo sawa nao tu.View attachment 2696099
Sio mahaba ,mwenzio Chelsea tulimkaanga 4-0 mwaka Jana kipindi Cha kwanza tuSawa sawa maana Wenger orphans mjuagi kutofautisha uhalisia na mahaba nyie mna ongozwa na hisia kuliko uhalisia kama wanawake tu.
Mimi naombea nyumbu washinde Leo waanze huu. Uchizi wao kujiita Tito KontendaKuwa underdog sio kwamba huwez bahatika kushinda
Mfano Leo wakamalia wanaipa nafasi Arsenal kuwapa pesa
Manjesta anapewa nafasi finyu ya kupata hata goli
Wewe utaona leo Arsenal akishinda haitakuwa habari,subiri mshinde nyie mtafanya sherehe na mtatangaza mna gombea ubingwa
Game saa ngapi hii?Wanaotaka kuiona mechi bila shida
Kama una Startimes home Basi channel ya MUTv wataonesha,
Kama huna startimes Basi download app yao ,Kisha lipia kifurushi Cha Max ,kwa siku moja ,sh.2200 tu
Weka pesa kwa tigo pesa nunua kifurushi Cha siku moja
Utaiona mechi bila kutumia MB
Hizi link zitawasumbueni ,mtashindwa kuona flow za pass,
Leo tukiwapiga watachanganyikiwa , Chelsea alipokula 4-0 alisajili kwa fujoMimi naombea nyumbu washinde Leo waanze huu. Uchizi wao
Alafu wajisahau kuongeza watu, ili ile kwao vizuri
6:00 usikuGame saa ngapi hii?
Hapa Mc Masingeli naona unaongea vice-versa, hawa hapa ndugu zako waliofanya maandamano haramu na kujitangazia ubingwa eti sababu wameifunga Man Utd.Kuwa underdog sio kwamba huwez bahatika kushinda
Mfano Leo wakamalia wanaipa nafasi Arsenal kuwapa pesa
Manjesta anapewa nafasi finyu ya kupata hata goli
Wewe utaona leo Arsenal akishinda haitakuwa habari,subiri mshinde nyie mtafanya sherehe na mtatangaza mna gombea ubingwa
Hakuna Raha Kama kuwafunga manjestaHapa Mc Masingeli naona unaongea vice-versa, hawa hapa ndugu zako waliofanya maandamano haramu na kujitangazia ubingwa eti sababu wameifunga Man Utd. View attachment 2696142
Huo ubavu wa kumfunga Manchester ndio hamna, yaani utd hata iwe mbovu vipi lakini kufungwa na Arsenyani hua ni ngumu same to Liverpuli kwa Man Utd.Hakuna Raha Kama kuwafunga manjesta
Na msimu huu mtatuchangia points 6 ,
Leo Kuna 4-0
Muhind kawaweka Kama underdog asee
Mech ya mwisho unakumbuka lakin ilifika muda mkakaa nyuma mnatafuta sare,tukawasaka Sana Hadi mkaachiaHuo ubavu wa kumfunga Manchester ndio hamna, yaani utd hata iwe mbovu vipi lakini kufungwa na Arsenyani hua ni ngumu same to Liverpuli kwa Man Utd.
Livapunda hata iwe mbovu vipi lakini ikikutana na Utd lazima tuchezee.