Hahaha ume screenshots ,kule kwenye kujifurahishaMama weee baada ya kwenda time travel na kuludi nilichokiona Wenger orphans watalia sanaView attachment 2695973
Kama akija basi akae kwa kutulia, mambo ya kujifanya mkubwa kuliko club hatuyatakiTulikuwa tunamlipa Ozil £350k per week anakaa bench , Auba £350k per week anakaa bench na muda huo hatupo UCL, Manjesta mkifanya hivi tu Adidas wanawakataga pesa na mnawapunguziaga wachezaji mishahara 25%
Braza this is Arsenal ,Bank of England ilikuwa inafahamika hivo baada ya dharau tumerudi
Mlisema Rice ataenda City ,hatuna hela ,Bayern akakimbia ,City akatupa taulo
Habari mbaya ni kwamba hatuna habari nzuri kwa ajili yenu
Good morningView attachment 2695930
Unaweza kuta na hapa asikuelewe bado.
Au unaweza kuta anamuelewa mchizi Kama mchambuzi nguli humu jf, Sasa anatafuta umaarufu tu
wanatuharibia mpira hawa vibwengoDuh Saudia
NEW: Al-Hilal are offering Kylian Mbappe a €400m contract, with a €200m fee to PSG. In this deal, the Saudi club would let Mbappe join Real Madrid in 2024. @FabriceHawkins
wanatuharibia mpira hawa vibwengo
Arsenal Fc@RMCSport are reporting that Chelsea and one OTHER unnamed Premier League club are interested in Kylian Mbappé.
Who do you think that club is?
Manjesta hapana wapo under limited budgetArsenal Fc
Naona Newcastle. Wana HelaManjesta hapana wapo under limited budget
Liverpool hawa hata mchezaji wa £50m wale wamiliki wao wamekuwa wazito kutoa ,Sera yao uza nunua
Mancity ,may be ,ila Pep sio mpenzi wa wachezaj wenye ego Kama mbappe
Kwema mkuu Vipi mto tayari kwa kupanda mtumbwi wa vibwengo.Hahaha ume screenshots ,kule kwenye kujifurahisha
Kwema kwanza Ally pipi
Mkishinda itakuwa habari Tukishinda haitakuwa habariKwema mkuu Vipi mto tayari kwa kupanda mtumbwi wa vibwengo.
Mpaka dirisha linafungwa shika hii kauli sisi tutatumia pesa nyingi za usajili kuliko nyinyi tunza hii comment.Manjesta hapana wapo under limited budget
Liverpool hawa hata mchezaji wa £50m wale wamiliki wao wamekuwa wazito kutoa ,Sera yao uza nunua
Mancity ,may be ,ila Pep sio mpenzi wa wachezaj wenye ego Kama mbappe
Inawezekana maana Grazzer mwisho wa dirisha la usajili huwa wanapenda kucheza na akili zenu ili msahahu kampeni za kuwaondoaMpaka dirisha linafungwa shika hii kauli sisi tutatumia pesa nyingi za usajili kuliko nyinyi tunza hii comment.
Sisi sio habari maana auna record ya kutufunga hata goal 4 toka Wenger awe coach wenu kama Kuna mechi toka Wenger aanze kazi mmewai tupiga hata goal 4 Njoo nayo hapa.Mkishinda itakuwa habari Tukishinda haitakuwa habari
Kwanza niletee orodha ya timu zinazo ongoza kukutandika kwenye career yenu ya football tuione hapa ni nani mbabe wenu.Mkishinda itakuwa habari Tukishinda haitakuwa habari
Sasa wewe subiri leo tutakachowafanya , kwasasa mnaingia kucheza na sisi Kama underdogSisi sio habari maana auna record ya kutufunga hata goal 4 toka Wenger awe coach wenu kama Kuna mechi toka Wenger aanze kazi mmewai tupiga hata goal 4 Njoo nayo hapa.
Nyinyi ni vibonde wetu tu ushindi wenu mkubwa ni kuanzia goal 3 kushuka chini napo lazima mechi iishe na sisi tumecheka na nyavu zenu.
Leta hata record kama hii Wenger orphans nyinyi.View attachment 2696081
Historia haitasaidia leo kukwepa kipigoKwanza niletee orodha ya timu zinazo ongoza kukutandika kwenye career yenu ya football tuione hapa ni nani mbabe wenu.
Underdog kivipi labda Mimi ndo sielewi yani msimu ulioisha tumegawana point Leo hii useme saizi Mimi ni underdog wako.Sasa wewe subiri leo tutakachowafanya , kwasasa mnaingia kucheza na sisi Kama underdog
Hata makampuni ya kubashiri yamewachukulia Kama underdog
Ndio maana nasema mkishinda itakuwa habari , Tukishinda haitakuwa habari
Miaka ya Sasa nyie mmekuwa underdog
Kuwa underdog sio kwamba huwez bahatika kushindaUnderdog kivipi labda Mimi ndo sielewi yani msimu ulioisha tumegawana point Leo hii useme saizi Mimi ni underdog wako.