arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Wakimchukua Nuno tuwape na Pepe bure kama nyongeza maana si anataka kubaki Ulaya na mshahara wake wataweza kumlipaPSG want Nuno Tavares to replace Juan Bernat and give competition to Nuno Mendes, who’s been injured.
More from @relevo -
1. PSG see Tavares as good, low cost back up to Nuno Mendes
2. Tavares is well positioned to join PSG as not in Arsenal plans
Mrefu kuliko wote hapana.
Arteta amesema hataki kutabirika msimu huu ,
So kumbe tunaweza kucheza na back 4 ya Timber white Saliba na Magalhaes
Halafu tukiwa na mpira nyuma wanabaki watatu White Saliba Magalhaes
Hapo wote wapo comfortable na mpira hakuna fala
Timber anakuwa Kiungo anaungana na Rice, Øde
Kai anapanda juu anakuwa anacheza Kama Second Striker lakin pia Kama no.8 wa uongo na kweli ,Kai Kama Second Striker anakupa vitu vingi atawin mipira ya juu ambayo ni tatizo kwa Arsenal ,Kai ni mrefu kuliko mchezaji yeyote Arsenal ,
Huo ni mfano tu tunavyoweza kubadilika tofauti tofauti
Kuna combination nyingi tunaweza kuzitumia
Mfano kiungo Cha Partey Ødegaard na Rice
Kuna siku tutaweka wote Partey , Ødegaard,rice , zinchenko,timber ili tuoneshane makali
Saliba ana 1.93m vyanzo vingine vinasema ana 1.92mMrefu kuliko wote hapana.
Saliba na Magalhaes
Arsenyo ni kama Mama lishe tu, kuna Ubwabwa na ChaPartey.
Tunaomba kabla dirisha halijafungwa mlete na Maharage kabisa.
#Mama lishe Fc
wewe jamaa dah
Tunaomba utujulishe visago vinaanza link??Mjadiliane hivi hivi mkishaanza kula visago, hatutaki matusi kwa mabeki wa kipa.
Mechi na Man U msimu ujao tunakuwa tumeshatwezwa kuwa mabingwa, basi tunaweka viungo wote ili mradi tu tuwanyime mpira wabakie wanakimbia kimbia tu uwangajani...
Arteta amesema hataki kutabirika msimu huu ,
So kumbe tunaweza kucheza na back 4 ya Timber white Saliba na Magalhaes
Halafu tukiwa na mpira nyuma wanabaki watatu White Saliba Magalhaes
Hapo wote wapo comfortable na mpira hakuna fala
Timber anakuwa Kiungo anaungana na Rice, Øde
Kai anapanda juu anakuwa anacheza Kama Second Striker lakin pia Kama no.8 wa uongo na kweli ,Kai Kama Second Striker anakupa vitu vingi atawin mipira ya juu ambayo ni tatizo kwa Arsenal ,Kai ni mrefu kuliko mchezaji yeyote Arsenal ,
Huo ni mfano tu tunavyoweza kubadilika tofauti tofauti
Kuna combination nyingi tunaweza kuzitumia
Mfano kiungo Cha Partey Ødegaard na Rice
Kuna siku tutaweka wote Partey , Ødegaard,rice , zinchenko,timber ili tuoneshane makali
Tunaomba utujulishe visago vinaanza link??
Ligi ikianza?Katikati au Aprili mwakani??
Msimu huu tukianza ndo tumemaliza!!!!!
Ukitaka usisikie habari za arsenal au kuona watu wakiongelea timu Yao ni very simple....unaacha kuingia kwenye hili jukwaa hutakaa uone...unaongea as if unaumia saaana mkuu...watu wakikimbia au wasipokimbia ww kinakuwasha nn....after all hii ni platform ya mashabiki wa Arsenal... whichever timu unayosapoti nenda huko kwny timu yenu mkaongee mambo realistic kama unaona hmu Kuna hadithi za alfa na ulelaLast season ilikua upepo tu mkashindwa kupita nao, subiri uone this season tupo hapa hata september haifiki mshapoteana . Kijana wenu wa overloading and pressing yuko mafichoni kawakimbia.
Huku mtabaki kama vituko mkijazana false hope oooh january sijui anatakiwa aje huyu mara yule.
Kama vile sio nyinyi ambao mmeteka dirisha la usajili huu sidhani kama imefika arsenal kwa stories za usajili mabingwa kina city wametulia tu, liver wamechukua watu 2 wapo kimya ila arsenal sasa ngoja uone hio october wameshaanza kupoteana
Unatuchanya mkuu, mara unasema haifikii September tunapoteana, mara tena October.Hatukuelewi mkuu unachokiongea.Last season ilikua upepo tu mkashindwa kupita nao, subiri uone this season tupo hapa hata september haifiki mshapoteana . Kijana wenu wa overloading and pressing yuko mafichoni kawakimbia.
Huku mtabaki kama vituko mkijazana false hope oooh january sijui anatakiwa aje huyu mara yule.
Kama vile sio nyinyi ambao mmeteka dirisha la usajili huu sidhani kama imefika arsenal kwa stories za usajili mabingwa kina city wametulia tu, liver wamechukua watu 2 wapo kimya ila arsenal sasa ngoja uone hio october wameshaanza kupoteana
Ukitaka usisikie habari za arsenal au kuona watu wakiongelea timu Yao ni very simple....unaacha kuingia kwenye hili jukwaa hutakaa uone...unaongea as if unaumia saaana mkuu...watu wakikimbia au wasipokimbia ww kinakuwasha nn....after all hii ni platform ya mashabiki wa Arsenal... whichever timu unayosapoti nenda huko kwny timu yenu mkaongee mambo realistic kama unaona hmu Kuna hadithi za alfa na ulela
Mwaka jana ndo tulikuwa tumeonekana walau tume challenge...miaka mingine yte usingeweza kukaa na kusema arsenal anagombania ubingwa...it was all about top 4...Sasa kama mwaka jana tuli slip up mwishoni na kipindi hiki tumesajili watu ambao tunaona wanaweza kutu push zaidi kuna Ubaya kusema tunagombani ubingwa tena na kuamini tunaweza kushinda....Liverpool amen challenge City miaka ya hivi karibuni kaishia kupata kombe mara moja tu...City kabeba mara tatu mfululizo...Sasa na sisi kuona namna mwenendo unavyoenda na watu tulonao tunaona kabisa uwezekano upo...hvyo hzo prediction za sijui September mara January mtabaki nazo sana msimu huu....tukikaa pale juu safari hii msahau ndugu zetuTupo hapa kuwakumbusha mzee ila tunaumia nyinyi kuwa na matumaini bandia si unajua tena ndugu zetu wa kenya walishajinyonga wengi tu kisa matumaini bandia ya arsenal.
Kuhusu kuumia kisa arsenal huo ni uongo, kukimbia huko ndipo tunapoumia coz mtakuwa hamjapenda kukimbia vichapo ndo vimewakimbiza.
Ni furaha sana hizi hadithi za alfa ulela kuzisikia ndo maana unatuona kutwa tupo hapa kucheka na kushangaa
Nimependa jina la id yako Arsenal 2004the last time Arsenal kashinda epl miaka 19 nyuma hata halland, martinelli, saliba , saka walikua hawajuii mpira ni nini ila now halland ana epl still mpo na matumaini ya epl
Unatuchanya mkuu, mara unasema haifikii September tunapoteana, mara tena October.Hatukuelewi mkuu unachokiongea.
Haya tuachane na hayo, hebu chagua moja kati ya hizi chini
a. Partey+Rice+Odegard
b. Partey+Havertz+Odegard
c. Partey+Jorginho+Odegard+Havertz
Wewe ni mshika bunduki mwezetuu!!!!!!Partey +Rice+ Odegard .
Partey last season game 10 za mwisho ali flop kachoka akawa uncle tom game ya westham alifanya blunder naona mpaka arteta akaanza kumla benchi. Now mpo uefa hamna tena timu kama zurich kuna giants tu na misako kama yote.
Odergard moyo wa timu yenu huyu, ushawahi kujiuliza odergard akipata majeraha nan atacheza namba yake? Au ndo yatakuwa yale yale ya saliba. Unaweza kusema yupo ESR au haivetz je wanaweza ku offer anacho offer ode?
Rice tunawaponda lakini ukweli the guy is sold pale kati ni zaidi ya xhaka hana ile kupoteza mipira ovyo na ametulia kweli hana papara zozote, kuna muda xhaka anaonekanaga ana mguu mzito pia Rice sidhani ni mguu wa glass hana majeruhi ya ovyo.
Arsenal kukaa bila injuries hilo huwa haliwezekani tena now mpo kote subiri uone.
Odergard akiumia just imagine arsenal itakuwa wapi ? In terms of playing
Ode-trossard au ESR...Vieira huwa anacheza ila bdo simkubali sana unless msimu huu abadilikePartey +Rice+ Odegard .