Arsenal (The Gunners) | Special Thread

maji wataita mma
 
Nakumbuka nilikuambia action za rice ni KATILI na MAFIA
hope unaikumbuka hii kauli yangu

Yani ukiacha kuangalia skills zake, utaliona na hili
 
Aende akamalizie mpira wake huko...au anataka avunjiwe mkataba alipwe hela zake ndo asepe
Labda anavizia hivo, ila Arsenal hawajali ,kikubwa wamuondoe kwenye list ya wage bill ,Arsenal wanazingatia Sana hicho kitu ,ndio kinafanya kuweka mwanya mkubwa wa kuspend ,

Mshahara wake wa £140-160k/p unalipa wachezaji wawili had watatu
 
Nakumbuka asee
Kipindi xhaka anaondoka nikajua tayari tumepoteza mtetezi na mbabe kwa madogo wakina saka, martinel,..

nikasema ngoja nimuangalie action tu za rice
Nikagundua aliekuja nae sio mtu mzuri, ukizingua nae anakuzingua uwe teammate au mpinzani anaruka na wewe


Kama Lokonga nusu apigwe makofi na odegard, Mimi namshauri aombe aende mkopo au auzwe tu


Hapa chini rice anawachana live Kai na joginho
 
Lokonga hawez kucheza Arsenal Sasa hata yeye anajua ,anaenda Burney
 
Sisi haoooo
Kipa la boli a.k.a ukuta wa berlin.
Onana mmoja ni sawa na RasMadale 1000
Unaambiwa sio kudaka tu mpira bali ana uwezo wa kudaka mpaka matatizo yenu ya familia Kima nyie.
Onana kashamwambia Ten Hag hapo nyuma hataki kucheza na beki yoyote, mabeki wote wapande juu wacheze midfield, hivyo mjipange msimu ujao tunachezesha midfielders 6 halafu mipira yote ya kona na adhabu amesema ni jukumu lake.
Bado kuna Sufyan Amrabat na striker la magoli Rasmus Højlund wanatua wiki ijayo.
Msimu huu tusiporudia kumpiga tena mtu goli 8 niulizwe mimi.
 
Ni kujitoa ufahamu au ndio akili zako zilivyo?

Unazungumzia expensive keeper na huyo mjinga mmoja ambae hamfikii ubora wa Martinez wa Aston Villa alikua chaguo namba mbili kwa arsenal
 
Beki wa kati? Labda awe na uwezo wa kucheza pia kama beki wa kushoto pia.
 
Nakumbuka kuna game moja hivi tulikua tunacheza na west ham, sijui Nketia alifanya nini kwa mchezaji wa West ham, Rice alimzingua vibaya mno Nketia
 
Ni kujitoa ufahamu au ndio akili zako zilivyo?

Unazungumzia expensive keeper na huyo mjinga mmoja ambae hamfikii ubora wa Martinez wa Aston Villa alikua chaguo namba mbili kwa arsenal
Kama ni kujitoa ufahamu au ndio akili zangu zilivyo hilo utalijua wewe.
Ila mwamba Onana kabla ya kusaini mkataba aliiomba management ya Utd iweke kipengele cha endapo msimu ujao ukiisha bila ya kuchangia goal assists 15+ basi msimu unaofata asilipwe mshahara.
 
Mjadiliane hivi hivi mkishaanza kula visago, hatutaki matusi kwa mabeki wa kipa.
Mbona wewe Chelsea ilipotaka kushuka daraja ulikimbia had nikakuuliza why umepotea Sana

Unajitoa ufahamu tu

Msimu huu nafas ya 10 mkikaza ,mkizembea mnabaki mkiani
 
mwanangu unazingua asee, hivi mnategemea kushindana na viungo kina casemiro anayejinenepea halafu mabos wenu hawana muda wakutafuta mbadala sahihi

Casemiro anawapa matumaini mtagombea ubingwa

Cha ajabu ana miaka 30+

Hamna mbadala wake sahihi na Sion mkimpata

Huyo amrabat siku zote alikuwa wapi , yaan form ya mech 3 Kati ya 8 world cup ndio inawadanganya

Ulishajiuliza kwann ana miaka 26 lakin bado hashobokewi na Bei yake haizidi £40m ,unadhani angekuwa mzuri had Sasa timu zinazotaka DM zingekuwa zimemuacha tu
 
PSG want Nuno Tavares to replace Juan Bernat and give competition to Nuno Mendes, who’s been injured.


More from @relevo -

1. PSG see Tavares as good, low cost back up to Nuno Mendes

2. Tavares is well positioned to join PSG as not in Arsenal plans
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…