Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mpira wa kuongelea mdomoni na ule wa uwanjani ni vitu viwili tofauti.
Subiri ligi ianze tuone mbivu na mbichi.
Kikubwa wasisitize tu hao wafuasi wako mwisho wa ligi wawe wapole, hatutaki matusi humu
 
Mimi nakusisitiza tu last season nilikwambia we are going to be title Contender na ilikuwa hivo

Msimu huu mjiandae kutoa points 6 bila shuruti

Hatutaki Tena Mambo yakupotezeana muda


Kwa Midfield hii unaponaje

Ukisimama nchale ukikaa nchale


 
Mechi ya alfajiri,mbali na onilaini kuna chaneli ya stataimu,/azam/dstv itaonyesha?
Sidhan mkuu labda online ,mm nimejitolea nitaangalia highlights tu kesho

Nasikia Rice ,Timber ,Kai wanaweza kuanza pamoja
 
Representatives of Arsenal, in the case of sporting director Edu Gaspar, have contacted Gremio to ‘close the deal’ for 23-year-old midfielder Bitello.

[@UOLEsporte] #afc
 
Moja ya mkakati wa Arsenal nikuhakikisha kila dirisha kubwa anashushwa kinda mmoja wa kibrazili fundi ,na huyu anakuwa ni usajili wa Edu mwenyewe na sio Arteta japo atapitishwa na Arteta

Edu alituletea Martinel ,, Marquinho na Sasa Kuna dalili akatushushia Bittelo


Arsenal are in negotiations to sign Gremio midfielder Bitello. Edu Gaspar is in contact with the board of Gremio to close the deal.
 
Skauti aliyempeleka martinel asenali ndio hatariii zaidi.

Huyu bitelo kwa mllivyo muona anavitu vitu au ndio lokonga aliyechangamka tu😆😂
 

Mikwara hii unanikumbusha kwa mara ya kwanza naona clip ya mandoga akimpiga mkwara kaoneka nikajiuliza hili jamaa la wapi mbona linaweza kuua mtu ulingoni
ni kama wewe vile mtu anaweza kujua arsenal ni ruthless timu.

Ngoja timu iingie uwanjani sasa ikutane na watu wa kazi city na wengine unaona mara tomiyasu anatetemeka mwenye anampasia KDB. Zincheko nae huyu anakula tobo kwa arnold , anaanza kuita vikao vya kipumbavu uwanjani
kila mnapufungwa
Picha kam hii mara nyingi huonekana kwenye viunga vya arsenal kuanzia April & May
 
Kwahiyo Newcastle yako inashinda mechi zote?

Jitahidi uitoe Arsenal kichwani , Kuna jukwaa la Newcastle kalifufue upate fans

Why mnaumia Sana kuhusu Habari za Arsenal?

Kwanini usiliweke active jukwaa la Newcastle
 
OFFICIAL ARSENAL TEAM


Saliba and Gabriel at CB

Jorginho starts in the midfield 🪄
Saka and Jesus start on the wings

Rice, Timber and Havertz on the bench


COME ON YOU GUNNERS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…