Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,844
- 16,298
Sawa wazee wa phase4, tunasubiri ligi zianze mtuonyeshe kwa vitendo jinsi Arsenyo atavyobeba treble msimu huu.Hakuna kufuru ,muwe mnaangalia mpira muache kukariri ,last season niliposema Arsenal anaenda kugombea ubingwa mliona natania ,
Bayern ,Barca , Madrid , zinazidi kudrop ,ndio maana mancity aliwabonda Sana huko UCL ,
Bayern toka aondoke Lewando wamekuwa Kama nyuki wa mashineni ,hata sadio mane hawamtaki Tena, backline yao inaruhusu Sana magoli ,
Madrid ya benzema ndio ilikuwa ya mwisho, mpaka Sasa hawana pesa yakumsajili mbappe ,unategemea watakuwa hatari Sana kwa CF ya Rodrigo?
Super league ipo uingereza Sasa
Maana mnajiaminisha mpaka sasa hivi hakuna timu yoyote duniani iliyokamilika kuizidi Arsenyani.