Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kudus ana Mambo Kama ya Anthony wa nyumbu anaforce kukaa Mpira Sana labda apangiwe majukum analazimisha free role
Ila technically Yuko good na energy pia.
 
Kudus ana Mambo Kama ya Anthony wa nyumbu anaforce kukaa Mpira Sana labda apangiwe majukum analazimisha free role
Ila technically Yuko good na energy pia.
Unamfananisha kudus na Anthony masebene?

Ushamuangalia kudus ,ulimuona world cup, UCL league alichokuwa anawafanya Liverpool ? Anthony masebene hata nusu hafikii

Anthony masebene akiwa Ajax alifunga goli 8 assist 6

Kudus kafunga goli 20 assist 8


Msikilize Legend wa uholanzi Marco van Basten: akielezea utofauti wa Kudus na Anthony masebene

"I find Mohammed Kudus a much better football player than Antony.

Antony has his skills, but he is confused with the things he is trying to do! Kudus has much better technique and he knows what he is doing."
 
Arteta-

"Kila usajili ambao tumefanya unaleta kitu kwa timu,"

“Tunafuraha sana kwamba tulisajili wachezaji ambao tulitaka. Tumewasajili mapema na wameanza kuzoea timu haraka sana."View attachment 2692765
Ukimuona saka pembe Kuna timber
Kuna bomu linasukwa huu upande

Nasikia muda mwingi rice anatumia kupiga story na odegard

Naanza kuogopa for what gonna happen in the next few days
 
Diaby naona yuko vizuri..

Huyu kudus kuna vitu anapaswa kubadilishwa, ila ni bora huyu kuliko pepe na anthony
Diaby ni Winger tu ndio maana Arsenal wameachana nae

Sera ya Arsenal ya usajili lazima uwe fundi(technically Gifted) , versatility (uwe na uwezo wakucheza nafasi zaidi ya moja)

Passing accuracy yako iwe kubwa


Mengine yafatie

Sasa kudus anacheza RW,AM na False 9
 
Nikisema mashabiki wa Chelsea waache kupiga poyoyo humu ,timu yao ni dhaifu wanaweza maliza nafasi ya 10 au kushuka daraja,wanaona ni dhihaka

Haya Gabby Agbonlahor gwiji wa EPL kasema nafasi ya 10 inawahusu

“Chelsea really need to start signing!”


“If that squad of players went out to play this season they would finish tenth.”

Gabby Agbonlahor believes Pochettino MUST urgently repair the #CFC squad.
 
Nyie Kima siwatishi ila nawakumbusha tu, huko UCL mlipokua mnapalilia kwa miaka 7 mtawaliwa kuna timu ya Ujerumani inaitwa Buyern Munich ambayo mara yenu ya mwisho kucheza nae aliwagonga goli 10-2
Sasa juzi kati baada ya Buyern kupata taarifa kua Arsenyau amefuzu kucheza Uefa msimu huu kampiga mtu goli 27-0 na wamesema hizo ni salamu maalumu kwa Arsenyau popote pale walipo.
 
Kwa aina ya soka ninalo muona nalo, diaby anacheza kote huko na pia ni fundi, ila arterta ndio anajua anakihitaji nini kwa mchezaji, na pia sijasema kudus ni mbovu, ila jamaa aliweka option kati ya diaby na kudus unapenda yupi, nikachagua diaby
 
Tuna kikosi cha pesa nyingi, kaa kwa kutulia tu kaka
 
Bayern hana timu ya maana hizi kelele sijui mnazitoa wapi

Toka aondoke Lewando wanahaha tu , Bayern tumeanza kwenye usajili kala za mbavu

Huyo Tuchel alishageuka kibonde wa Arteta ,

Kuna timu naona mnazipa hype tu wakati zishachoka ,nikiona mtu anamzungumzia Bayern sasa Kama miaka 5 iliyopita namuona hafatilii mpira ,even hata Madrid ,Tena akijichanganya kutonunua CF , hata makundi anaweza asivuke
 
hizi kufuru zenu ndio zinazo waponza.
 
hizi kufuru zenu ndio zinazo waponza.
Hakuna kufuru ,muwe mnaangalia mpira muache kukariri ,last season niliposema Arsenal anaenda kugombea ubingwa mliona natania ,

Bayern ,Barca , Madrid , zinazidi kudrop ,ndio maana mancity aliwabonda Sana huko UCL ,

Bayern toka aondoke Lewando wamekuwa Kama nyuki wa mashineni ,hata sadio mane hawamtaki Tena, backline yao inaruhusu Sana magoli ,

Madrid ya benzema ndio ilikuwa ya mwisho, mpaka Sasa hawana pesa yakumsajili mbappe ,unategemea watakuwa hatari Sana kwa CF ya Rodrigo?

Super league ipo uingereza Sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…