Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,309
- 2,568
Kabisa yaani, wale jamaa wangekubali dau letu ile january tusingekosa ubingwaWale wehu kufanya nao biashara ni ngumu sana
Jezi ya kazi hiyo, hakuna ubishoo...Mbunifu wa hii jezi atakua ni mwalimu wa Geography maana kwenye jezi ameyajaza macontuar lines
hawa nyumbu inabidi tuwawekee mziki wa ParteyKai Havertz amesajiliwa hasa kuchukua nafasi ya Granit Xhaka katika namba #8 ya kushoto.
Ilionekana kuwa inawezekana kwa sababu Arteta anaona Declan Rice kuwa na uwezo wa kukimbia Sana eneo kubwa na kushinda mpira unaohitajika ili kusaidiana na Havertz & Odegaard katika safu ya kiungo.
[@TheAthleticFC]
Na Implementation itaanza hasa dhidi ya manjesta Tarehe 23 wiki ijayo View attachment 2692031
Hawa usiwasanue we waache tuhawa nyumbu inabidi tuwawekee mziki wa Partey
Rice
Ode.
Joao Felix sidhani...alishatukataa January sidhani kama tutamrudiaJoao Felix
Mohammed kudus
Kuelekea kufunga usajili wetu yaangalieni hayo majina
Tunaanza kufukua tetesi Nani anakuja kufunga usajili
Vyanzo vinasema lazima awe versatile player
RW anayecheza CF ,tutafix nafasi 2 kwa mtu mmoja
Naona most wanasema ni Mohammed kudus maana anacheza RW na nafasi nyingineJoao Felix sidhani...alishatukataa January sidhani kama tutamrudia
Huyu mwamba asiondoke...na tuombe msimu huu asiumieumie aweze kucheza 90% ya mechi za Ligi kuu...May tutafurahiAs things stand though Partey is expected to link up with Arsenal in the USA before they face Manchester United at the MetLife Stadium on Saturday.
(@kayakaynak97 )View attachment 2692168
Kweli huyu akibaki tutakuwa na strong team ya kucheza mechi nyingi kwa ubora ule uleHuyu mwamba asiondoke...na tuombe msimu huu asiumieumie aweze kucheza 90% ya mechi za Ligi kuu...May tutafurahi
Hapo n kudus hapoondio atakuwa sahihi kwa kulia na kati.
Ila likumbukeni jina la amario yakimnyookea ni saka wa pili
Hao braiton ndio hivyo tu,tungewa balogun+tavares/pepe(kama watawahitaji) na hiyo kati ya yuro 10-20m hapo
Hamis77 ww kama mjumbe wa asenali dunia kutoka jamiiforamu watakusikilizanaomba uwapelekee mapendekezo haya wakina edu iniboksi au kwenye imeili ya timu,kwa wale wachezaji waliochwa(tava,pepe,sedriki, n.k) kama kuna uwezekano waunganishwe kwenye madili ya kuleta wachezaji wawili (msaidizi wa saka na kiungo-lavia) ilikulahisha usajili
Hakuna combo naisubiri kama hii mtu chee kwenye mid yetu.itakuwa a unique experience kuwaona hawa jamaa pamoja.hawa nyumbu inabidi tuwawekee mziki wa Partey
Rice
Ode.
Hakutukataa yeye.Joao Felix sidhani...alishatukataa January sidhani kama tutamrudia
Upo sahihi kabisaHakutukataa yeye.
Atletico walioeta ujanja kabla hajaondoka wakamsainisha mkataba mpya idea yao ni atakapoenda wakimtaka value iwe ya juu.
Miluzi alivyofika akatoa ofa ya mkopo ya juu kutuzidi so Atletico waliamini wamepata potential suitor pua so wakatutosa.