Huyo Rice jinsi anavyopambwa na mashabiki wa Arsenyau utafikiri hapo kwenye squad yao hakuna mchezaji bora kuliko yeye.Arteta kuhusu Rice -
"Ninamuona kama taa, kwamba yuko tayari kuweka mwanga kwa wengine na kuboresha wengine na kuifanya timu kuwa bora ,"
"Kwangu mimi, kuwa kiungo lazima uwe hivo na anavyo kwa asilimia 100.
Jinsi anavyozungumza na kujionyesha, nia aliyonayo na shauku kuelekea mchezo. Hiyo ndiyo hasa tuliyohitaji.
"uongozi wake, aura yake, uzoefu ambao tayari anao katika ligi atakuja kuleta katika timu "
View attachment 2691256
Huyo Rice jinsi anavyopambwa utafikiri hapo kwenye squad yenu hakuna mchezaji bora kuliko yeye.
Tunasubiri aje kuwasuprise ligi ikianza.
View attachment 2691260
Subirini 10hag awatandike nje ndani halafu mtupigie kelele humu kua Man Utd anabebwa.nyie hata siwawazi kabisa ,timu yenu bado janja janja Sana
Stormzy rapper maarufu na shabiki wa united anampigia simu Rice kumuomba asije Arsenal.Kuwa na adabu Basi unamfananisha Rice na utopolo kweli?
Why mlikuwa mnataka kutoa ofa ya £40m+ mctominay+Maguire ?
Soma hapa
Declan Rice was ranked so highly on so many different aspects of Arsenal’s recruitment grading system that Mikel Arteta almost had a book full of reports on him. It’s why he was so passionate about this signing & that came across to Rice when he was explaining what his #6 role would entail. [@TheAthleticFC] #afc
Nimeiona hiyoStormzy rapper maarufu na shabiki wa united anampigia simu Rice kumuomba asije Arsenal.
Rice anajibu "Am a Gunner now"
7+3hag nasubiri msimu huu Kama atani surprise,ila mm bado namuona kocha wa kawaida kwa mpira mnaocheza ,sajili za ajabu anazofanyaSubirini 10hag awatandike nje ndani halafu mtupigie kelele humu kua Man Utd anebebwa.
Hii Arsenyo ya msimu huu sidhani kama itazifunga zile big 6 hata moja.
Tunasubiri ligi ianze kelele zipungue humu.
Kama mnadhani tumemaliza usajili ,ndio tunaanza ,nasema hivi Flano na Genge lako ,Safari hii tutaoneshana makaliSubirini 10hag awatandike nje ndani halafu mtupigie kelele humu kua Man Utd anebebwa.
Hii Arsenyo ya msimu huu sidhani kama itazifunga zile big 6 hata moja.
Tunasubiri ligi ianze kelele zipungue humu.
Nasubiri.SIKU MOJA NITALETA MAKALA KWANINI
Arteta anamkubali Sana Ødegaard kuliko mchezaji mwingine Arsenal
Kwanini alimchagulia jezi namba 8 ambayo yeye Arteta aliivaa akiwa Arsenal
Kwanini kwenye mazoezi ya Arsenal anakuwa nae karibu Sana na mazoezi ya wachezaji kwa wachezaji ,Arteta hufanya na Ødegaard
View attachment 2691300View attachment 2691301
Kumbuka upande anaotembea nao Timber ndio upande wa Saka
Hivi mtu anaweza akamnunua Zinchenko akamwacha ChilWell? Au akamnunua Saka akamwacha Rashford? au akamnunua Zinchenko akamwacha Luke Shaw?Tunakumbushana Flano na Genge lako ,maana dharau zilizidi
Most valuable squads in the world
Arsenal - €1.21BN
Man City - €1.19BN
PSG - €1.03BN
Real Madrid - €991M
Bayern Munich - €895M
Chelsea - €867M
Barcelona- €865M
Liverpool - €847M
Man United - €834M
Tottenham - £773M
(via @TMuk_news)View attachment 2691379
Akili zako unazijua mwenyeweHivi mtu anaweza akamnunua Zinchenko akamwacha ChilWell? Au akamnunua Saka akamwacha Rashford? au akamnunua Zinchenko akamwacha Luke Shaw?
Rashford. Mchezaji ambaye hajawahi kutakwa na timu yoyote dunianiHivi mtu anaweza akamnunua Zinchenko akamwacha ChilWell? Au akamnunua Saka akamwacha Rashford? au akamnunua Zinchenko akamwacha Luke Shaw?