Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Turner ameshaokoa penat 14 kati ya 29

A good shot stopper

Sidhani kama anatakiwa kuendelea kubaki kama chaguo la 2

Akiwa comfortable miguuni zaidi ya alipo sasa Ramsdale anaweza ondoka
 
Arteta kuhusu Balogun -


"Amefanya vizuri sana. Sasa tunapaswa kufikiria ni nini bora kufanya.

"Tunataka kumuona. Atacheza mechi chache zijazo na kisha tutafanya uamuzi bora zaidi."
 
"A lot of qualities, a lot of leadership, a lot of experience in the league. We are delighted to have him."

Mikel Arteta outlines what Declan Rice can bring to this Arsenal team
 
Turner ameshaokoa penat 14 kati ya 29

A good shot stopper

Sidhani kama anatakiwa kuendelea kubaki kama chaguo la 2

Akiwa comfortable miguuni zaidi ya alipo sasa Ramsdale anaweza ondoka
Turner mguuni yupo vzr tu mbona , nimeona sehemu Brighton wanaweza kujaribu kumuhitaji

Kwenye penalties yupo vzr Sana, Ramsdale penalty ni pazia

Karl Hein kipa namba 3 kwenye penalties mzuri Sana pia

Mimi naona EPL na UCL abaki Ramsdale ,FA na Carabao aachiwe Turner tumuone vzr zaidi
 
Hivi tofauti yake na Mc Tominay ni nn
Kuwa na adabu Basi unamfananisha Rice na utopolo kweli?

Why mlikuwa mnataka kutoa ofa ya £40m+ mctominay+Maguire ?


Soma hapa


Declan Rice was ranked so highly on so many different aspects of Arsenal’s recruitment grading system that Mikel Arteta almost had a book full of reports on him. It’s why he was so passionate about this signing & that came across to Rice when he was explaining what his #6 role would entail. [@TheAthleticFC] #afc
 
Arteta kuhusu usajili zaidi wa Arsenal:


“Tutakuwa macho. Bado kuna muda mwingi sokoni”.



"Itabidi tuone jinsi mambo yatakavyokuwa katika wiki kadhaa zijazo.

Bado kuna muda wa kuuza pia
 
Balogun amesema anaangazia kujiandaa na msimu ujao lakini familia na mawakala wanashughulikia masuala ya uhamisho .


Ni dhahiri anasepa
 
"He seems very happy."

Mikel Arteta says that Declan Rice has settled into the group very quickly
 
Fulham wamekataa dau la £45m kutoka kwa West Ham United kwajili ya kuipata saini ya “Joao Palhinha”
.
Fulham wao wanasema mchezaji wao anadhamani ya £80m - malipo ni hapa hapa duniani
 
Inter are ready to submit €40M bid for Folarin Balogun which is likely to fall short of Arsenal's demands.


The Gunners want around €50M. Brighton, Crystal Palace and West Ham are also interested.


(via @jamesbenge
)
 
Klabu moja ya kati ya Saudi Arabia ilionyesha nia ya kutaka kumnunua Pepe wiki iliyopita, hata hivyo, kwa sasa kuna tofauti kubwa katika mshahara anaotaka.

Arsenal wapo tayari kukubali ada ya kawaida au hata kufikiria kumvunjia mkataba ikiwa itasaidia kuondoa mwaka wa mwisho wa mshahara wake wa pauni milioni 7.3 kwa mwaka sawa na £160k kwa wiki kutoka kwa vitabu vyao.


(@jamesbenge)
 
Arteta kuhusu Rice -

"Ninamuona kama taa, kwamba yuko tayari kuweka mwanga kwa wengine na kuboresha wengine na kuifanya timu kuwa bora ,"

"Kwangu mimi, kuwa kiungo lazima uwe hivo na anavyo kwa asilimia 100.

Jinsi anavyozungumza na kujionyesha, nia aliyonayo na shauku kuelekea mchezo. Hiyo ndiyo hasa tuliyohitaji.

"uongozi wake, aura yake, uzoefu ambao tayari anao katika ligi atakuja kuleta katika timu "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…