Tumefanya hivo mechi zote msimu huu ,ikiwepo ya city ambayo Pep anakiri kabisa alizidiwa umiliki mpiraMsifanye hivyo kwa timu yenye KDB na Salah.
Rice kucheza lone DM ni bomu na muda wowote linaweza kulipuka.
Hakuna shabiki wa EPL atafanya banters kwa timu za Spain. United na Arsenal mashabiki wake wanajulikana kwa vurugu na maneno mengi hata kama timu zao hazifanyi vizuri. 😁Hii sijaiona. Ila jamaa wapo broke kipindi hichi
Ingekua Arsenal wana hii drama kuna watu wangekesha humu
Duh ,kipi Cha ajabu wakati last season tumecheza lone DM , na tumefunga magoli mengi Sana ,
Arsenal Hadi mechi ya 29 nadhani tulikuwa tumefungwa goal 27 tu, alipoumia Saliba ,Tomiyasu ndio defence ikasheki
Kucheza na Lone DM tunacheza Arsenal na mancity tu kwa EPL ,hata Liverpool hachezi hivo,
Nadhani wewe unaifananisha Sana Arsenal na manjesta kitu ambacho ni makosa
Hakuna shabiki wa EPL atafanya banters kwa timu za Spain. United na Arsenal mashabiki wake wanajulikana kwa vurugu na maneno mengi hata kama timu zao hazifanyi vizuri. 😁Hii sijaiona. Ila jamaa wapo broke kipindi hichi
Ingekua Arsenal wana hii drama kuna watu wangekesha humu
Big no.hell enoughArteta atafute central defender mmoja na RW winger mmoja
Waliumia wawili Saliba , Tomiyasu ,Yani anaumia Mchezaji mmoja tu timu inapwaya?
Arsenal Kikosi kidogo bado inabidi kila namba iwe na vyuma viwili amabavyo kocha ajui nani aanze nani iwe sub kama city vile.
Jesus akiumia eti Forwad niketia dah??
Arteta atafute central defender mmoja na RW winger mmoja
Inter hela hawana jiandaeni kumtoa kwa mkopoI think Arsenal will reject
Arsenal want at least €50m
Or Loan with obligation to buy for €50m
[emoji599]Inter have offered 40m euros for Balogun
(Rai Radio via @SempreIntercom)
Nitajie CF wanaopatikana Sasa hivi duniani wanaoelewekaSio atafute forwad makini ambaye hacheki na nyani.
Mtu kama Kane ,halland,benzema .
Akiumia jesus basi mbele kuna pwaya
Wameuza Jana Onana kwa manjesta ,ndio maana wameanza ku bidInter hela hawana jiandaeni kumtoa kwa mkopo
Hawatoi hela hao wachezaji waliochukua wengi wa mkopoWameuza Jana Onana kwa manjesta ,ndio maana wameanza ku bid
Mkopo watakaopewa ni obligation Tena ya €45-50m
Mkopo wa obligation to buy ni sawa na kumnunua maana lazima uilipe mwakani ,hivo kwenye vitabu Arsenal watakuwa na uhakika wameingiza pesa
Klabu zinazomtaka ni nyingi , tatizo la CF duniani ni kubwa Sana
Na Arsenal hawamtoi huyo dogo kwa mkopo , kapiga goals 20+ Ligue 1 , national team kaanza kutupia ,Hawatoi hela hao wachezaji waliochukua wengi wa mkopo
Zee la agenda umeibuka 🤣Hakuna shabiki wa EPL atafanya banters kwa timu za Spain. United na Arsenal mashabiki wake wanajulikana kwa vurugu na maneno mengi hata kama timu zao hazifanyi vizuri. 😁
Arsenal ni timu kubwa mmekosa Champions League tu.