Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ikatokea Kai kaclick na kawa ngumu kumuweka nje baadaye sana tutajikuta inabidi tucheze na back 3 ili kumpa namba White, Kai, Timber, Rice, Trossard, Partey
Nahisi huu mfumo tutaucheza Sana , Kiwior Saliba Magalhaes ,timber atakuwa anakuwa kiungo na Partey , Rice au kai na ode juu
 
Ikatokea Kai kaclick na kawa ngumu kumuweka nje baadaye sana tutajikuta inabidi tucheze na back 3 ili kumpa namba White, Kai, Timber, Rice, Trossard, Partey
Kwangu mimi ningekuwa kocha ningeachana na jorginho frelo nikabaki na partey halafu lavia akaja kama backup ambaye anaingia taratibu.
Baada ya msimu mmoja au miwili lavia anakuwa starter.

Kwangu mimi jorginho ni upcoming liability.ni muda tu utasema
 
Viera huu msimu autumie vizuri Sana ,namba yake Ina wengi maana had Trosaard anacheza humo
 
Kwangu mimi ningekuwa kocha ningeachana na jorginho frelo nikabaki na partey halafu lavia akaja kama backup ambaye anaingia taratibu.
Baada ya msimu mmoja au miwili lavia anakuwa starter.

Kwangu mimi jorginho ni upcoming liability.ni muda tu utasema
Jorginho walimchukua Kama short term ,kabakiza msimu mmoja tu atasepa ,
 
Guendouz tatizo lake lilikuwa kujua position yake ipi ,muda gan awepo wapi ,hili tatizo hata Lokonga alikuwa nalo ,Kuna mechi Øde kidogo amchape vibao

Mchezaji akijua muda gan anatakiwa awepo wapi inasaidia Sana mkipoteza mpira kuurudisha

Vieira namuona anakuja taratibu na anahitaji mech hasa za FA na Carabao
 
Kuna muda ule mwili wa vieira kama namuona Alexander hleb kwa mbali hata ile kuwa technically gifted
 
Alikua ana pasi zake miyeyusho za kusakizia. Unamuona anakimbizwa na wapinzani wenzake wanatafuta position mtu kabla hajasettle vizuri anamsusia mpira wakati nyuma yake ana wapinzani 2 wanamfuata
 
Nyumbu na Kenge ni wakuwaonea huruma mkuu
Hizo spana unazowapiga utawaua Sasa
 
AC Milan are also interested in signing Folarin Balogun. Inter are very keen on the American striker.
#Milan #FCIM #AFC

(via @DiMarzio
)
 
Nyumbu na Kenge ni wakuwaonea huruma mkuu
Hizo spana unazowapiga utawaua Sasa
Oya Kuna mechi naweza kuzikumbuka Degea aliwabeba Sana ,vs Leicester ,Fulham, wolves ,n.k hata 10 zinafika walikuwa waache point , Hawa walitembea Sana na upepo wa Rashford na Bruno na Degea ,

Unamleta onana ,beki varane old fashioned, kiungo mount na casemiro ambaye ukabaji wake ni mpaka apige tackling maana si mzuri kwa passing , maana yake turnover nyingi watamkumbuka Degea ,mark my words

Acha watupigie kelele humu kina Flano na genge lake
 
1. Arsenal
.
.
.
.
7. nyumbu
.
.
.
.
11. Chelkenge

Msimo wa ligi, itunze hiyo
 
Arteta kashawatimua Lokonga ,Pepe na Cedric


|| Cedric, Lokonga, ESR and Partey not traveling to America with the squad.


Thomas and ESR “are expected” to fly next week,


Pepe,Lokonga and Cedric are out.
 
Jack Grealish first two PL seasons at City:

3980 minutes
8 goals
10 assists

Nicolas Pépé first two PL seasons at Arsenal:

3627 minutes
15 goals
7 assists

Pépé contributed more goals in nearly 6 less hours of football.
Guess which is labelled a flop…
 
Nicolas Pepe, Sambi Lokonga, Cedric are out of Arsenal squad travelling for pre season tour.
️ #AFC Emile Smith Rowe and Thomas Partey will join the team next week.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…