Mimi naomba Partey abaki ,maana hata caicedo simuamini kivileNa iwe hivyo kaka maana sio poa
Nilisema tutarudi steps nyuma tukiuza Partey kisa tuna Rice.arteta hajielewi kwa hili naomba nitofautiane naye aisee ni kocha wetu lakini akumbuke bado ni mchanga kwenye career ya ukocha kuna wachezaji sio wa kuwapoteza kirahisi
Last season tumewin match nyingi sana kwa uwepo wa partey kwenye mido, he was our backbone kwenye mido plus xhaka, aya xhaka ameondoka na partey anaondoka eti kisa tuna rice na joginho plus huyo lavia/caicedo kama atakuja like serious the guy alituoffer vitu vingi sana plus experince atakayekuwa amesahau akaangalie game yetu na city ya 2021/2022( home) ataelewa kwa nn nalia na TP
next season michuano inaongezeka halafu sisi tunakazana kuvuruga eneo letu la kiungo, experience ya TP tunahitaji UEFA na this season ni kama wachezaji wetu wanaenda kumalizia kile walichoashindwa kumalizia next season
Utaondoaje stater wako wawili kwenye mido??? Are u serious Arteta??
kufanya partenship ya wachezaji sio kitu kirahisi na cha harakaharaka, Asijione Pep kwa kufanya maamuzi magumu
Amini nawaambieni akiondoka TP, tunapoteana mchana kweupee....
Dogo nilisoma mahali kuwa amecut short holiday yake ili aende States na wenzake akapambanie nambaSoon hiki chumba kitakua kidogo kwa Emile.
Lets wait n see
Kalvin kawa utumbo Gundogan kacoverPep alikuwa na Rodri na Fernadinho
ameondoka ferna chap akavuta kelvin philips kama back up
I swear atakua wa moto tusijue akae wapi.Dogo nilisoma mahali kuwa amecut short holiday yake ili aende States na wenzake akapambanie namba
Tumuombee iwe hivyo. Zile 1-2 za kina Wilshere, Rosicky, Giroud na Santi tutaziona sana aikiwa na kina Ode na Saka mpaka mechi zetu zitakuwa priority Kwa broadcasters na Dunia nzima itataka kutuona tukichezaI swear atakua wa moto tusijue akae wapi.
Tuombe zibaki rumours tu Kama zile za Xhaka mwaka Jana mwisho akabaki ,Nilisema tutarudi steps nyuma tukiuza Partey kisa tuna Rice.
Miongoni mwetu kuna wanaoamini kwamba Jorginho ni mzuri kuliko Partey, kwamba unaweza drop Partey kisa una Jorginho. Flexibility, vision na agility anavyo Partey katika hivyo 3 Jorginho anakupa vision tu.
Partey anakupa pace, siyo kubwa ila Jorginho haifikii.
So kuna games tutakua exposed vizuri tu dimba akisusiwa Jorginho
Huyo Smith Rowe ndiye mchezaji ball carrier kuliko yeyote Arsenal ,anajua ku Carrie mpira anajua kufanya one two kwa haraka Sana , shooting accuracy yake ni nzuriTumuombee iwe hivyo. Zile 1-2 za kina Wilshere, Rosicky, Giroud na Santi tutaziona sana aikiwa na kina Ode na Saka mpaka mechi zetu zitakuwa priority Kwa broadcasters na Dunia nzima itataka kutuona tukicheza
Hapo kwny Manjesta na Chelkenge umepatia sana...ni vikundi vya mdundiko kweliTuombe zibaki rumours tu Kama zile za Xhaka mwaka Jana mwisho akabaki ,
Akipaki Partey ,nakuhakikishia Castr tutatoa vipigo Sana ,
Maana huko FA unaweka Jorginho , EPL unaanza na Rice Partey Øde, Jumanne UCL unacheza na Kai Rice Øde
Wachezaji hawachoki na quality inakuwa juu
Kuna factors naziona zitatu favor, moja city hawez kuwa Bora zaidi coz anawapoteza mahrez ,Bernado, Gundo,Walker , Laporte, na fitness ya KDB imeanza kuwa tatizo ,
Liverpool ambaye anaonekana anarejea tayari kashaanza kujipiga risasi , ameondoa watu 6 ,Hadi sasa kasajili wawili ,anatafuta DM wa uhakika ,
Spurs ,wanauza Kane ,
Manjesta na Chelsea Sina haja ya kuwazungumzia wanajulikana Kama Chelsea ile sio timu nikikundi Cha mdundiko
Hiki kitu nimekuwa nakiogopa kwa muda sana.huyu dogo akipata 6 months consecutively bila kuugua au kupata majeraha anatrain na wenzie na akapata some minutes, atasababisha matatizo makubwa kwenye squad selection.I swear atakua wa moto tusijue akae wapi.
Huyu City anaweza kusajili muda wowote so tusimhukumu kwa hapa tulipo, liva kauza watu 6 ila ndiyo kuna wale wazee ambao walimuangusha msimu ulioisha inawezekana kapima kaona hata nikibaki nao bado hawana msaada kaamua kuwatema.Tuombe zibaki rumours tu Kama zile za Xhaka mwaka Jana mwisho akabaki ,
Akipaki Partey ,nakuhakikishia Castr tutatoa vipigo Sana ,
Maana huko FA unaweka Jorginho , EPL unaanza na Rice Partey Øde, Jumanne UCL unacheza na Kai Rice Øde
Wachezaji hawachoki na quality inakuwa juu
Kuna factors naziona zitatu favor, moja city hawez kuwa Bora zaidi coz anawapoteza mahrez ,Bernado, Gundo,Walker , Laporte, na fitness ya KDB imeanza kuwa tatizo ,
Liverpool ambaye anaonekana anarejea tayari kashaanza kujipiga risasi , ameondoa watu 6 ,Hadi sasa kasajili wawili ,anatafuta DM wa uhakika ,
Spurs ,wanauza Kane ,
Manjesta na Chelsea Sina haja ya kuwazungumzia wanajulikana Kama Chelsea ile sio timu nikikundi Cha mdundiko
Dah wahurumie mkuu maana hizi spanaTuombe zibaki rumours tu Kama zile za Xhaka mwaka Jana mwisho akabaki ,
Akipaki Partey ,nakuhakikishia Castr tutatoa vipigo Sana ,
Maana huko FA unaweka Jorginho , EPL unaanza na Rice Partey Øde, Jumanne UCL unacheza na Kai Rice Øde
Wachezaji hawachoki na quality inakuwa juu
Kuna factors naziona zitatu favor, moja city hawez kuwa Bora zaidi coz anawapoteza mahrez ,Bernado, Gundo,Walker , Laporte, na fitness ya KDB imeanza kuwa tatizo ,
Liverpool ambaye anaonekana anarejea tayari kashaanza kujipiga risasi , ameondoa watu 6 ,Hadi sasa kasajili wawili ,anatafuta DM wa uhakika ,
Spurs ,wanauza Kane ,
Manjesta na Chelsea Sina haja ya kuwazungumzia wanajulikana Kama Chelsea ile sio timu nikikundi Cha mdundiko
ESR ni hatari Sana ,bado tunamdai hatujamfaidi kabisa, ule msimu alipopewa nafasi akapiga goli 10 EPL , alionesha maturity kubwa Sana,Hiki kitu nimekuwa nakiogopa kwa muda sana.huyu dogo akipata 6 months consecutively bila kuugua au kupata majeraha anatrain na wenzie na akapata some minutes, atasababisha matatizo makubwa kwenye squad selection.
Dogo ana ile spirit ya kiingereza,anakasi,anapiga looseball,ana cut in vizuri tu badala ya kukimbilia kwenye kona halafu anapiga mashuti over lampard au jerad.
Kama arteta anadhani amemaliza basi asubiri tatizo la ESR na trossard.hawa watu hawakwambii nipange ila kila ukipanga unajiuliza unawaachaje nje na nani atakuelewa.vieira asipokaza basi ataozea nje
Ikatokea Kai kaclick na kawa ngumu kumuweka nje baadaye sana tutajikuta inabidi tucheze na back 3 ili kumpa namba White, Kai, Timber, Rice, Trossard, ParteyHiki kitu nimekuwa nakiogopa kwa muda sana.huyu dogo akipata 6 months consecutively bila kuugua au kupata majeraha anatrain na wenzie na akapata some minutes, atasababisha matatizo makubwa kwenye squad selection.
Dogo ana ile spirit ya kiingereza,anakasi,anapiga looseball,ana cut in vizuri tu badala ya kukimbilia kwenye kona halafu anapiga mashuti over lampard au jerad.
Kama arteta anadhani amemaliza basi asubiri tatizo la ESR na trossard.hawa watu hawakwambii nipange ila kila ukipanga unajiuliza unawaachaje nje na nani atakuelewa.vieira asipokaza basi ataozea nje
Dah tunapenda kuwa na talent ila zote zikiwaka hadi unaumiza kichwaIkatokea Kai kaclick na kawa ngumu kumuweka nje baadaye sana tutajikuta inabidi tucheze na back 3 ili kumpa namba White, Kai, Timber, Rice, Trossard, Partey
City lazima atasajili but Kuna factors naziangalia Hawa wote wanaoondoka walikuwa game changer Sana kwenye matokeo yao ,mtu Kama mahrez ,Bernado , Gundo , so nimeona winger zao watakuwa hasa Grealish na FodenHuyu City anaweza kusajili muda wowote so tusimhukumu kwa hapa tulipo, liva kauza watu 6 ila ndiyo kuna wale wazee ambao walimuangusha msimu ulioisha inawezekana kapima kaona hata nikibaki nao bado hawana msaada kaamua kuwatema.
Sasa ishu inakuja kwamba kasajili Mac Allister (AM), Szoboszlai (AM) Klopp anataka mid yake iwe defensive na attacking ifanywe na Full back na assists watoe full back.
Ama yeye abadililke au wakina Mac Allister wabadilile which naamini itachukua muda, pia ana tatizo lile lile la kikosi finyu.
Chelsea huyu Pochettino ni kocha wa kawaida. Sidhani kama atatoa wanachokidhania, United kocha wao hajaonyesha kama anajua mpira mwingine zaidi ya kucounter na kupaki basi. Tusubiri surprise labda